rasimu ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  2. Yahaya Abdallah Sadallah

    SoC03 Lugha ya Kiswahili katika kanuni ya 'Archemedes'

    Unamkumbuka Mwanafalaki na Mwanahisabati aliyekuwepo zaidi ya miaka elfu mbili na mia mbili iliyopita katika kisiwa cha Sisilia ambacho leo tunaita Italia. Mtaalamu ,huyu alikuwa anaitwa Archmedes mtoto wa Phidias ambaye pia alikuwa Mwanafalaki. Katika kipindi cha uhai wake kabla ya kuja...
  3. F

    Watanzania someni rasimu ya elimu kwa makini

    Watanzania serikali imetoa rasimu ya sera ya elimu, ili kila mmoja wetu atoe maoni yake, sasa badala ya kuisoma tunakimbilia kutoa lawama lukuki. Hiyo ni rasimu imetolewa ili kila mmoja atoe maoni sasa tutoe maoni yetu tunatakaje, nasoma maoni ya wengi ni kulaumu tu, hiyo sio sawa.
Back
Top Bottom