muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kumbe tunahesabu awamu za Serikali bila kuwa na sheria au utaratibu maalum unaotuongoza? Si muhimu sasa kuweka utaratibu rasmi?

    Kifo cha Magufuli kimethibitisha pasipo shaka kuwa sisi kama nchi hatuna utaratibu wowote rasimi wa kikatiba, kisheria au usio wa kisheria unaotuongoza katika kuhesabu au kuzitambua awamu za serikali. Kama utaratibu rasimi huo, basi ni wazi hauleweki na unapaswa kutazamwa upya ili kuondoa huu...
  2. mama D

    Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana

    Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma. Mjue tuu nyie ni wa thamani sana Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Amani yenu ndio furaha yetu
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Polepole anakosa sifa hii muhimu ndio maana hakuna anayemzingatia

    POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU Kwa Mkono wa Robert Heriel Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu kukusikiliza, basi kosa sifa nitakayoieleza hivi leo. Ni sifa moja kubwa Sana ambayo hiyo ndio humpa mtu...
  4. N

    Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

    Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
  5. Frumence M Kyauke

    Uzi wa kero ya kuombwa kolabo mara kwa mara huku mambo muhimu yanakusubiri

    Katika mapenzi kuna mambo mengi ndo mana unatakiwa kuwaheshimu wanandoa waliozeeka pamoja mana mambo ni mengi muda hautoshi. Kwenye ndoa kuna ule muda mmeshapiga kolabo tayari sasa unataka kufanya mambo yako mengine tena mambo muhimu ambayo lazima ufanye au umechoka sana unataka kulala ile...
  6. Bushmamy

    Arusha: Barabara ya muhimu kama hii inakosaje Lami?

    Hii barabara ni ya vumbi Inatokea Tengeru kupitia chuo cha mifugo kuelekea mbuguni. Barabara hii hiyo inapita katika taasisi ya Tari hot Tengeru. Na pia inapita katika chuo cha Maendeleo ya jamii (TICD) na chuo cha mifugo cha Tengeru,bila kusahau kuwa bara bara hii ndio inayopita katika chuo...
  7. 6WaS9

    Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs! Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.! Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra! Kuwa...
  8. D

    Ni muhimu kujua historia ya unayetaka kuanza naye mahusiano

    Wasalaam wapendwa wa MMU. Kumezuka na msemo maarufu wa vijana haswa wa kike 'unataka kuwajua maEX wangu, unataka kuwanunulia gari?' Huu msemo una nia ya kupotosha. Zaidi, kuwatia watu katika mahusiano yatakayoandamwa na changamoto nyingi. Nakusihi, ni vema kujua historia ya mahusiano ya...
  9. M

    Ni kwanini Simon Msuva akicheza bila Mbwana Samatta Taifa huwa anajituma maradufu Kuifia Timu hadi Kufunga Magoli muhimu?

    Je,.... 1. Ufalme wa Mbwana Samatta unamtesa? 2. Anataka kutuonyesha kuwa Mbwana Samatta ni cha Mtoto tu Kwake? 3. Huamua Kumsusia Timu Kimakusudi Mbwana Samatta? 4. Hampendi Mbwana Samatta? 5. Usimba na Uyanga umewaathiri kwakuwa Msuva ni Yanga SC na Samatta ni Simba SC? 6. Anataka...
  10. Mtangoo

    Project Ni Muhimu Ili kupata kazi kwenye Software Industry

    Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote" Unaweze kupata kwa kupambana Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut! Jifunze, fanya na onyesha! Kwenye kuonyesha tengeneza Project iwe Github au Gitlab na uwaonyeshe uwezo...
  11. L

    Mambo manne muhimu ya ufunguaji mlango aliyotaja Rais wa China kwenye CIIE yatanufaisha dunia

    Maonyesho ya Nne ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa China (CIIE) yamefunguliwa mjini Shanghai, tayari kwa mikusanyiko ya wanaviwanda, wafanyabiashara na wajasiriamali zaidi ya elfu tatu kutoka nchi 127 duniani. Maonyesho hayo ambayo ni ya nne kufanyika toka yalipoanza kufanyika mwaka 2018, ni...
  12. K

    Angalizo muhimu sana kwa Wanaume

    Zamani (nadhani hata sasa), kupata mtoto first born dume, watu walikuwa wanafurahi sana. Mwanaume anatembea kifua mbele kila mtu ana-muadmire! Sasa dunia ilipofikia, first born ndiye mkuu wa nyumba, si baba. Nimeshangaa sana! Mtoto anadiriki kumwambia baba yake: "Aaa baba, na wewe umezidi...
  13. MK254

    Mkenya ateuliwa cheo muhimu cha juu Vodacom, Afrika Kusini

    Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe ====== Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer. The announcement was made by Safaricom...
Back
Top Bottom