nyaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama na Ubunge wao....
  2. Extrovert

    Utaratibu wa kupata nyaraka za TBS ili kutuma mzigo nje ya nchi upoje?

    Nina vitu nataka nitume kwenda mamtoni kwa ndugu yangu mmoja ila sasa nimeshangazwa na story za yule mtu wa posta kuniambia natakiwa niwe na document za TBS kwa baadhi ya vitu. Kwa mtu mzoefu je, huu utaratibu upogo kweli au ndio mtumishi anataka kula kwa urefu wa kamba yake kupitia mimi...
  3. William Mshumbusi

    Spika Dkt. Tulia ajuzwe Wabunge 19 hawajawahi kuteuliwa na CHADEMA. Wameingia kwa kufoji nyaraka

    Hata kama Spika atawachukulia kuwa NI wanachama halali wa Chadema. Chadema imeshatoa ufafanuzi nyaraka zilizotumika kuwaingizwa bungeni zimefojiwa. Na wanaoandaa nyaraka hizo wameshatoa taarifa za sahihi zao na majina yao kufojiwa. Sijui wanataka Nani aje asibitishe Hilo. Wakati wewe unasema...
  4. E

    Jinsi ya kuondoa lamination kwenye document

    Naombeni kuuliza, hivi unaweza kuondoa lamination kwenye cheti kilicholaminate-iwa? Hivi hizi stationary zetu haziwez fanya hiyo kazi?
  5. Z

    Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini

    Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, kutokana na nchi yao kuto kuwa na amani miongo mingi sasa, matikio ya kigaidi kila kukicha. Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba...
  6. Analogia Malenga

    TAKUKURU Dodoma: Aghushi nyaraka na kuwakodishia Vodacom eneo la Halmashauri

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoani Dodoma imesitisha malipo batili ya mnara wa simu huku tayari mtuhumiwa mmoja akiwa amekamatwa. Awali Taasisi hiyo ilitoa taarifa juu ya kuendelea na uchunguzi dhidi ya mtuhumiwa Lyato Bihemo wa jijini Dar es Salaam kwa kosa la...
  7. Red Giant

    Tanzania kuna utaratibu wa ku-declassify nyaraka za siri?

    Kwa wenzetu unakuta baada ya miaka kadhaa kupita, nyaraka za siri huwekwa wazi. Hapa kwetu kuna huo utaratibu? Baada ya muda gani kupita?
  8. Mung Chris

    Sheria za Uhamiaji zibadilishwe na taratibu za kushikilia nyaraka zibadilishwe

    Mengi sana yamekuwa kama kandamizi, kukiuka haki za binadamu pia zikiwapa mamlaka makubwa ma afisa uhamiaji kujiona kama vile wao ndio miungu watu na waogopwe, kwa mfano: 1. Unaambiwa kwamba Kitambulisho cha taifa hakiwezi kukuhakikishia Uraia: sasa ninapo jaza fomu, kuwasilisha nyaraka na...
  9. beth

    Kilimanjaro: Walimu wapandishwa kizimbani kwa kughushi nyaraka ili kupata mafao NSSF

    TAKUKURU Mkoani humo imewafikisha Mahakamani Goldina Peter Minja, Rose Koshuma Msangi na Nicodemus Felician Kavishe. Goldina aliwasilisha nyaraka zenye maelezo ya uongo ya "Ukomo wa Ajira yako" Rose aliwasilisha nyaraka zisizo za kweli ili alipwe mafao ilihali bado ni mtumishi, na Nicodemus...
  10. beth

    Watuhumiwa 15 sugu mbaroni kwa tuhuma mbalimbali za kihalifu katika jiji la Dar es Salaam

    Mohamed Musa Mohamed aliyetajwa kuwa Mhalifu sugu wa kughushi nyaraka za Serikali na zisizo za Serikali kwa nia ya kujipatia fedha kwa udanganyifu amekamatwa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam imesema Mohammed anayefahamika zaidi kama Kibosile amekutwa na Hati za Kusafiria zaidi ya 130, nyaraka...
  11. Replica

    Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

    Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo. Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili...
  12. Erythrocyte

    Hai: Zaidi ya Wafanyabiashara 36 wathibitisha kuwa na Nyaraka za uhakika kuthibitisha tuhuma za Sabaya. Waomba kukutana na mamlaka inayomchunguza

    Hii ndio habari mpya inayosambaa Wilayani Hai kwa sasa baada ya Taarifa ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa DC wa hapo bwana mdogo bilionea mpya Sabaya (miaka 34) , ambaye anachunguzwa kwa makosa mbali mbali ikiwemo uvamizi , uporaji wa pesa na wizi wa kuaminiwa ikiwa ni pamoja na ulevi wa madaraka...
  13. B

    Songwe: Miaka 200 jela au faini Tsh Milioni 52 kwa makosa 60 ikiwemo kughushi nyaraka

    Leo tarehe 07/05/2021 Mahakama ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe imemhukumu ndugu SEMENI GWEWA MSWIMA (Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo) Kifungo cha miaka 200 au kulipa faini ya Tshs.52,000,000/= pamoja na kurejesha kiasi cha Tshs.30,850,000/= alichoiibia Halmashauri wilaya ya Mbozi. Kesi...
  14. B

    Usikubali kusaini nyaraka hii unapopekuliwa na Polisi

    USIKUBALI KUSAINI NYARAKA HII UNAPOPEKULIWA NA POLISI Na Bashir Yakub. WAKILI +255 714 047 241 Polisi wanapokufanyia upekuzi, iwe wewe mwenyewe binafsi, nyumbani kwako, kazini kwako, gari lako au penginepo ipo fomu maalum ambayo wao wenyewe huijaza na kumtaka mtu aliyefanyiwa upekuzi naye...
  15. M

    Turejee kwenye Utumishi wa kuzingatia miundo ya Utumishi na Nyaraka zake

    Utumishi wa Umma unaongozwa na Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya 2002, Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2003, Sera ya Menejimenti ya ajira katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 1999 pamoja na Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma za Mwaka 2009. Nyaraka hizi muhimu zinaweka umbile la utumishi wa...
  16. seedfarm

    Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini. Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi...
Back
Top Bottom