Search results

  1. beatboi

    Malezi ya Mama pekee husaidia kugundua kipaji kuliko ya wazazi wote wawili

    Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti, 1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
  2. beatboi

    Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

    Habarini ndugu wanaJF, Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake. Binafsi nilikataa kulamba vitu...
  3. beatboi

    Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    ~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele > ~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu> ~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja> ~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli> ~udereva < wanaogopa ajari > ~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi> ~kilimo hakilipi...
  4. beatboi

    Hawa Waha wanaokopesha vyombo ni wachawi kweli kweli

    Nilijaribu kukopa begi la elfu 65 huku nikilipishwa bukumbili kila siku hadi itimie yote, kwa thamani ya lilie begi Kariakoo imezidi sana 35 ndio nikapanga kumlipa 40 kwa huruma yangu. Sasa hawa jamaa huwezi kuwadhurumu aseee, hata ukisafiri mwaka ukirudi utamkuta anakusubiri. Kuna jamaa yangu...
  5. beatboi

    Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

    Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle. Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku, *Kontawa *Maarifa *Toxic *Pmawenge...
  6. beatboi

    Nataka nimfungulie kesi aliyejitambulisha kama Customer care wa Halotel kwa kunitukana bila sababu

    Habari zenu watoto wa mama (SSH) Nimejikuta wiki nzima imeharibika baada ya kupokea matusi kutoka kwa mtu ambaye amejitambulisha ni mtoa huduma kwa wateja (customer care). Nilikuwa nimepumzika zangu majira ya asubuhi ghafla nikapokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anatoka kitengo...
  7. beatboi

    Tangu alijue kanisa ndio anazidi kunisahau

    Huyu manzi wangu nampenda sana lakini tangu alijue kanisa la Efatha imekuwa nongwa, muda wote yuko bize na vikao vya kanisani hta mzigo sipewi kabisa this time. Nimejaribu kumtia mikwala but amegoma na hataki hata kunisikiliza yaani inapita siku bila kuonana nae kwake fresh tuh, nahisi penzi...
  8. beatboi

    Hakutatokea tena msanii mkali, mwenye kipaji kama 20%

    hakutatokea tena msanii mkali, mwenye kipaji cha kueleweka na watu wa lika zote kama 20%... kipindi hicho anatoka ili msanii ukubarike ni lazima ubane pua au uwe na sauti ya kumtoa nyoka pangoni, ilikuwa ngumu kupenya mbele ya wababe wa melody kipindi hicho kama wakina mb dog, z anto,matonya nk...
  9. beatboi

    Ushauri: Ameniacha na hofu hapa, sijamuelewa kabisa

    Jana Xmas day mida ya jioni kuna demu wangu(mmoja kati ya watatu) aliniseti mapema kuwa atakuja geto kuzugazuga tuh coz hana pakwenda hadi mishale flani atarudi kwao, Yap ratiba ilienda kama ilivyopangwa (namshukuru sana kwasababu alinisave kinoma 🙏) na hata msosi alishakula kwao. Kuhusu...
  10. beatboi

    Wataalamu, hii tunaitaje?

Back
Top Bottom