Search results

  1. Tafakari_nami

    LIVE Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

    Itakuwa poa sana. Gari jipya na bei rafiki
  2. Tafakari_nami

    LIVE Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

    Ndiyo maana Marekani ana mpiga vita sana mchina. Yaani amesha shindwa kwa kila kitu mbele ya mchina
  3. Tafakari_nami

    LIVE Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

    Kiwanda cha mabasi ya Mwendokasi kije huku Tanzania
  4. Tafakari_nami

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Kaka kwenye kuwekeza kijeshi siyo lazima kununua vifaa vya biliions of Dollar. Juzi tuu hapo rwanda kanunua drones zina tumika na lile kundi lake lipo kule Congo ,haya sisi tuna hata hizo drones, tunajua hata kuzitumia, iraq umeona zile drones walitumia kupiga Israel sisi tunayo hata 1, ile moja...
  5. Tafakari_nami

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Kila miaka wao ni kubeba mizigo tuu mgongoni.
  6. Tafakari_nami

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Kila miaka wao ni kubeba mizigo tuu mgongoni.
  7. Tafakari_nami

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Hao WAMAREKANI wanaonyesha kubeba mizigo tuu ?! Si wana onyesha na technologies zao kwenye mambo mengine na vifaa vyao advanced. Hao wameonyesha nini zaidi ya mizigo ?
  8. Tafakari_nami

    Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

    Haitakaa itokee kwa sasa labda uko baadaye sanaaaa miaka 100 ijayo.
  9. Tafakari_nami

    Naomba Ushauri: Rafiki yangu alinidharau na kuniambia nanuka sasa ananiomba msamaha na anamtaka mume wangu

    Toka lini george aloyce akawa Mama wa watoto wa3. Tuanzie hapo kwanza..
  10. Tafakari_nami

    Kweli mapenzi yananenepesha

    Uache Nyeto sasa.
  11. Tafakari_nami

    LIVE Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

    BYD, XIAOMI au kampuni yoyote ya magari ije pia iwekeze Tanzania aisee. Dah Xiaomi mbaya sana kwenye EV yaani najua kabisa Elon Musk kila akilala lazima aote gari za Xiaomi zikiwa zina mkimbiza 😂
  12. Tafakari_nami

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Alafu waandishi wa habari walivyo kuwa wanafiki wana andika kabisa eti BALAA LA MAKOMANDO WA JWTZ. 😂😂😂😂 Sasa hapo kuna balaa gani, au kubeba mizigo ya kilo 70 ndiyo balaa lenyewe. Badala ya kuonyesha vifaa vya kisasa wao wana beba mamizogo ya kuvunja migongo.
  13. Tafakari_nami

    TTCL kufanya maboresho ya mifumo

    Huu mtandao kumbe bado upo. Nilisha hama mara baada ya kuona hawaeleweki hata signal zao za shida sana.
  14. Tafakari_nami

    Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

    UJUMBE UMFIKA. Iwe PHD,PhD,phd iyo wewe utjaza mwenyewe kikubwa umesoma na ume elewa kilicho andikwa.
  15. Tafakari_nami

    Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

    Tayari una PHD mkuu. We endelea KUGUNDUA tuu.
  16. Tafakari_nami

    Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

    ALAFU ANA JIITA .. .. PHD. HIVI ANAJUA MAANA YA PHD AU AFUNGWE KABISA KWA KUDHARAU HICHO CHEO PHD. KIAZI + KILAZA = ... ... ...
Back
Top Bottom