risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Askari ajiua kwa risasi baada ya kumjeruhi mkewe

    Askari Polisi mmoja aliyetambulika kwa jina la Michael Kyalo amejiua kwa kujipiga na risasi baada ya kumjeruhi mkewe kwa risasi huko Kaunti ya Bondo nchini Kenya mapema leo, Polisi wameripoti. Kamanda wa Polisi wa kaunti hiyo Ibrahim Kosi amesema afisa huyo aliyefariki, aliripoti kazini kama...
  2. DR HAYA LAND

    Mtu anapokuwekea bastola jibu ni moja Mwambie ashushe au apige risasi.

    Jana usiku ,Kuna Jamaa yangu kawekewa bastola kichwani kamwambia yule muhuni maamuzi ni mawili kupiga risasi au kushusha bastola chini Guyz don't afraid anything
  3. Nelson Jacob Kagame

    Risasi sio suluhisho (kumbukumbu zangu 1996)

    Ilikua usiku wa manane simu ikaita, na mara nyingi namba za nje ya nchi inamuwiaga vigumu kupokea..Akapokea na moja kwa moja sauti akaitambua ni ya nani""Safari hii mpigaji anazungumza vizuri kiswahili kuliko awali"". Mpigaji alikuja na ofa na akaiweka wazi kwa mlengwa namaanisha mpigiwaji...
  4. IamBrianLeeSnr

    Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

    Habari wanajamii, Salam kwenu na natumai nyote ni buheri wa afya, Naona nielekee kwenye hoja husika. Ilikua ni siku ya mapumziko(weekend) siku ya jumapili tarehe 22 ya mwezi wa 9 mwaka 2007 maeneo ya mbezi beach eneo linafahamika sana kwa jina alimaarufu (Africana) njia ya kuelekea whiteSands...
  5. Koffi Annan

    Polisi: Kigwangalla hajampiga risasi mlinzi Jumanne

    Polisi Mkoani Mwanza wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni kumhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini na Mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata Pamba kitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo, Wilaya ya Kwimba, Hamisi Kingwangala kudaiwa kumpiga risasi Mlinzi wake Jumanne...
  6. Dexta

    TANZIA Mtanzania afariki kwa kupigwa risasi South Africa

    😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭 Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine. Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana Mohammed Ramadhani aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la Cape Town jimbo la Fley. Ndugu yetu Mohammed amefariki usiku wa jana huko Cape Town kwa kupigwa risasi...
  7. Kabinti ka ludilo

    Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
  8. MK254

    Video: Polisi Uganda ampiga risasi Mhindi dukani

    Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
  9. Suley2019

    Sirro: Sitosahau Askari walipopigwa risasi Kibiti

    IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro baada ya kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi leo Dar es salaam amesimulia tukio ambalo hatolisahau akiwa kazini ambalo amesema ni la Askari Polisi kupigwa risasi na Majambazi baada ya kushambulia kwa risasi gari la Polisi katika Kijiji cha Uchembe, Kata ya Mjawa...
  10. Erythrocyte

    Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

    Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua. Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi , amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu...
  11. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu alishuhudia gari lake lililoshambuliwa kwa risasi, asema ataomba kulichukua

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu wasijulikana mwaka 2017 Jijini Dodoma. Akizungumza Leo mei 9,2023 Jijini Dodoma Lissu amesema Dereva...
  12. JanguKamaJangu

    Marekani: Matukio 201 ya ufyatuaji risasi yametokea Mwaka 2023

    Matukio ya mauaji ya watu kwa risasi yameendelea kuitesa Marekani ambapo kwa mujibu wa Ripoti ya Gun Violence Archive idadi ya vifo hadi Mei 8, 2023 ni 14,865 wakati waliojeruhiwa ni 11,872. Katika rekodi hizo, waliouawa kwa kukusudia au kutokusudia ni 6,417 wakati waliojiua ni 8,448, kati yao...
  13. Influenza

    Wajir: Askari Wanyamapori waua raia wawili kwa risasi, wananchi walipuka

    Mtu mmoja Ijumaa alidaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi baada ya maandamano kuzuka katika mji wa Wajir. Maandamano hayo yalizuka baada ya maafisa wa Shirika la Huduma ya Wanyamapori (KWS) kudaiwa kuwaua watu wawili wanaoaminika kuwa wawindaji haramu Alhamisi jioni. Mauaji hayo...
  14. MK254

    Wagner na wanajeshi wa Urusi wapigana wenyewe kwa risasi

    Walianza kama utani kulaumiana nani kaboronga kwenye shughuli ambayo imekwama kwa sasa, ghafla wakaanza kufyatuliana risasi na baadhi kuuawa maeneo ya Stanytsia Luhanska. Nasemaje!!! Safi sana piganeni mfe mizoga yenu iwe mbolea. ============== A shoot-out allegedly occurred between Russian...
  15. JanguKamaJangu

    Afrika Kusini: Watu 10 wa Familia Moja Wauawa kwa Risasi

    Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu. Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
  16. B

    Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
  17. JanguKamaJangu

    Marekani: Mtu mwenye silaha awaua watano kwa risasi benki

    Aliyehusika kuanzisha shambulizi la risasi ni Connor Sturgeon (25) aliyekuwa mfanyakazi wa Benki husika ambaye siku chache zilizopita alijulishwa kuwa atafukuzwa kazi. Mtuhumiwa ambaye naye alifariki kwa kupigwa risasi na Askari, alikuwa akitumia Bunduki aina ya AR-15-style alitumia Instagram...
  18. Roving Journalist

    Tarime: Askari Polisi ashikiliwa akidaiwa kumuua dereva bodaboda kwa risasi, RPC asema Askari anastahili kuwajibika

    Jeshi la Polisi linamshikilia askari wake mwenye utambulisho wa H 4489 PC Kululetela, kutokana na kosa la kumfyatulia risasi iliyomjeruhi hadi kumsababishia mauti mwendesha bodaboda, Ng'ondi Marwa (22), mkazi wa mjini Tarime. Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Polisi Tarime Rorya, ACP Geofrey...
  19. JanguKamaJangu

    Maandamano Kenya: Mmoja auawa kwa kupigwa risasi

    Imeelezwa tukio limetokea Mjini Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga Serikali yanayofanyika kwa mara ya pili yakiratibiwa na Umoja wa Azimio. Imeelezwa kumetokea vurugu kati ya Polisi na umati wa watu uliokuwa ukishiriki maandamano, Askari walitumia mabomu ya machozi lakini waandamanaji...
  20. D

    Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

    Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia...
Back
Top Bottom