Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Alafu waandishi wa habari walivyo kuwa wanafiki wana andika kabisa eti BALAA LA MAKOMANDO WA JWTZ.
😂😂😂😂 Sasa hapo kuna balaa gani, au kubeba mizigo ya kilo 70 ndiyo balaa lenyewe.

Badala ya kuonyesha vifaa vya kisasa wao wana beba mamizogo ya kuvunja migongo.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Ukomavu huu wakingese kabisa wakija wale wakoloni kutaka kutufanya watumwa tena itakuwa kazi ndogo kwao. Tunahitaji kuwekeza kwenye mbinu mpya hata uwe na kachupi unaweza fanya maangamizi sio kubeba mizigo kama watalii wa kizungu wa miaka ya 90’s.
Kaka, majeshi yote hufanya uwekezaji kulingana na hali ya maendeleo ktk sekta ya ulinzi. Aidha, nguvu ya kijeshi kwa nchi za kawaida huwa ni siri. Mataifa yaliyoendelea na baadhi ya mataifa ya Afrika ndio huweka wazi taarifa za maendeleo ya kijeshi. Nakumbuka kuna sherehe za maadhimisho ambapo tulionesha uwezo wetu wa kimapigano! Vifaa na dhana kadhaa za kijeshi vilionyeshwa! Kila jambo hufanyika kwa kusudi maalum
 
Ujinga ni kuamini na kujua kuwa kinachofanywa ktk hayo maonyesho ndio ulinzi...
Hamna kitu walevi tu ninyi. Ndiyo maana mnapambana kujitofautisha na raia kwa mavazi badala ya mbinu za kivita. Hopeless!

Sasa kama siyo ya ulinzi mnaonesha ya nn? Mbona unapingana na wasemaji (m.c) wa majeshi wakati wa maonesho??
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
🤣🤣🤣🤣Miaka yote ni marobota ya kilo 70
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Ni Bora tungeonyesha how tume be advanced kwenye technology

Nakumbuka:

UJITUKABEJA 😊
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Siyo Jeshi tu hata sekta zingine zinapaswa kuonyesha umahiri wa technolijia. Sasa jiulize wewe kwenye sekta yako kuna kipi kipya kinachoendana na wakati au ndiyo ile kutoa kibanzi kwenye jicho la mwingine ilhali nawewe una boriti jichoni?
Benki na TRA kuna mabadiliko mengi sana. Miaka ya nyuma matumizi ya teknolojia ktk malipo ya Kodi TRA, ama kufanya miamala benki ilikuwa lazima ifanywe ofisini.
 
Yaani nimesikitishwa sana na nilicho kiona leo pale uhuru stadium. JESHI MAMBO MENGINE YANGELIBAKI KUWA SIRI ZA JESHI TU. 🙄😤 Hebu imagine yale ma drone Iran yalivyo tulizwa wenge juzi na jeshi la Israel hebu imagine 😌 halafu angalia sisi 😂 si bora tufiche mambo mengine aisee.
Yale makomando wa jwtz yanauwezo wa kudaka mdomoni hizo drone na kuzitema kuzipelekea zilikotoka
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Hapo nimeoa ni makomando, hebu jaribu kucheki na makomando wa wenzetu, nadhani nao watakuwa hivyo hivyo.

Kuhusu suala la silaha bora, shidani serikali yetu, elimu duni, pesa wananunulia mavieite.
Wanataka wanajeshi wakate mishahara yao wakanunue Missiles? If the policy aren't tight, How can JWTZ be good.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Majeshi yetu yapo relevant na mazingira yetu
Gorilla wars ndo kitu tunapambanaga nayo OP zote
And we are damn good no doubt
 
Back
Top Bottom