Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo.
Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report.
Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe...
Nikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na thinking zilizo na mashaka. binafsi nadhani uongozi wa nchi umeua Elimu tunayoihitaji kama jamii...
Naanza kwa kuwachana watanzania wenzetu hasa makundi haya muhimu .
1. Wabunge wanaojiongezea malipo yasiyo na uhusiano na Hali halisi ya watanzania
2. Viongozi kama mawaziri na makatibu wakuu mnaotumia nafasi zenu hadi kutuhumiwa kununua majumba Dubai na Africa ya kusini, mikocheni nk
3...
Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa kila mtu anapata kwenye ofisi yake.
Kauli yako Makonda imerejea Kauli ya boss wako ya kila mbuzi...
Kama ni mfuatiliaji mitandao ya kijamii hasa u tube utanikubalia kuwa Zama zimebadirika.
System ime benefit kwa muda mrefu kutokana na ujinga wa jamii tuliyonayo
Kwenye mitandao ya kijamii watanzania wamekuwa kaa la Moto. Akili zilizoko huko ndani ndo zinezaa matunda mahsusi ya haya...
Katika interview aliyofanyiwa Bwana Kigwangala ameonyesha wasiwasi wa kuwa wanasiasa wenzake katika chama chake wanafanya kufuru ya wizi wa mali za umma kununua majumba katika maeneo yasiyofikirika mtumishi wa umma kumiliki majengo kama Mikocheni, Dubai, Afrika ya kusini nk. Huyu Mh. amewahi...
Wakati wa kipndi cha Rais Magufuli na mheshimiwa Lukuvi walijitokeza madalali wa kampuni ya PMM wakaanza uthamini wa nyumba za watu zaidi ya 4000 na wakazi 70,000 katika eneo la Vingunguti. Kwa kuwa uthamini huo ulikuwa wa kitapeli usiokuwa na manufaa kwa umma Serikali ya awamu ya tano...
Tuache unafiki kama nchi something has to be done kukomboa hii jamii. Kati ya malengo makuu ya Elimu ni kufanya mhusika kujiamini na kuyakabiri mazingira anayoishi.
Jamii yetu kwa miaka ya hivi karibuni imeonyesha kwa kiwango kikubwa wasomi wake kupoteza mwelekeo kutokana na neno uchawa.
Haina...
Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati.
Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
Huwa sielewi. Rish Sunak asili yake ni India, nchi yake ya UK imekuwa kwenye negotiation ya trade deal na India kwa miezi mpaka wanafika sehemu wanaweka pause then wanaendelea na sometime prime minister anafanya visit na anarudi patupu.
Marekani ili push UK ijiondoe EU kwamba trade deal itakuwa...
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.
Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni...
Ni dhahri serikali ya sasa na hasa wizara yake ya fedha haijihangaishi kutoka kwenye comfort zone. Ndio maana badala ya kupambana na kukusanya Kodi inataka tozo na Kodi rahsi kutokea miamara ya umeme nk, sasa badala ya kupambana na majizi bandarini inagawa bandari zetu ili ipate pesa bila jasho...
Binafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao.
Haijalishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali. Ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka...
Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao.
1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi.
2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae...
Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia.
Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi ni volatile na tunahitaji jamii nzima kuwa so sensitive na mipango ya serikali. Binafsi na nadhani...
Kuna mambo huwa yanapita bila kuhojiwa japo huwa yanazunguka kwenye vichwa vya watu.
Mojawapo ni jamaa waliounga bomba la mafuta la kigamboni hii issue ni ya uhujumu uchumi japo ni kama iliisha kirahsi rahsi kwa mtazamo wangu. Nitafurahi kama kuna anaejua hili nalo liliishaje.
Ama ukiona hili...
Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila...
Wadau wa utalii wamejitahidi sana kutetea hoja ya matumizi ya raslimali za nchi.
Hoja zangu ni hivi, inatia moyo kuona wananchi wako macho juu ya rasilimali za Taifa tofauti na huko nyuma.
1. Kila mtanzania anajua kuwa baadhi ya viongozi walishawahi jihusisha na usafirishaji wa wanyama hasa...
Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni;
1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake?
Mwenye most...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.