Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

beatboi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
460
1,130
~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele >
~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu>
~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja>
~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli>
~udereva < wanaogopa ajari >
~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi>
~kilimo hakilipi
~ufugaji mambo ya kizee
Hawataki kuajiliwa
Kila kijana anataka kuwa msanii mkubwa

Hao Ukitumia hela zako wanakwambia freemason
Hao wanandoto za kumiliki mikwanja mirefu nk.
 
~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele >
~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu>
~kuuza duka
~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli>
~udereva < wanaogopa ajari >
~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa
~kilimo hakilipi
~ufugaji mambo ya kizee
Hawataki kuajiliwa
Kila kijana anataka kuwa msanii mkubwa

Hao Ukitumia hela zako wanakwambia freemason
Hao wanandoto za kumiliki mikwanja mirefu nk.

Hivi ni daradara ama daladala
 
~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele >
~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu>
~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja>
~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli>
~udereva < wanaogopa ajari >
~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi>
~kilimo hakilipi
~ufugaji mambo ya kizee
Hawataki kuajiliwa
Kila kijana anataka kuwa msanii mkubwa

Hao Ukitumia hela zako wanakwambia freemason
Hao wanandoto za kumiliki mikwanja mirefu nk.
Hapo umesema kweli sisi born town wengi hatuwezi kupiga hizo mishe, labda kwenye kuajiriwa tena sehemu ya mkwanja mrefu, tunapenda maisha nyepenyepe.
 
huwajui vijana wa mjini wewe tulia
Nenda ilala saa10 alfJiri wanavyofungua mabalo ya mtumba uone vijana mabishoo kibao wanavyopambana, nenda machimbo ya mawe ya limboa uone vijana wanavyombana kupasua kokoto kutafuta elf2 KWA siku, nenda wazo hill, nenda KWA mo dewji uone vijana wanavyobeba mabando kupakiza kwenye mafuso, vijana tushakubaliana na hali hakuna njia ya ku survive zaidi ya kupambana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom