Mjue nabii wa kiafrika aliyemwigiza Nabii Daniel wa kwenye Biblia kuingia katika banda la simba wenye njaa kali

TAI DUME

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
9,040
23,714
main-qimg-33ba7e198ecc0125a6a5e8d0c881265b.jpg

Huyo mwamba pichani upande wa kushoto alipata kuwa nabii mkubwa sana huko Nigeria kwenye miaka ya 80 na 90. Anaitwa nabii Daniel Abodunrin. Unambiwa mwamba alikuwa anafanya miujiza mikubwa mikubwa , alitabiri mambo kwa ufasaha na alikuwa na wafuasi wa kutosha ambao walimwamini sana. Yote hayo aliyafnaya kupitia maandiko matakatifu ya kwenye Bibilia.

Ilikuwa mwaka 1991, huko mjini Ibadani ambapo nabii huyu aliamua kuwaaminisha wafuasi wake kwamba ameoneshwa na Mungu kwamba anaweza kufanya miujiza mikubwa kama waliofanya manabii wa kale ikiwemo hata kuingia kwenye kwenye kibanda cha simba (lion den) wenye njaa kali na akatoka salama kama alivyofanya wajina wake nabii Daniel (ile stiory ya Daniel kutupwa kwenye pango la simba na akatoka salama). Kwahiyo huyu mwamba akaitangazia dunia anayetaka kuona miujiza ya Mungu ya nabii kuingia kwenye kwenye banda la simba wenye njaa na akatoka salama basi tukutane kwenye maonesho ya "saba saba" ya Nigeria yanayofanyika katika viwanja vya chuo kikuu cha Ibadan - Nigeria.

Unaambiwa hiyo siku na saa takatifu ilipowadia umati ulikuwa mkubwa sana mpaka kufikia polisi kuzuia watu kuingia viwanjani. Nabii Daniel wa nigeria aliingia hapo viwanjani akiwa amevalia joho jekundu na Bibilia mkononi. Nabii akaoneshwa banda lenye simba sita wakubwa tupu. Uongozi ulijaribu kumzuia lakini kwa kuwa mpaka alisha lipia zoezi hilo na kwa kuwa aliwahakikishia hakuna kitachompata, na endapo kutakuwa na madhara yoyote itakuwa ni juu yake, basi uongozi ukamwacha afanye anachotaka.

Mwamba akalisogelea banda akalizunguka mara saba huku akinena kwa lugha na mambo mengine kama ambavyo tunawaona manabii wa huku wakifanya. Then akaamuru sasa mlango wa cage ufunguliwe, kisha ufungwe kwa kufuli, na asisogee mtu mpaka atakapoita afungulwe baada ya muujuza kutokea, maana Mungu anayemwamini anaenda kutenda makuu sasa.

Nabii akaingia kwenye cage akiwa na bibilia pamoja na msalaba mikononi mwake huku akiwa bado ananena kwa lugha kusifu ukuu wa Mungu. Unaambiwa alipoingia tu mle ndani huku akiwaonyeshea wale simba msalaba walirudi nyuma kwa hofu kuu. Raia zikashangila, nabii akapata kichwa na kwa ujasiri mkuu akatangazia umma show mbona bado, subirini naenda kumpanda simba mmoja mgongoni kama farasi. Watu mayowee. Nabii akaanza kumsogelea simba mmoja, simba akaa standby. Unaambiwa gafla bin vuu simba wakaanza kumshambulia nabii.

Mashuhuda wanasema wale simba walinyang'anyana minofu ya nabii Daniel kama hawana akili nzuri, Unaambiwa wale simba ni kama walijua huyu nabii anataka kupata umaarufu kupitia wao, yaani nabii aliwakera hasa. Simba walisema bora hata angeenda peke yake ila sio kuwadhalilisha mbele ya watu wengi vile. Hawakukubali. Wakang'ata nyama za nabii mpaka alivokufa. Cha ajabu wale simba walifahamu nabii kafa hawakujishughulisha nae tena, maana kwa kawaida wangeanza kutafuna nyama pale pale bali wao wakalala chini wakimuangalia tuu huku kucha na meno yao vikiwa vimejaa damu. Huo ndio ukawa mwisho wa nabii Daniel Abodunrin wa huko Naijeria.

MY TAKE: Nafikiri nabii alijizima data makusudi akijisahaulisha kwamba Mungu hajaribiwi. Mungu huwa hapangiwi cha kufanya kwa kumjaribu, yeye ndie anaamua wakati gani na kwanani ajidhihirishe nguvu zake. Hata kama mimi ningekuwa Mungu ningemkataa.

