Search results

  1. C

    Majuto Baada ya usaliti

    Wakuu habari. Kwanini Huwa Kuna majuto Baada ya usaliti katika ndoa pindi ndoa inapovunijika, hii ni kwa mwanamke au mwanaume kuwa chanzo. Teña hatari zaidi kwa mwanamke kudanyanywa na mchepuko kuwa ataolewa nae na asiolewe. #Wanajamvii ufafanuzi
  2. C

    Anatafuta mke

    Wakuu habari, anahitajika binti umri miaka 18 Hadi 25, awe sunni, ibada Sala Tano ikiambatana na stara ya kisheria.. muoaji ni muajiriwa serikalini umri wake 28. #0762922336
  3. C

    Msaada hospitali inayofanyia mazoezi kwa mashine watoto umri chini ya miaka mitatu waliochelewa kusimama na kutembea

    Wakuu habari, naombeni msaada kwa hospital inayofanya mazoezi kwa kutumia mashine kwa watoto umri chini ya miaka mitatu. Naomba pia kujuzwa gharama maana mwangu ana bima NHIF. MBARIKIWE.
  4. C

    Naombeni ushauri wakuu

    Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja. Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa...
  5. C

    Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  6. C

    Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
  7. C

    Hospitali ipi ninaweza kumfanyia kipimo cha EEG test kwa Tanzania, mwanangu anasumbuliwa na degedege

    Wakuu habari, Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF). Mbarikiwe
  8. C

    Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

    Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa. Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16...
  9. C

    Kozi gani nzuri kwa kombi ya HGK?

    Wakuu habari, Kulingana na dunia ilivokasi kwa sass, ni kozi gani muhusika wa masomo tajwa hapo anaweza kusoma kwa lengo la kujiajiri na kuajiriwa. Mbarikiwe.
  10. C

    Msaada: Vyuo vinavyotoa Bachelor of Science with Education vyenye ada nafuu

    Habari ya asubuhi, naomba msaada wa vyuo vyenye ada nafuu kwa kozi tajwa hapo juu Mbarikiwe
  11. C

    Msaada: Mwanangu ana miezi 12 bado hajaanza kutambaa, yeye ni kukaa tu

    Habari ya muda huu. Mwanangu wa miezi 12 hajanza kutambaa, naombeni ushauri wenu ila alichelewa kulia wakati wakuzaliwa lakini pia degedege huwa inamsumbua. Naombeni ushauri wenu namna ya kumsaidia inaniuma saana ndugu zangu.😭😭😭
  12. C

    Upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi wilayani Kiteto

    Wilaya ya kiteto iliyoko mkoani Manyara, inakabiliwa na upungufu wa walimu 670 wa shule za msingi hivyo Serikali na wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana kutatua changamoto hiyo, ili kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi. Chanzo: ITV
  13. C

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere kule Uganda wametengeneza Mabasi yao yanatotumia Umeme.

    Ugandan students at Makerere University have produced their first set of electric buses. Africa Facts Zone on Twitter Je hawa wanafunzi wa vyuo vyetu wanatengeneza nini?
  14. C

    Serikali kuajiri watumishi wapya 44,811

    DODOMA. Serikali ya Tanzania inatarajia kuajiri watumishi wapya 44,811 katika mwaka wa fedha 2020/2021. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 15, 2020 wakati akiwasilisha bajeti yake kwa mwaka huo...
  15. C

    Kwanini kiinua mgongo kwa wastaafu kinachukua muda mrefu katika ulipaji?

    Habari wakuu.. Mojakwamoja, Naongea nikiwa na uthibitisho kutoka kwa wazee fulani wastaafu wakilalamika kuwa fedha zao mpaka sasa hawajalipwa ni mwaka sasa. Wanadai yakwamba wamekuwa wakifatilia mafao yao ya uzeeni pasina suluhu yeyote zaidi yakuambiwa mafaili yao yapo benki kuu kwa malipo. Je...
  16. C

    Ujumbe mfupi wa meneno makapuni ya kubeti na michezo mbalimbali zimekuwa kero

    Habari wakuu. Kulingana na michezo mbali mbali ya kubashiri hapa nchini kuwepo, sasa imekuwa kero yaani haipiti nusu saa ujumbe wa maneno umeingia kwenye simu. Pendekezo: kuwe na limit ya utumaji wa message hizo.
  17. C

    vyuo vikuu mpaka sasa havijafungua mifumo kwaajili ya udahili wa awamu ya nne

    Wakuu; Mpaka mudaa huu vyuo vikuu mfano,udsm,udom,mwecau n.k havijatoa mrejesho kwa wanafunzi wa round ya tatu. Hali ya kuwa tarehe 13/10/2018 wanafunzi wa round ya nne wanahitaji kuanza kuomba. je uchelewaji huu hautaathiri waombaji wa awamu ya nne?
  18. C

    Natafuta Soko la njiwa manga

    Wakuu habari zenu. Nina njiwa manga,nahitaji kufahamu soko lake kwa hapa dar es salaam ili niweze kupeleka kwaajili ya kuwauza. Mawasiliano#0742191819
  19. C

    kuolewa kwa wanawake wazuri

    habari za sahii... katika kuketi sehemu hivi nikiwa napata moja baridi isiyo na sukari. Hivii... hawa wanawake wazuuri kabisa ambao hawataki kuolewa wanataka bata za mjini,hivi huwaga wanakuja kuolewa na watu wa aina gani? kama tunavyoona wasanii wenyewe wanaoaa watu wakawaida mno. #karibuni...
Back
Top Bottom