Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Kwa upuuzi wa watawala wa Tanzania inawezekana mwanamke kuwa mkuu wa majeshi lakini Kwa Nchi zinazojitambua kama huko ulaya huwezi kusikia huo upuuzi.
Admiral Lisa Franchet -mkuu wa jeshi la wanamaji (Navy) huko Marekani.

Admiral Antonette Wemyss-Gorman - Mkuu wa Majeshi ya Jamaika

Major General Alenka Ermenc
Mkuu wa Majeshi - Slovenia
 
Wanawake jeshini hupelekwa Frontline vitani?

Tuanzie hapo.
Israel, Eritrea and North Korea
USA,Canada,Germany,Australia
Norway,Denmark,Finland,Sweeden
New Zealand ,France,India


Hizo nchi zinaruhusu wanawake kwenye uwanja wa vita...
Na nchi zinazidi kuongezeka...
 
Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike

Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Source: TBC
Wakitukatia umeme hatukuona chochote.

Nimeamini kuna watu wanajua kufanya subotage tusione maadhimisho ya muungano
 
Sijawah kusikia mwanajeshi mwanamke kauwawa vitani,

Wote ambao nawaona na kuwasikia ni wanaume tu

Hivi wanawake huwa hawaendagi huko kupigana ??
Huwezi peleka mwanamke uwanja wa vita ikianza kupigwa mizinga wanableed maumbile ya kike hayataki shuruba saana.

Kwa vita za kisasa hizi sawa maana vita za siku hizi zinapigana kwa computer kama games vile..mwendo wa drone tu.
 
Israel, Eritrea and North Korea
USA,Canada,Germany,Australia
Norway,Denmark,Finland,Sweeden
New Zealand ,France,India


Hizo nchi zinaruhusu wanawake kwenye uwanja wa vita...
Na nchi zinazidi kuongezeka...
Kati ya nchi hizo,
Tanzania unayodai CDF wa kike imo?
 
Anawaza Utawala, Uarabu na UANAMKE bila kusahau kulea UFISADI.

Jangwani ni kama hawapaoni, Saivi mtu unatumia masaa mawili kwa elfu 5-10 kutoka Magomeni mpaka Fire.

Madafanta🚮
 
Anawaza Utawala, Uarabu na UANAMKE bila kusahau kulea UFISADI.

Jangwani ni kama hawapaoni, Saivi mtu unatumia masaa mawili kwa elfu 5-10 kutoka Magomeni mpaka Fire.

Madafanta🚮
majanga ya kiasili hayanaga wa kulaumiwa 🐒
 
Back
Top Bottom