Kamati Kuu ya Chadema yafanya Usaili wa Wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Kanda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,738
220,864
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Vikao vya Kamati Kuu ya Chadema, ambayo sasa imedhihirika kwamba ndio Chama cha Siasa chenye Wanachama wengi zaidi Nchini Tanzania ( inatajwa kuwa na wanachama hai zaidi ya mil 15), Vingali vinaendelea.

Taarifa ya sasa inaeleza kwamba tayari Wagombea wote wa Nafasi mbali mbali kwenye kanda wamekwisha Sailiwa, tunachosubiri ni Majina yatakayotangazwa kusonga mbele huku mengine yakichujwa, Hata hivyo Tunaomba radhi kwa matatizo ya Internet yaliyotokea Nchini Tanzania

Usiondoke JF

Hali ilikuwa hivi

Screenshot_2024-05-13-00-30-05-1.png
Screenshot_2024-05-13-00-27-54-1.png
Screenshot_2024-05-13-00-29-53-1.png
Screenshot_2024-05-13-00-29-05-1.png
Screenshot_2024-05-13-00-28-05-1.png
Screenshot_2024-05-13-00-28-17-1.png
 
Mi( na watu wengine wengi) hatuamini kwamba kipo chama ambacho kinaitwa "Chadema".
Migogoro imezidi Chadema.
 
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba tayari Wagombea wote wa Nafasi mbali mbali kwenye kanda wamekwisha Sailiwa, tunachosubiri ni Majina yatakayotangazwa kusonga mbele huku mengine yakichujwa,
Mambo ya kuchujana waachieni ccm. Kama hiki ni chama cha demokrasia basi majina yote yapelekwe kwa wanachama wakaamue kwenye sanduku la kura. Chadema lazima mjiondoe kwenye fikra na mapokeo ya kiccm.
 
Ukiulizwa ushahidi wa porojo zako huwezi kuthibitisha
Mimi ni ccm ila akiondoka mbowe chadema nahamia moja kwa moja maana ndiye anayekiyumbisha chama. Haiwezekani leo yupo na mama kesho yupo na jk hana msimamo haijulikani wanaongea nini we utaona picha tu
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Vikao vya Kamati Kuu ya Chadema, ambayo sasa imedhihirika kwamba ndio Chama cha Siasa chenye Wanachama wengi zaidi Nchini Tanzania ( inatajwa kuwa na wanachama hai zaidi ya mil 15), Vingali vinaendelea.

Taarifa ya sasa inaeleza kwamba tayari Wagombea wote wa Nafasi mbali mbali kwenye kanda wamekwisha Sailiwa, tunachosubiri ni Majina yatakayotangazwa kusonga mbele huku mengine yakichujwa, Hata hivyo Tunaomba radhi kwa matatizo ya Internet yaliyotokea Nchini Tanzania

Usiondoke JF

Hali ilikuwa hivi

View attachment 2988977View attachment 2988978View attachment 2988979View attachment 2988983View attachment 2988985View attachment 2988988
Huu si ndo ule Uchaguzi uliogubikwa na fedha chafu?
 
Kwa nini mh mbowe asiwasaliti ccm toka moyoni?? Naamini akifanya hivyo cdm itakubamba sana 2025 na kuendelea
Kuna baadhi ya watu huwezi kuwabadili mioyo yao. Mbowe na Samia ni pete na kidole. Itakuwa kazi ngumu sana kwa huyu Mheshimiwa kumtenganisha na Samia; na wala siyo CCM kama unavyosema wewe.
 
Mimi ni ccm ila akiondoka mbowe chadema nahamia moja kwa moja maana ndiye anayekiyumbisha chama. Haiwezekani leo yupo na mama kesho yupo na jk hana msimamo haijulikani wanaongea nini we utaona picha tu
Duh!
Wewe umekuwa muwazi mno, na kwa kweli unakaribia sana kwenye jibu sahihi; pamoja na kukiri kwamba hujui kwa nini? Ukijitahidi kidogo kufikiri, jibu halipo mbali.
 
Mi( na watu wengine wengi) hatuamini kwamba kipo chama ambacho kinaitwa "Chadema".
Migogoro imezidi Chadema.
Akili za kichawa tena uchawa wa kufundishwa bila kutumia akili ya kwako, natural instinct ....kwamba chama kikiwa na migogoro ndiyo inaondoa uhalali wa kuwa chama? Una akili mbovu kabisa.
Take an examle, Ethiopia ambayo in miggogoro ya siasa kwa hiyo si nchi?
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Vikao vya Kamati Kuu ya Chadema, ambayo sasa imedhihirika kwamba ndio Chama cha Siasa chenye Wanachama wengi zaidi Nchini Tanzania ( inatajwa kuwa na wanachama hai zaidi ya mil 15), Vingali vinaendelea.

Taarifa ya sasa inaeleza kwamba tayari Wagombea wote wa Nafasi mbali mbali kwenye kanda wamekwisha Sailiwa, tunachosubiri ni Majina yatakayotangazwa kusonga mbele huku mengine yakichujwa, Hata hivyo Tunaomba radhi kwa matatizo ya Internet yaliyotokea Nchini Tanzania

Usiondoke JF

Hali ilikuwa hivi

View attachment 2988977View attachment 2988978View attachment 2988979View attachment 2988983View attachment 2988985View attachment 2988988
Sema ndio saccos yenye wanachama wengi!
 
Mimi ni ccm ila akiondoka mbowe chadema nahamia moja kwa moja maana ndiye anayekiyumbisha chama. Haiwezekani leo yupo na mama kesho yupo na jk hana msimamo haijulikani wanaongea nini we utaona picha tu
Na huo ndo ukweli. Mbowe ni msaliti, anatumika kotekote. Chadema kitakuwa chama makini sana Mbowe akiondoka
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Vikao vya Kamati Kuu ya Chadema, ambayo sasa imedhihirika kwamba ndio Chama cha Siasa chenye Wanachama wengi zaidi Nchini Tanzania ( inatajwa kuwa na wanachama hai zaidi ya mil 15), Vingali vinaendelea.

Taarifa ya sasa inaeleza kwamba tayari Wagombea wote wa Nafasi mbali mbali kwenye kanda wamekwisha Sailiwa, tunachosubiri ni Majina yatakayotangazwa kusonga mbele huku mengine yakichujwa, Hata hivyo Tunaomba radhi kwa matatizo ya Internet yaliyotokea Nchini Tanzania

Usiondoke JF

Hali ilikuwa hivi

View attachment 2988977View attachment 2988978View attachment 2988979View attachment 2988983View attachment 2988985View attachment 2988988
Chadema imegawanyika sana,Salumu Mwalimu amejitenga nayeye
 
Back
Top Bottom