Search results

  1. TAI DUME

    Kuhusu kufatwa PM na kuombwa

    Maxence Melo naomba mwongozo. Mimi ni muhanga wa kufatwa pm na kuombwa kusapoti kupigia kura (wenyewe mnasema ku-vote) mada ya wadau wanaoshiriki shindano la story of change. Na kiukweli sina roho mbaya kihivyo kwahiyo nikawa natoa vote za kutosha tuu kwa walionijia tena sometimes bila hata...
  2. TAI DUME

    Msaada wa kutafsiri Ndoto

    Wakuu habari ya mihangaiko Ni kwamba nimekuwa nikiota nipo uwanjani nacheza mpira (football). Inaweza ikawa katika nafasi tofauti tofauti ila mara nyingi nacheza forward. Kinachonikwaza/Kushangaza katika ndoto hizo ni pale ninaposhindwa kutumia nafasi muhimu, let say kumalizia tuu kufunga goli...
  3. TAI DUME

    Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Wadau Niliahidi hapa kwenye huu uzi wa Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa kwamba ikitokea nimepata sehemu ya kupiga kazi ningewajuza. Nachukiua nafasi hii kuwafahamisha kwamba nimefanikiwa/bahatika/barikiwa kupata kazi kutokana na connection ya mdau mmoja aliyepitia...
  4. TAI DUME

    From Taidume to the people of Tanzania

    Dear Friends As we stand on to welcome the New Year -2024, I wanted to share a something that echoes the spirit of Tanzania, a nation that symbolizes resilience, unity, and the pursuit of dreams. Join me on a journey through the diverse landscapes from my beautiful country, TANZANIA. My...
  5. TAI DUME

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    UTANGULIZI Wakuu habari. Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua kushea uzoefu wangu kwa mtindo wa Masimulizi (katika episodes) kwa kuamini pengine inaweza kuwa na...
  6. TAI DUME

    Huu waraka una maana gani?

    Wataalam wa hizi kazi naomba maana ya kilochoandikwa kwenye picha hii. Hili karatasi nimeliokota jirani na mlango wa chumba changu Asanteni
  7. TAI DUME

    Ndoa ndoano

    Katika Mapenzi Wakati Mwingine Gharama za Maumivu ya Mtu Mwingine ndio Gharama za Furaha kwa Mtu au Watu Wengine...Sikia! Elie Taktouk, ambaye Ni Milionea Mwenye Asili ya Lebanon alifunga Ndoa na Mwanamitindo Mlimbwende Mwenye Asili ya Lebanon pia Mwanamama Daniella Semaan,Mrembo Kweli kweli...
  8. TAI DUME

    To all marketing or brand promotion manager from brew companies

    Wandugu I am reaching out to you with a crazy idea that I'm sure will boost your business. As we all know, people love to come together, socialize and have drinks including cold beers😋🍺🍻 whoow I love it!!!!!!!! As the matter of fact, Brew drinking is a popular pastime in Tanzania, enjoyed by...
  9. TAI DUME

    Hii ni shida ya Watanzania au Wakenya?

    Cheki hiyo video
  10. TAI DUME

    Yanga Nimewaita Mara Tatu

    Ni kombe la luzas. Wamekutana wabovu watupu lazima apatikane mwenye afazali mmoja
  11. TAI DUME

    Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

    Kiuhalisia simba hatuna timu ya kushindana kwenye ligi wala kwenye mashindano ya kimataifa. Timu iko flop. Lazima tukubali mpira wa sasa hauchezwi kwa historia eti kwa mkapa hatoki mtu huu ni uzwazwa. Ni hivi, Simba imekuwa ikisajiri kwa ujanja ujanja, ni kama viongozi hawapo serious huku...
  12. TAI DUME

    Mke wangu amepewa taarifa zangu na mtandao wa simu. Kisheria imekaaje?

