Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 626
- 1,169
Mkuu hapo chimba kisima tu iko siku utajukuta unaogelea ukiwa ndaniHii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena nakuta wet majimaji hapo ndio sasa naamini maji yanatokea chini yanapenya taratibu kwenye tiles na Mimi sijajenga mabondeni, tatizo ni nini hapo na nifanyaje?