mbunifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Kwanini Mungu na shetani wote hawataki kufanya kazi na mtu mvivu asiye mbunifu?

    Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe. Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
  2. Victor Mlaki

    Shetani siyo mbunifu kwa asili yake

    Shetani Kwa asili yake siyo mbunifu hata kidogo, sisi ndiyo tunampa nguvu kwa kutengeneza mapepo wenyewe "inverting demons". Kipindi tunajitengenezea taswira na picha za uongo shetani hujificha nyuma ya picha hizo jambo ambalo hutufanya kukemea kuomba na kufunga roho ambazo kwa kweli hazipo.
  3. Hakuna anayejali

    Haya mambo si mazuri yanashusha hadhi ya tiba asili

    Watu wa tiba asili mnafumbia macho mambo haya yanashusha hadhi ya tiba asili. Unakuta mtu anaenda na dawa za kienyeji mnadani, au anatembeza mitaani kama nguo chukueni hatua. Pigeni marufuku mbona watu hawabebi Fansida, Alu nk kupeleka mnadani? Wauze mahala maalum Ili hata mgonjwa akihitaji...
  4. Unasemeje

    Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

    Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi. Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata...
  5. Mtafiti77

    Ninahitaji mbunifu na mshoni wa nguo za kike na kiume

    Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na ke. Si lazima awe huyohuyo. Mmoja anaweza kuwa mtaalamu wa nguo za kike na mwingine za kiume au...
  6. BARD AI

    Mbunifu wa mavazi wa Kitanzania ampata Afisa aliyemuibia Begi la Nguo

    Mbunifu wa kike wa Kitanzania anayeishi Houston nchini Marekani amedai kuwa nguo zinazovaliwa na afisa wa zamani wa Wizara ya Nishati (DOE) Sam Brinton zilikuwa kwenye mzigo wake uliopotea katika uwanja wa ndege huko Washington, D.C. mnamo 2018. Asya Khamsin, ambaye ametengeneza brand yake ya...
  7. Gaddaf i06

    Wewe ni mfugaji, Mdadisi na mbunifu?

    Hello wana JF Wale wafugaji wazoefu wa kuku wa kienyeji, mliowahi kufuga kuku hawa na wewe unaeendelea kufuga; najua wewe ni mbunifu sana! Hebu naomba tushirikishane namna/mbinu ya kutotolesha mayai kwa njia tofauti na incubators na kuku wenyewe! Kizuri kula na mwenzio Hilo wazo lako liweke...
  8. Ibrahimeliza

    Jinsi ya kutafuta eneo (location) kwaajili ya biashara

    Watu wengi tushawahi kuwauliza watu eneo kwaajili ya kufanyia biashara fulani, yaani baada ya kupata wazo unalitekelezea wapi...?? Njia rahisi ya kupata eneo sahihi kwaajili ya biashara yako ni WAZO. Ndiyo wazo lako linathamani gani..?? Ukishakuwa nawazo fikiria wazo hilo au biashara hiyo...
  9. Mchawi mwandamizi

    Mkata nyasi za garden natafuta kazi

    Natafuta kazi za 1; Kutunza garden 2; Kukata nyasi za garden Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
  10. Nyankurungu2020

    Waziri wa Nishati sio mbunifu kutuondoa kwenye matatizo yanayosababishwa na umeme. Hajui nchini kuna Uraniun?

    Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme. Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha...
  11. GENTAMYCINE

    Naomba kumjua Mbunifu wa Mtu 'Kuguna' akiwa Msalani ( Chooni ) pale akisikia Mtu mwingine anakuja Kuingia humo humo

    Ni kwanini Mtu aliyeko Chooni hasa akiwa Anakunya ( Wazaramo wanasema Anaukweka ) akisikia kuna Mtu mwingine anakuja Kuingia humo huwa anawahi Kuguna ( tena kwa Nguvu ) kama sehemu ya Kumjulisha ajaye kuwa yupo? Na Ugumu huwa unakuwa wapi kwa Mtu aliyeko Chooni ( Msalani ) kutoa tu Sauti kwa...
  12. pakaywatek

    Badala ya Bunge kuwa mtetezi wa wananchi, limekuwa mbunifu mkuu wa kunyonga Wananchi

    Alitoa hoja bwana Zungu kuwa wananchi wachangie serikali kupitia line za simu bila kujua kuwa tayari wanachangia kupitia kununua vocha na kutuma na kupokea pesa. Sasa zungu akatoa hoja nyingine ya wananchi kulipishwa mara mbili kwenye huduma moja, yaani pale unapotuma hau kutoa pesa kuna kodi...
Back
Top Bottom