Wasalaam kwa leo​
 
Ndio hapo mjue kuwa biblia ni utapeli mtupu.
Sasa Bible imeingiaje hapo?! Huyo ameenda kwenye hatari kwa kuifuata. Kwenye story ya Bible jamaa alikamatwa na mfalme kwa nguvu na adhabu yake ikaamriwa atupwe katika shimo la simba wenye njaa aliwe vibaya sana.

MUNGU akatuma malaika wake wakaenda kuwazuia Simba kumfanya chochote Daniel na kumuwekea ulinzi. Na kweli alikaa muda mrefu na hao simba wenye njaa kali hapo shimoni na hakuna walichomfanya.

Mfalme akarejea na kuchungulia na kugundua Daniel yupo mule shingoni hana hata mchubuko na Simba wametulia tu hakuna walichomfanya. Akastaajabu sana akaona kweli jamaa alikuwa ni mtu mzuri na alikuwa akitangaza taarifa za kweli juu ya MUNGU. Akaagiza wale waliomsemea vibaya waingizwe mule kama alivyoingizwa Daniel.

Unaambiwa wakiwa wanashushwa hawajafika hata nusu ya shimo Simba waliwarukia kama vile Djigui Diarra anarukia mpira kwenye lango la Yanga kuzuia goal.

Jamaa walishambuliwa ndani ya dakika cache ilibakia mifupa na simba waliendelea kutafuna mifupa ile kwa hasira na ugwadu jambo lisilo kawaida.

Kwahiyo usifananishe haya matukio ya wahuni wa imani na matukio halisi ya simulizi za bible ambazo zimezingatia umakini wa kiimani.

Huyu hakupelekwa hapo alitaka kuonyesha mazingaombwe sasa alikosea eneo la mizaha yake matokeo ni kaingia kumi na nane ya Simba na wao hawakuwa na maagizo ya MUNGU kuwa atakuja mtu kuwazingua ndio maana waka deal nae ipasavyo.
 
View attachment 2334174

Ni kweli Mungu hajaribiwi na utukufu wake hatampa mwigine. Huyu nabii alitenda kwa matakwa yake kutafuta sifa na wala si kwa utukufu wa Mungu.
 
Sasa Bible imeingiaje hapo?! Huyo ameenda kwenye hatari kwa kuifuata. Kwenye story ya Bible jamaa alikamatwa na mfalme kwa nguvu na adhabu yake ikaamriwa atupwe katika shimo la simba wenye njaa aliwe vibaya sana.

MUNGU akatuma malaika wake wakaenda kuwazuia Simba kumfanya chochote Daniel na kumuwekea ulinzi. Na kweli alikaa muda mrefu na hao simba wenye njaa kali hapo shimoni na hakuna walichomfanya.

Mfalme akarejea na kuchungulia na kugundua Daniel yupo mule shingoni hana hata mchubuko na Simba wametulia tu hakuna walichomfanya. Akastaajabu sana akaona kweli jamaa alikuwa ni mtu mzuri na alikuwa akitangaza taarifa za kweli juu ya MUNGU. Akaagiza wale waliomsemea vibaya waingizwe mule kama alivyoingizwa Daniel.

Unaambiwa wakiwa wanashushwa hawajafika hata nusu ya shimo Simba waliwarukia kama vile Djigui Diarra anarukia mpira kwenye lango la Yanga kuzuia goal.

Jamaa walishambuliwa ndani ya dakika cache ilibakia mifupa na simba waliendelea kutafuna mifupa ile kwa hasira na ugwadu jambo lisilo kawaida.

Kwahiyo usifananishe haya matukio ya wahuni wa imani na matukio halisi ya simulizi za bible ambazo zimezingatia umakini wa kiimani.

Huyu hakupelekwa hapo alitaka kuonyesha mazingaombwe sasa alikosea eneo la mizaha yake matokeo ni kaingia kumi na nane ya Simba na wao hawakuwa na maagizo ya MUNGU kuwa atakuja mtu kuwazingua ndio maana waka deal nae ipasavyo.
Neno kuntu hili. Ubarikiwe sana mkuu.
 
