Search results

  1. Raymanu KE

    Ni kipi kati ya matukio haya kingekuumiza zaidi?

    1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick) 2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext 3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu alikwambia ukate siku kidogo atakupigia badae muongee.Cha ajabu leo siku ya tatu yupo kimya tu...
  2. Raymanu KE

    Sababu kuu mbili zinazoweza kumfanya mwanaume asimsaliti mkewe

    Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80% Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao. Ila ukimuona mwanaume ambaye hacheat kwa mke/ mpenzi wake jua zipo sababu mbili kuu ambazo zinamfanya asiwe na mchepuko. 1...
  3. Raymanu KE

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Salute Comrades! Wanaume wenzangu njooni hapa niwape code kuhusu hawa wanawake ambao tumeusiwa tuishi nao kwa akili. Kawaida yetu sisi wanaume tuna hulka ya kutongoza tongoza wanawake especially Kama mwanamke husika Ni anakidhi vigezo vyako. Basi kipindi unamtongoza mwanamke Kuna hili swali...
  4. Raymanu KE

    Mwana JF hapa unaweza kupata alama ngapi?

    1. Hujawahi kunywa pombe 2. You've never watched porn 3. You've never cheated on your patner 4. You've never fought with someone since you were born 5. Kukaa siku nzima bila kula
  5. Raymanu KE

    Huyu jamaa apewe maua Yake

    Sikiliza jamaa alivyokataa mbususu😂😂
  6. Raymanu KE

    Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

    Waslaam wakuu! Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba. Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan...
  7. Raymanu KE

    Cheating by profession

    Huyu tumpeni tu maua yake jamani😂
  8. Raymanu KE

    Masikini akiona tajiri anakula nyama bila ugali yeye anaona Kama jamaa anaharibu mboga

    Jamani tutafuteni pesa kwa bidii tuache kuendekeza chuki na wivu kwa wenzetu waliofanikiwa. Mwenzio yupo tu sawa anakula nyama kavu bila ugali afu wewe unahisi Kama jamaa anaharibu mboga 😂
  9. Raymanu KE

    Kama mshindo wa kwanza ungekuwa unachukua saa nzima kukamilika wanaume si tungekuwa tanakufa kwa utamu jamani!

    Aisee nimejaribu kuwaza kwa sauti kuhusu hii kitu wanazengo. Duniani Hakuna kitu kinachompa mwanaume Raha Kama short ya kwanza wakati wa sex.Hapa ndo unaskiaga mwanaume anatoa ahadi ya kumnunulia mwanamke wake ndege wakati yeye mwenyewe hata baiskeli tu Hana😂 Kama mshindo wa kwanza Ni mfupi...
  10. Raymanu KE

    She wants to pay me "in kind"

    Salute Comrades! Kuna hii ishu ambayo imenifikirisha sana mpaka nimeona niilete kwenu wadau mnipe mawazo yenu. Yupo mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi ya kuuza bidhaa mbalimbali kama vile mahindi, maharage, ndizi, karanga na mazaga zaga mengine Kama haya. Basi huyu mwanamke Kuna kipindi...
  11. Raymanu KE

    JF members and their respective Copyrights

    Wafuatao ni baadhi ya JF members na mbinu zao za kuwasilisha hoja zao kwenye nyuzi mbali mbali especially kwenye comment sections. Yaani unaweza kutambua majina yao bila kurefer kwenye ID zao kwa sababu wamezoa kuwasilisha hoja zao katika mbinu maalum ambazo Ni exceptional. Smart911 Huyu...
  12. Raymanu KE

    Huwa unamchukuliaje mtu anayekuandikia ujumbe kwa herufi kubwa?

