Baada ya mabadiliko ya Mwenezi ndani ya chama cha Mapinduzi kuna kila dalili ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kurithi mikoba ya Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha!
Pia aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela kuna kila dalili ya kujaza nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa...
Katika Wizara ya Kilimo msimu ulipita 2022/2023 kwenye usambazaji wa mbolea hukufanya vizuri.
Pia kwenye kugawa pikipiki kwa Maafisa Kilimo mlilolifanya maana jana bado hatujaona impact yake. Kwenye kumshauri Rais vizuri juu ya kufunga ama kufungua mipaka pia hukufanya vizuri, ndio maana...
Sisi huku Tanzania bara viongozi wetu wanakwama wapi?
Gharama za chakula ziko juu Waziri anaulizwa anaongea brahbrah hakuna sauti thabiti ya serkali!
Bashe na Mwigulu hamna kitu pale ni kulinda masrahi ya wachache tu!
Saizi wanao uza chakula nje sio wakulima ni wafanya biashara kwa hiyo...
Serikali hii iliingia kwa mbwembwe mara chanjo ikadunda! Mara kufungua nchi na safari kibao lakini hamna la maana linaloonekana kwenye maisha halisi!
Kurudisha wezi na wababaishaji kama akina Makamba! Mara Royal tour ujinga huu wa ajabu kabisa usio na tija kwa taifa letu!
Bila kujipanga...
Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake!
Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa:
Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri!
Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama...
Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana.
Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia!
Mfano ni Zitto Kabwe kipindi...
Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe!
Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk!
Chegeni alipopigwa chini kwenye ubunge alijua adui yake ni Magufuli bila kujua kuwa Chegeni CV yako ya...
Nasema hivyo kwa sababu makao makuu ya mkoa na wilaya zake yanasikitisha!
Kila mradi wa serkali bukoba lazima uwe na ubishani na ujuaji unaosababisha kuchelewesha mradi! mfano ujenzi wa stendi mpya hadi sasa bado haujaanza ukiulizia sababu za msingi hamna!
Ukabila na ubaguzi kwa wageni...
Nasema hivyo kwa sababu!
Rais wetu kashafanya ziara ndani ya nchi yetu hususani kwenye mikoa ile ile mara mbili au tatu lakini hatujaona ikifanya hivyo kusini mwa nchi!
Mfano Rais wetu katembelea mara tatu mwanza na geita pia kwa kanda ya ziwa! Pia Arusha na Kilimanjaro katembela nako sio...
Serkali hii itahukumiwa na wananchi kiutendaji si kwa sababu Magufuli alifanya vibaya au vizuri!
Magufuli tayari ni mfu hana cha kujitetea hata tutukane vipi yeye kashatenda yake mabaya au mazuri shauri yake na Mungu wake!
Kujificha kwenye kivuli cha Magufuli kuwa alikuwa mbaguzi ni kwa wale...
Ukiwa unaingia katika JIJI la MWANZA utakutana na barabara nyembamba na iliyojaa viraka kila kona! Tunaomba SERKALI kwa kushirikiana na Halmashauri ya JIJI la MWANZA kuweka budget ya kuijenga barabara hii!
Pia kwa sasa kuna ujenzi wa stendi kuu ya Nyegezi haitapendeza kama barabara hii...
Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo:
I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Jamii ya watanzania ilishatoka huko kwenye uchifu!
Na huu upuuzi ukiendekezwa utaturudisha nyuma sana hasa kwenye baadhi ya jamii kwa kuongeza ushirikina na uchawi hivyo kupelekea mauaji kila kona ya nchi!
Ukitizama nchi ya Nigeria ina matatizo mengi sana kwa kuwa inaruhusu uchifu kitu ambacho...
Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia!
Mfano wa matukio kwa uchache!
I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa!
ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa...
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!
Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana...
Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.
Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.