Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

Huyo akipewa mafunzo akaiva anamaliza kila kitu bila makelele ya risasi. Binadamu silaha yake kubwa ni mind sio mimisuli.
Kwamba umpeleke huyo front line vita vya Ukraine na Urusi akatumie mind bila misuli? Good luck, sir
 
Raise Samia 2030 msishangae,labda mwanamke atakuwa CDF.
I don't see anything funny about this joke.
Dini zote zinakataza uongozi wa mwanamke katika ngazi za juu.
Hapa inatokea taharuki sana kiongozi akitukanwa.
Watu wanateswa mateso yasiyotamkika kiongozi akitukanwa.
Wananchi walio wengi hawana tabia ya kutukana viongozi,na kwa hili wanastahili pongezi.
Lakini utawaona hawa watu hawamtukani rais,hawamtukani waziri( isopokuwa yule jamaa wa jana Bagamoyo),hawamtukani mkuu wa mkoa,hawamtukani mkuu wa wilaya,hawamtukani diwani,hawamtukani kiongozi wa dini.
Lakini wanazitukana nafsi zao.
Quraan inaongea sana kuhusu watu wanaozidhilumu nafsi zao.
Kwa hiyo kila lazima aheshimu mamlaka. Imeandikwa katika Biblia.
Katika Biblia hiyo hiyo imeandikwa viongozi wajiheshimu.
Kwa sababu itakuwa ni kufuru kumtesa mtu aliyemtukana kiongozi kama viongozi hawajiheshimu.
 

Attachments

  • 330px-Alenka_Ermenc_2018.jpg
    330px-Alenka_Ermenc_2018.jpg
    21.7 KB · Views: 2
Tushukuru Kwa tulichonacho hata sasa..Kulinda nchi na mipaka ni zaidi ya Silaha pia mbinu Za Kibona Damu..Uzalendo unaoonyeshwa na majeshi yetu ktk level mbalimbali si jambo la kubezwa Bali kutukuzwa..

Tunahitaji uwekezaji mkubwa ktk teknolojia na kuongezwa upya Kwa vitengo vya kimkakati Kwa kuzingatia matakwa ya dunia ya leo..

Mathalani jeshi letu lapaswa kuwa na vitengo vya Information Support Force, the Aerospace Force and the Cyberspace Force.Vitengo hivi vihusishe uwekezaji wa kiteknolojia Za Kisasa yanayohusisha AI,Robotics instruments and cybersecurity systems.

Ni wakati sasa baadhi ya nafasi Za uongozi ikiwamo Uwaziri,Unaibu Waziri na Ukatibu mkuu ktk Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa,Mambo ya ndani wapewe wanajeshi wastaafu Kwa ngazi ya Ujenerali (Generals)..Hili litaimarisha sana weredi na ustawi wa usimamiaji uzalendo Kwa maslahi ya taifa letu.
 
Back
Top Bottom