kiafya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Uelewa mdogo wa jamii juu ya Uzazi wa Mpango, ni chanzo cha ndoa na mimba nyingi za utotoni

    Ukosefu wa Elimu ya Uzazi wa Mpango katika Jamii nyingi hasa Wazazi, hupelekea watoto wao kupata mimba za Utotoni ambazo nyingi husababisha ndoa za utotoni. Vijana wengi hawana Uelewa juu ya mabadiliko yao ya kimwili yanayoambatana na kuanza mahusiano ya kimapenzi kwenye Umri mdogo bila kuwa na...
  2. RAJ SIMBA

    Msaada wa tatizo la Kiafya

    Habar za mida ndugu zangu. Mimi nahitaji msaada wenu kuna tatizo linanisumbua. 1. Katikati ya kifua na tumbo panavuta Sana kwa ndani mpaka nahisi kama nimeweka mzigo mkubwa maana nahisi uzito. 2. Nahisi Ganzi kichwani, Mbavuni, tumboni na hii inapelekea mbavu na kifua kuhisi kama nimebanwa...
  3. J

    TBS yawataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa ili kuepuka madhara ya kiafya kabla ya matumizi

    SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa hususani za vyakula ili kuepuka madhara mbalimbali ya kiafya yanayoweza kujitokeza. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2023 Jijijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja wa Ukaguzi na...
  4. JanguKamaJangu

    Celine Dion asitisha kufanya shoo kwa sababu za kiafya

    Picha: Celine Dion Mwanamuziki huyo amesitisha shoo zake za Mwaka 2023 na 2024 kisha kuwaambia mashabiki wake kuwa anasumbuliwa na changamoto ya kutokuwa na nguvu za kutosha za kutembelea baada ya kugunduliwa na misuli kukaza. Mwaka 2022, Celine (55) aliweka wazi kusumbuliwa na ugonjwa huo...
  5. Melki Wamatukio

    KWELI Kuketi sehemu moja kwa Muda mrefu ni hatari kiafya

    Kuna ukweli wowote kwenye hili kuwa kuketi kwa muda mrefu sehemu moja pasipo kutembea au kujishughulisha na kazi yoyote ni hatari kwa afya?
  6. Engager

    Twambie Changamoto ya kiafya na Tiba yake ambavyo kisayansi ni kama havimake sense ila kiuhalisia vipo

    Kizazi cha wazee wetu wenye kujua tiba mbadala kwa matatizo ya kiafya yasiyo elezeka kisayansi, kinazidi kuisha. Tunabaki sisi akina .com Hivyo basi, kama uliwahi kudokezwa, kufanya ama kuona mtu akifanya tiba flani mbadala kwa changamoto flani ya kiafya na ikafanikiwa, si mbaya...
  7. CAPO DELGADO

    JE NINA TATIZO GANI LA KIAFYA.

    Habari wakuu. Nimeamka nije hapa Jamii Forum niweze kupata Ushauri WENU ndugu zangu. Ninasumbuliwa na Ugonjwa kwa Miezi Mitatu sasa. Historia Fupi ya Ugonjwa. Nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi kikavu kwa week Tatu kuanzia Tarehe Tano 5 Desember 2022 Hadi 23 Desember 2022. Ndipo nilipona...
  8. Black Butterfly

    Faida 13 za kula Machungwa

    Inawezekana pia hata kwa wale wanaokula, japo kidogo, hula kama kiburudisho tu bila kujua faida zake mwilini. Katika makala ya leo nitakujuza faida 13 unazoweza kuzipata unapokula chungwa, ambalo limesheheni virutubisho kibao. Kumbuka kuwa hata chungwa moja tu ukila lina kidhi yale mahitaji...
  9. Nyendo

    Ni kitu gani Mpishi akifanya anakuwa kaharibu Ubora wa Chakula?

