kuosha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Naomba kujuzwa biashara ya kuosha magari (car wash)

    Habari wakuu, Naomba kwa mwenye ufaham wa biashara ya car wash,anipe Ushauri ni kiasi gani cha fedha kinatosha kuanzisha biashara ya kusha magari ya saizi ya kati? kama kutakua na mchanganua wa budget nzima itakua vizuri. Nina milioni 4 je inatosha?
  2. The Fishport Prince

    Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

    Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara. Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya kazi za ndani hasa juma mosi na jumapili ambapo siendi kazini. Leo niliamka saa kumi na moja...
  3. MulegiJr

    Kuosha mikono safarini, wakati na baada ya kula

    Jana nilikuwa Safarini kutoka Moshi Dodoma, nilipanda Bus ya Shabiby, tulipofika Babati tukashuka kula, nilipofika eneo la kuchukua chakula nikagundua Siku tatu mfulizo nimekula chipsi so siwezi kula tena chipsi nikasogea kwenye wali na Samaki nikavutiwa, nilipochukua msosi nikawaza kuchukua...
  4. P

    Baada ya video ya mhudumu wa afya kuosha vifaa tiba na maji baridi kusambaa, wamekurupuka na kutoa matamko mawili

    Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili. Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
  5. Suley2019

    Tusiache kuosha vyombo kabla ya kuvitumia hata kama ni visafi

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video hii nikaona sio mbaya nikiwaonesha nanyi ili mchukue tahadhari. Ni muhimu sana kusafisha vyombo au kusuuza kabla ya kuvitumia kutokana na kutembelewa na wadudu tusiowafahamu. Tazama hapa chini mjusi na mende wanachofanya.
  6. H

    Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari

    Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari hapa mjini Dar es Salaam. Mimi nina Pressure pump na vaccum cleaner. Tuchange fedha tupate eneo tuanze mdogo mdogo, aliye tayari au mwenye mawazo zaidi nakaribisha maoni Au nichek hapa 0685875749
  7. DR HAYA LAND

    Je, ni sahihi baba mwenye nyumba naye kupangiwa zamu ya kupika na kuosha vyombo?

    Habari za Muda huu Nipo na rafiki yangu, nimekua nikiona ana ratiba yake ya kupika na kuosha vyombo. Watu huku wenzetu wanamapenzi ya kizungu yaani huyu rafiki yangu kila Jumapili huwa anashinda Nyumbani na kufanya shughuli za kupika na kuosha vyombo achilia mbali kufua na kufagia uwanja. Je...
  8. BARD AI

    Binti aliyefutiwa deni Mloganzila aliwahi kuosha magari kutafuta ada

    Maisha ni safari ndefu, kuna milima na mabonde. Ndivyo unavyoweza kumwelezea Lightness Shirima, ambaye amepitia changamoto nyingi za maisha katika umri mdogo. Katika kuhakikisha anatimiza ndoto zake za elimu, Lightness amekuwa akitafuta msaada wa hapa na pale ili kufikia malengo, licha ya...
  9. clinton gidioni

    Kijana natafuta kazi ya kuosha magari

    Habara wapendwa poleni na majukumu. Kijana wenu natafuta kazi ya kuosha magari. Nina uzoefu wa kutumia mashine mbali mbali za kuoshea magari na nina uwezo wa kufanya service ndogo ndogo kwenye magari. Ninauwezo wa kuongea Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha Nina uwezo wa kuongea na...
  10. clinton gidioni

    Natafuta kazi kuosha magari

    Habari wapendwa poleni na majukumu. Wapendwa kijana wa kuosha magari anatafuta kazi. Nina uzoefu na nina uwezo wa kuosha gari vizuri kabisha na kutumia mashine mbalimbali. Naishi dsm gongo la mboto ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote . Nina uwezo wa kumshawishi mteja na nina uwezo wa...
  11. jeipm

    Wajane na wagane wapewe haki kisheria kuosha maiti za wapendwa wao

    Hili Jambo nimekuwa nikilishangaa hasa kutokana na dini kupoka wajibu wa mke au mme kuosha maiti ya mwenzi wake, mkewe au mmewe pale anapopatwa na mauti. Kwa sababu ndoa ni agano la mme na mke(mwili mmoja) kwa hiyo mme au mke aliyefiwa na mwezie ndie awe na haki ya kumuosha mpendwa wake. Hii...
  12. L

    Nafasi za kazi car wash

    Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu. Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga. Piga simu Na. 0717 26 33 77
  13. Swahili AI

    Mashine bora ya kuosha magari

    Wakuu habari za wakati huu? Naomba wataalamu mnijuze mashine ipi bora kati ya hzi kwa ajili ya kuoshea magari 1. Inayotumia umeme 2. Petroli/ injini Natanguliza shukrani
  14. 2019

    Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

    Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani. Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo? Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage (kukandwa kandwa) na...
Back
Top Bottom