Habari, wakuu.
Nimepata chanjo ya corona tarehe 15 mwezi huu pale hospitali ya bukoba government hospital. Sasa nimpewa cheti cha kawaida ambacho sio cha kidigitali.. nimeambiwa mtandao unasumbua hvo nsubirie kidogo ntatumiwa sms ya uthibitisho kuwa nimechanja pamoja na link ya kudownload hicho...
Habari za asubuhi
Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?
Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa...
Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona
Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu anahutubia Taifa kuuga mwaka 2021 na ameanza na mfumuko wa bei.
Rais Samia ametaja changamoto ya mfumuko wa bei ulioshuhudiwa 2021 kuwa ni zao la ongezeko la bei za mafuta kwenye soko la dunia. Aidha Rais Samia amelitaja janga la COVID19 kuwa sababu nyingine ya ongezeko la bei...
Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja.
Hii itasaidia
1. Watumishi kuto ambukizana
2. Watumishi kuto ambukiza wananchi
3. Wananchi kuto kuwaambukiza watumishi
Nchini Kenya idadi ya...
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.
Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona.
Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei...
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu.
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo.
Marehemu Hanspope...
SHETANI KAPANDISHA MOLI
Ndugu zangu tupo kwenye ulimwengu ambao shetani anatenda kazi sawasawa, ukiona mtu anasimama kupinga chanjo na hana evidence ya upingaji wake jua sio yeye bali ni mashetani yako kichwani yanamuongoza muhimu tumuombee
mashetani wanataka kuhakikisha mnakufa kwa ujinga...
COVID-19: Five police officers injured after violence breaks out at anti-vaccine protest in London
Ten people were arrested after demonstrators clashed with police in Canary Wharf and South Kensington.
Friday 3 September 2021 23:39, UK
“Kuna Mwanangu (Goodluck Gozbert) aliimba ‘hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa’, mwenye kinywa atasema tu anayotaka kusema lakini ukweli utabaki palepale, chanjo hizi za Covid-19 zinasaidia kupunguza maumivu na hatari ya vifo kwa Watu".
“Chanjo hatusemi ni kinga kabisakabisa lakini...
Habari zenu wana JF
Natumai mambo yanaenda vizuri ukizingatia leo ni siku ya mapumziko kwa wengi wetu.
Niende moja kwa moja kwenye mada, tar 16 mwez huu siku ya j3 nilifanya booking online kwaajili ya kupata chanjo ya covid 19. Nilitamani sana nipate hiyo chanjo siku ya ijumaa tar 20 mwez...
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof. Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
=============
Katibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.