    Wakuu! Wiki 2 zilizopita nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa kazi ya siku 5. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani nikaongezewa kazi ya wiki moja nyingine. Kimbembe kikawa kwa wife nyumbani hakunielewa. Kukatokea kupishana ila mm sikujali sana coz sikuichukulia serious sana na kweli nilikuwa...
  13. TAI DUME

    Nataka kushea mtaji na mtu mwenye biashara

    Wakulungwa wenzangu Baada ya hizi sikukuu za mwisho wa mwaka kupita nimefanikiwa ku-save cash kidogo. Sasa nimekuwa nikifatilia changamoto mbali mbali za wafanyabiashara ndogo ni pamoja na kutokuwa stable kwenye mtaji. Kwa kuanzia mimefikiria kushea mtaji na mtu mwenye biashara yoyote yenye...
  14. TAI DUME

    Mke wangu mjamzito ila analalamika sana kuumwa na tumbo

    Wakuu habari zenu, Shemeji au wifi yenu ni mjamzito karibu anafunga mwezi wa tatu. Mimba bado ni changa. Kuanzia mimba ilipotimiza miezi miwili amekuwa akilalamika sana tumbo kumuuma kwenye kinena. Maumivu yalianza taratibu lakini sasa imefikia hatua mpaka anashindwa kuamka. Wakati mwingine...
  15. TAI DUME

    Historia ya dunia inapaswa kumkumbuka huyu mwamba wa Kirusi, kwani alishawahi kuuokoa ulimwengu

    Huyu mwamba hapo pichani anaitwa bwana Vachili Archipov. Alikuwa ni mwanajeshi wa jeshi la Urusi kitengo cha kulipua mabomu kwenye manowari jeshi ya kivita huko Urusi, wakati huo ikijulikana kama USSR (Ukraine ilikuwa sehemu ya USSR). Ilikuwaje kuwaje mpaka akauokoa ulimwengu dhidi ya maafa...
  16. TAI DUME

    Ulaghai wa wakoloni

    Walipofika wao walikuwa wana Biblia, sisi tulikuwa na ardhi. Wakatuambia tufumbe macho na tusali. Tulipomaliza kusali na kufumbua macho, wao walikuwa na ardhi, sisi tuna Biblia. Wakatuambia "msiue". Lakini wao waliua zaidi ya ndugu zetu milioni 8. Tena wakatuambia "msiibe". Huku wao...
  17. TAI DUME

    Mjue nabii wa kiafrika aliyemwigiza Nabii Daniel wa kwenye Biblia kuingia katika banda la simba wenye njaa kali

    Huyo mwamba pichani upande wa kushoto alipata kuwa nabii mkubwa sana huko Nigeria kwenye miaka ya 80 na 90. Anaitwa nabii Daniel Abodunrin. Unambiwa mwamba alikuwa anafanya miujiza mikubwa mikubwa , alitabiri mambo kwa ufasaha na alikuwa na wafuasi wa kutosha ambao walimwamini sana. Yote hayo...
  18. TAI DUME

    Ili kumaliza ubishani timu gani ina mashabiki wengi kati ya simba na yanga nashauri kiwekwe kipengere cha kuuliza swali hilo kwenye sensa ya Agosti 23

    Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote. Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna. My take: Mimi ni simba galagazwa
  19. TAI DUME

    Baada ya hotuba ya Rais leo, tujiandae kuona utitiri wa ID mpya hapa JF zenye mrengo wa kumshambulia

    Nachojua ayubu na wote walio nyuma au mbele yake hawatakubali. Nahivi wanajua bimkubwa anachungulia mitandaoni sana ukiwemo hapa Jf tujiandae kupokea wageni lkn wenyeji sana hapa. Kama sio kwa maelekezo ya moja kwa moja toka kwa ayubu basi itakuwa ni hasira za wale watakao achwa au kutemwa na...
  20. TAI DUME

    Msemaji wa simba sports club

    Nauliza hivi, hivi mwijaku bado ni msemaji rasmi wa club ya simba? Kama ndie mbona simaikii wala kumuona akiifanya kazi yake mana yupo kimya sana. Kama siye mwijaku basi ni nani? Au club bado ipo kwenye mchakato? Mana nakumbuka ni kama simba ilimtangazaga mwijaku ila wadau wengi sana...
Back
Top Bottom