Picha: Watia nia ya Uenyekiti wa Kanda wakisubiri matokeo ya Usaili Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,938
221,371
Screenshot_2024-05-14-14-35-53-1.png

Huyo Dickson Matata kaomba Uenyekiti wa Kanda ya Magharibi, huku Joseph Mbilinyi akiomba nafasi hiyo Kanda ya Nyasa.

Swali ni Je Watatoboa?
 
wanatoboa vizuri sana kwa mihela ile waliyonayo....🐒

halafu mbona,
mgombea wa kibaraka hujamchukua picha hata moja, umewaweka wa mwaga mipesa upande wa chairman Taifa patriotic mwamba wa kaskazini tu🐒
View attachment 2989973

Huyo Dickson Matata kaomba Uenyekiti wa Kanda ya Magharibi, huku Joseph Mbilinyi akiomba nafasi hiyo Kanda ya Nyasa.

Swali ni Je Watatoboa?
 
Sawa Ila napendekeza uchaguzi ujao mambo ya usaili yaondolewe na baada ya kuondolewa watu watangaze nia na kuchukua form then wakimaliza mtuachie sisi wananchi.


Baada ya hapo kura zipigwe kupitia mtandaoni kupitia App ya chadema , ili MTU apige kura atakuwa analiia gharama kidogo ya bundle lake tu.


Pia hata hiyo nafasi ya uenyekiti Taifa ishindanishwe watu wagombee doesn't make sense zinakaa sura zilezile. The same Ccm .


Mkishindwa mambo Kama hayo basi maana yako mnafanya Ccm chama kibovu kiendelee kuwa juu.
 
Back
Top Bottom