    Chakula ni afya, chakula ni tia lakini chakula kinaweza kuwa na ubora mdogo au kukosa kabisa iwapo kitakosewa wakati wa kupikwa na kumaliza kabisa virutubisho. Chakula kama hicho watu hula kujaza tumbo lakini kinakuwa hakina faida kwa mwili. Je, nini mpishi asifanye au kuweka ili kupata...
  10. Chizi Maarifa

    Nadhani nimepata Changamoto labda kisaikolojia au kiafya. Napofanya tendo

    Wadau. Kama hili nalozungumza litakuumizal/litakuuma basi pole tu. Ni miezi kama 4 sasa najikuta napofanya mapenzi na mtu kumaliza ni shida. Nakosa kuenjoy sababu inaweza fika hata saa zima.simalizi. so mwenzi anaomba twende mapumziko. Au nikimaliza goal la kwanza. Round ya pili nitapata hamu...
  11. B

    Ridhiwani aungwa mkono kwenye Afya, apokea vifaa vya Afya Chalinze

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amepokea vifaa mbalimbali vya Afya kutoka kwa Shirika la Lion Club. "Nimepokea vifaa vya Huduma ya Afya kwa Zahanati ya Vigwaza ikiwemo vitanda vya Wagonjwa, vitanda kwa ajili...
  12. Lady Whistledown

    Japokuwa Madini ya Zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini yana faida kubwa sana kiafya

    Madini ya zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini lakini huwa na faida kubwa sana kwa afya. Kwa mujibu wa National Institutes of Health, wanawake wenye umri wa miaka 19 na kuendelea huhitaji kiasi cha 8 mg kila siku huku wanaume wakihitaji kiasi cha 11 mg. Wakati wa ujauzito na unyonyeshaji...
  13. Mia saba

    Kitaalamu ( kiafya ) inaweza kuwa na shida?

    Tunafahamu undugu wa watu huunganishwa kwa dam ( genetics ). Je ikitokea mtu kachangiwa damu na watu ambao sio familia moja na ikitokea wakapendana tuseme aliyechangiwa damu ( me ) na mtoto wa mchanga damu (ke) na wakafanya mapenzi, je kunaweza kuwa na shida juu ya mtoto atakayezaliwa na kiimani...
  14. Miss Zomboko

    Faida za Strawberry Kiafya

    FAIDA ZA STRAWBERRY MWILINI NI PAMOJA NA; 1. Husaidia katika kuimarisha uwezo wa ubongo katika kuweka na kutunza kumbukumbu,hivo kumfanya mtu kuwa na kumbukumbu zaidi 2. Matunda haya yana kiwango kikubwa cha Madini aina ya Zinc, hivo kusaidia katika maswala mazima ya uzazi kwa mwanaume 3...
  15. Lee Swagger

    Faida za Kiafya za Tangawizi na Vidokezo vya Lishe

    Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida kubwa tofauti kwa mwili na ustawi wetu kwa ujumla. Kwa muda mrefu, ilitumika katika jamii mbalimbali kwa sababu ya mali yake ya kawaida na ya lishe. Ina athari bora za ustawi na ubora na idadi kubwa ya wanamitindo na watumbuizaji hutegemea kunywa chai ya...
  16. C

    SoC02 Athari za uraibu kiafya na kiuchumi kwa ujumla

    Uraibu hutazamwa kama ugonjwa au utumwa wa ndani unaotokana na hali ya kuzoea kufanya kufanya kitu chenye madhara bila kujizuia . mara nyingi watu huzingatia Zaidi uraibu wa dawa za kulevya na kuchukulia ulevi kama tabia lakini kisichojulikana ni kua kuna uraibu wa mambo mengi kama vile uraibu...
  17. GENTAMYCINE

    Siyo umetoka huko na 'Domo Lako' umeshakula Mtindii na Kiporo cha Kande unakimbilia tu 'Kumbusu' Mtoto wa Watu haitakiwi kabisa Kiafya

    Siyo tabia nzuri kubusu watoto wa watu hasa midomoni pale tunapowatembelea. Midomo ya watu wazima hasa wasio wazazi wa mtoto husika haiwezi kuwa salama, pia ni ngumu kujua mhusika kapita wapi kabla ya hapo. Huu siyo upendo wala usasa. Tunapaswa kuikemea tabia hii. Chanzo: AfyaInfo
  18. Zegota

    Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

    Ni siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio mazingira hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya nishndwe kufanya kitu chochote cha maana zaidi ya kuzorota mwili. Binafsi nina utaratibu wa kupima afya...
Back
Top Bottom