Huyo kenge alifikiri anaweza kuwafanya simba maboya kama anavyowafanya maboya kondoo wake kwa kutafuna sadaka na wengine kuwachakata.
Sasa safari hili kaingia cha kike katafunwa yeye.😂
 
View attachment 2334174

Huyo mwamba pichani upande wa kushoto alipata kuwa nabii mkubwa sana huko Nigeria kwenye miaka ya 80 na 90. Anaitwa nabii Daniel Abodunrin. Unambiwa mwamba alikuwa anafanya miujiza mikubwa mikubwa , alitabiri mambo kwa ufasaha na alikuwa na wafuasi wa kutosha ambao walimwamini sana. Yote hayo aliyafnaya kupitia maandiko matakatifu ya kwenye Bibilia.

Ilikuwa mwaka 1991, huko mjini Ibadani ambapo nabii huyu aliamua kuwaaminisha wafuasi wake kwamba ameoneshwa na Mungu kwamba anaweza kufanya miujiza mikubwa kama waliofanya manabii wa kale ikiwemo hata kuingia kwenye kwenye kibanda cha simba (lion den) wenye njaa kali na akatoka salama kama alivyofanya wajina wake nabii Daniel (ile stiory ya Daniel kutupwa kwenye pango la simba na akatoka salama). Kwahiyo huyu mwamba akaitangazia dunia anayetaka kuona miujiza ya Mungu ya nabii kuingia kwenye kwenye banda la simba wenye njaa na akatoka salama basi tukutane kwenye maonesho ya "saba saba" ya Nigeria yanayofanyika katika viwanja vya chuo kikuu cha Ibadan - Nigeria.

Unaambiwa hiyo siku na saa takatifu ilipowadia umati ulikuwa mkubwa sana mpaka kufikia polisi kuzuia watu kuingia viwanjani. Nabii Daniel wa nigeria aliingia hapo viwanjani akiwa amevalia joho jekundu na Bibilia mkononi. Nabii akaoneshwa banda lenye simba sita wakubwa tupu. Uongozi ulijaribu kumzuia lakini kwa kuwa mpaka alisha lipia zoezi hilo na kwa kuwa aliwahakikishia hakuna kitachompata, na endapo kutakuwa na madhara yoyote itakuwa ni juu yake, basi uongozi ukamwacha afanye anachotaka.

Mwamba akalisogelea banda akalizunguka mara saba huku akinena kwa lugha na mambo mengine kama ambavyo tunawaona manabii wa huku wakifanya. Then akaamuru sasa mlango wa cage ufunguliwe, kisha ufungwe kwa kufuli, na asisogee mtu mpaka atakapoita afungulwe baada ya muujuza kutokea, maana Mungu anayemwamini anaenda kutenda makuu sasa.

Nabii akaingia kwenye cage akiwa na bibilia pamoja na msalaba mikononi mwake huku akiwa bado ananena kwa lugha kusifu ukuu wa Mungu. Unaambiwa alipoingia tu mle ndani huku akiwaonyeshea wale simba msalaba walirudi nyuma kwa hofu kuu. Raia zikashangila, nabii akapata kichwa na kwa ujasiri mkuu akatangazia umma show mbona bado, subirini naenda kumpanda simba mmoja mgongoni kama farasi. Watu mayowee. Nabii akaanza kumsogelea simba mmoja, simba akaa standby. Unaambiwa gafla bin vuu simba wakaanza kumshambulia nabii.

Mashuhuda wanasema wale simba walinyang'anyana minofu ya nabii Daniel kama hawana akili nzuri, Unaambiwa wale simba ni kama walijua huyu nabii anataka kupata umaarufu kupitia wao, yaani nabii aliwakera hasa. Simba walisema bora hata angeenda peke yake ila sio kuwadhalilisha mbele ya watu wengi vile. Hawakukubali. Wakang'ata nyama za nabii mpaka alivokufa. Cha ajabu wale simba walifahamu nabii kafa hawakujishughulisha nae tena, maana kwa kawaida wangeanza kutafuna nyama pale pale bali wao wakalala chini wakimuangalia tuu huku kucha na meno yao vikiwa vimejaa damu. Huo ndio ukawa mwisho wa nabii Daniel Abodunrin wa huko Naijeria.

MY TAKE: Nafikiri nabii alijizima data makusudi akijisahaulisha kwamba Mungu hajaribiwi. Mungu huwa hapangiwi cha kufanya kwa kumjaribu, yeye ndie anaamua wakati gani na kwanani ajidhihirishe nguvu zake. Hata kama mimi ningekuwa Mungu ningemkataa.

Wasalaam kwa leo​
Apostle kuna muujiza huku

Begelezezi...
 
Back
Top Bottom