    Suppose someone sends you a lengthy message in capital letters, how will you respond/react to it? Binafsi huwa nachukia sana kuona mtu amenitumia ujumbe kwa herufi kubwa. Yaani hiyo ni sawa sawa na mtu kukusiztizia (stressing) kwamba lazima uusome ujumbe wake na kuutilia maanani. Watu...
  13. Raymanu KE

    Uume mkubwa ni mzuri tu kwa kuangalia Ila sio salama kwa matumizi

    " Uume mkubwa Ni mzuri tu kwa kuutazama ila sio salama kwa matumizi" Hapo juu ni kauli ambayo nimekuwa nikiisikia kwa wanawake mbali mbali kwamba wao hufurahia tuu kuangalia uume mkubwa wa mwanaume (kuanzia inchi 7 Hadi 12) ila huwa hawapendi kufanya nao mapenzi kwa sababu unawaumiza. Tafiti...
  14. Raymanu KE

    Eti wanaume wengi wataozea jela Kama Hili zoezi likifanyika

    Waaslam wakuu! Nguvu za kiume miongoni mwa wanaume wengi zimekuwa donda sugu na kadri siku zinavyoendelea kusonga ndivyo nguvu zenyewe zinaendelea kupungua Tena kwa Kasi ya 5G. Wanawake wengi walioko ndoani na wale ambao bado hawajaolewa wamekuwa wakililalamikia Hili suala na kwa kusema...
  15. Raymanu KE

    Jamani hizi ndoto huwa Zina maana gani?

    Kuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi? Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa boss wako,mwalimu wako au mke wa mtu na unamheshimu Sana,Yaani Sana tu na hujawahi fikiria hata siku...
  16. Raymanu KE

    Mwanaume wa kitajiri Vs Mwanaume wa Kimasikini

    Zijue tofauti mbali mbali Kati ya wanaume masikini na wanaume matajiri. 1.ulaji; siku zote kula ya mwanaume wa kitajiri kamwe haifanani na kula ya mwanaume wa kimaskini.Hapa sizungumzii uwezo wa kipesa wa mtu, Bali nazungumzia ulaji wenyewe haswaa. Yaani mwanaume wa kimaskini huwa na tabia ya...
  17. Raymanu KE

    Mke wa ndugu yangu aivunja ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe

    Waslaam wakuu! Nipo na ndugu yangu mmoja ambaye sio ndugu wa toka nitoke ila baba Yake na baba yangu Ni ndugu wa baba mmoja. Ndugu yangu alikuwa na mke na wamefanikwa kupata watoto wawili wa mvulana na msichana. Ilifika wakati maisha yakabana Sana jamaa yangu akalazimika kwenda mjini kuhenyeka...
  18. Raymanu KE

    Maisha jamani!

    Mama mjane aliyeachiwa wanawe wakiwa wadogo amepambana Sana katika kuwalea.Hana shughuli inayomuingizia kipato Cha kueleweka anaishi kwa kuunga unga ilmradi maisha yasonge. Amekuwa akifanya vibarua mbali mbali Kwenye mashamba ya watu ili aweze kukidhi mahitaji ya wanawe ikiwemo chakula,mavazi...
  19. Raymanu KE

    Hebu jaribu kupata picha ya jinsi maisha yatakavyokuwa miaka 50 ijayo

    Jamani maisha yanaendelea kuwa magumu kila kukicha especially katika bara la Africa. Yaani the further we go (in terms of years) the worser the situation becomes (in terms of economy). Vijana waliohitimu vyuo wamefurika mitaani Ila ajira hakuna kabisa.Hii imewasaba ishia vijana wengi misongo ya...
  20. Raymanu KE

    Wazazi wawezesheni watoto wenu kiuchumi

    Siku hizi hali Ni Tete mtaani vyuma vimekaza kabisa hakuna michongo Wala nafasi za kutosha za ajira. Vijana wengi wanahitimu vyuo wanarudi mtaani kutafuta ramani za maisha ila mambo hayaendi hawana CONNECTIONS kabisa. Wengi wanakuwa ' liabilities' kwa wazazi wao licha ya kuwa na elimu ya...
Back
Top Bottom