Search results

  1. Erythrocyte

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa kujibu hoja zake. Pichani: Lissu akilikagua gari hilo kabla ya kuondoka nalo
  2. Erythrocyte

    Mbagala: RC Chalamila apokelewa kwa Wimbo "Bao 1 milioni 10 lakini barabara mbovu"

    Wakazi wa Mbagala Mzinga Wamefunga barabara ya kutoka Dar kwenda Mikoa ya kusini kwa madai ya kuchoshwa na ajali kwenye eneo lao, jambo hilo limesababisha foleni kubwa ya Magari. Jambo hilo limemtoa Mkuu wa Mkoa wa DSM ofisini na kumfikisha eneo la Tukio ili kuwaomba wananchi hao waruhusu...
  3. Erythrocyte

    Sauli Amon (S.H.AMON) abambwa kwa Utapeli wa nyumba Kariakoo

    Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na kampuni ya udalali ya Benki Imeamriwa kwamba S H AMON awagawie aliowadhulumu sehemu ya Hisa za...
  4. Erythrocyte

    Waliobebwa na Magufuli ccm wakalia kuti kavu, kufurushwa wakati wowote

    Unaambiwa huko ccm kila Jini na kiti wake, Yaani kila Shetani na Mbuyu wake. Noma kweli! Ushahidi huu hapa
  5. Erythrocyte

    Kesi ya George Sanga, Mwenyekiti wa BAVICHA Njombe na wenzake yaanza kusikilizwa

    Huyu Kijana alikamatwa mwaka 2020 baada ya kukataa kuunga mkono Juhudi, lengo kuu likiwa Mgombea wa Udiwani wa CCM apite bila kupingwa. Baada ya kushindwa kumuua kutokana na makelele ya wananchi, ikashauriwa asingiziwe kesi ya mauaji ya Uongo ili kumkomesha. Ameshikiliwa selo tangu Septemba...
  6. Erythrocyte

    Aliyemuelewa Mzee Kinana tafadhali atusaidie kufafanua ili na sisi tuelewe

    Ukisikia kukurupuka ndio huku sasa. Watu washashindwa sasa unafafanua kitu gani? ======= "Katika mzunguko wao (CHADEMA) hapa nchini wamekuwa na hoja zifuatazo, hoja ya kwanza (1) wamezungumzia juu ya Katiba, hoja yao ya pili (2) wamezungumza sana juu ya sheria ya uchaguzi, hoja yao ya tatu...
  7. Erythrocyte

    Siri kuu yaghubika Vikao vya Kamati kuu ya Chadema, Wananchi wapagawa, wataka Majina yatangazwe

    Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia. Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote hawafuatilii kabisa! Sitaki kusema wamelipuuza, maana nitakuwa nafanya Uchochezi, Bali hali hii inatisha...
  8. Erythrocyte

    Picha: Watia nia ya Uenyekiti wa Kanda wakisubiri matokeo ya Usaili Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni

    Huyo Dickson Matata kaomba Uenyekiti wa Kanda ya Magharibi, huku Joseph Mbilinyi akiomba nafasi hiyo Kanda ya Nyasa. Swali ni Je Watatoboa?
  9. Erythrocyte

    Hospitali ya Muhimbili itajengwa kwa miaka mingapi?

    Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi? Au mimi kuna kitu sielewi?
  10. Erythrocyte

    Rais Samia amepunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI - Waziri Ummy

    Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka. Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa kwenye jambo hili , naomba Aliyeelewa anieleweshe Natanguliza Shukrani
  11. Erythrocyte

    Kamati Kuu ya Chadema yafanya Usaili wa Wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Kanda

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Vikao vya Kamati Kuu ya Chadema, ambayo sasa imedhihirika kwamba ndio Chama cha Siasa chenye Wanachama wengi zaidi Nchini Tanzania ( inatajwa kuwa na wanachama hai zaidi ya mil 15), Vingali vinaendelea. Taarifa ya sasa inaeleza kwamba tayari Wagombea...
  12. Erythrocyte

    Kwahiyo kumbe pamoja na kelele zote hii Nchi haina lolote kwenye Internet, mtandao umefeli viongozi wanaomba tu dua!

    Siku zote tunapowasifia Wazungu humu kwa Mambo mbalimbali, ikiwemo na ile Misaada ya Hali na Mali wanayotupa, Wajinga Wanatushambulia, kwa hoja kwamba tunawasujudia mabeberu. Haya tuwaulizeni sasa baada ya mtandao kucolapse Viongozi wenu wamefanya nini? Si mna TCRA nyinyi ile inayozima simu...
  13. Erythrocyte

    TANZIA Mtangazaji Swedy Mwinyi wa TBC afariki Dunia

    Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua. Apumzike kwa Amani
  14. Erythrocyte

    Hivi Ally Hapi anafanya Mikutano ya hadhara kama nani? Mbona cheo chake hakina tija yoyote!?

    Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara? Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa? Ni kweli kwamba...
  15. Erythrocyte

    Ni lini Waziri wa Ardhi Jerry Silaa Utasikiliza Malalamiko ya Waliodhulumiwa Ardhi na CCM?

    Nimekuona ukifanya kazi nzuri kila ulikopita, japo wahusika kwenye ofisi yako hujawagusa, lakini kwa hatua angalau ya kuwarejeshea mali zao waliodhulumiwa si haba Bali, wako wale waliodhulumiwa maeneo yao na Chama chako cha CCM, hawa wako wengi mno, na wengi walikisaidia tu Chama chako kujenga...
  16. Erythrocyte

    Kamati Kuu ya Chadema yakutana leo Tarehe 11/05/2024 Dar es Salaam

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Vigogo wa Chadema wako ndani ya Kikao kizito muda huu wakijadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakhabari wa Nchi . Miongoni mwa Ajenda ni kuhusu Chaguzi za Kanda ambako Majina ya Wagombea yatapokelewa na kujadiliwa, bila ya shaka wako watakaochujwa. Bali...
  17. Erythrocyte

    Usilolifahamu ni hili, Bila Wasanii Tulia Ackson Hawezi kupata Watu kwenye Mkutano wa Hadhara Mbeya

    Zamani kidogo nilidhani unapokuwa na Cheo kikubwa basi waweza kushawishi watu wengi wakupende, na hasa watu wa Kwenu, kumbe sikuwa sahihi. Wakati mwingine huwa najiuliza huyu Tulia Ackson alichaguliwa na nani kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini? Inashangaza sana! huyu Mama hana Ushawishi kabisa, Hana...
  18. Erythrocyte

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwenye ofisi za Makao Makuu Mikocheni, Dar es Salaam

    Taarifa yao iliyosambazwa na Mkurugenzi wa Itifaki, John Mrema hii hapa.
  19. Erythrocyte

    Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  20. Erythrocyte

    Huu ndio uongo wa Kampuni ya tiGO Tanzania

    Hebu angalia Tangazo lao Halafu angalia walichokifanya nusu saa kabla ya muda Hii ni Aibu kwao na Mamlaka zinazowasimamia Nimeweka ushahidi huu ili kuondoa uongo uongo kwenye masuala ya msingi, hizi hela tunazoweka humu si zao ni zetu wajaribu kutuheshimu
Back
Top Bottom