Habari JamiiCheck,
Nimeona taarifa mtandaoni inayosema Pele ndiye mchezaji pekee duniani aliyeshinda Kombe la Dunia mara 3. Naona kama wanapotosha, inawezekana vipi asiwepo mchezaji mwingine...
Wakuu,
Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi.
Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au...
Salaam,
Wakuu nimepata wenge baada ya kuona taarifa inaeleza watu 155 wamefafiki kwa Mafuriko Tanzania. Sijakutana na hii habari. Na hata Mtandao wa X (Twitter) wengine wanapata mashaka kama Mimi...
Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na maswali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za...
Hivi ni kweli kuwa ukomo wa kurefuka na kunenepa kwa uume ni miaka 20?
Yaani mtu mwanaume mwenye umri wa miaka 25 au 30, kamwe hawezi ku experience ongezeko la ukubwa wa uume wake?
Kwa maana...
Nimerudi tena kwenu wataalamu wa JamiiCheck,
Eti ni kweli mtu akikung'ata wakati akiwa na hasira basi anatengeneza sumu kama vilivyokuwa kwa wanyama (kama nyoka) na hivyo inaweza hata kukuua, kwa...
Wakuu,
Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu...
Huwa navutiwa sana Historia za wanamke shupavu ambao walifanya mambo ya kuacha alama kwenye jamii zao na kukumbukwa mpaka sasa.
Katika pitapita zangu kwenye machapisho nikavutiwa na historia ya...
Nimeona taarifa mtandaoni ikisema watumishi wa Umma na Binafsi ambao wamechangia kwa zaidi ya miezi 108 yaani miaka 9 katika NSSF au PSSSF sasa rukhsa kutumia michango yao kama dhamana ya...
Habari wakuu,
Kumekuwa na mawazo tofauti juu ya hatari ya mnyama Nungunungu. Kuna baadhi wanaamini kuwa Nungunungu hurusha miiba kujilinda na adui yake wakati wengine wanadai mnyama huyu harushi...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na stori mtaani zinadai kwamba mnamo mwaka 1990 Bondia Maarufu Muhamedi Ali alienda nchini Iraq kuzungumza na rais wa nchi hiyo wakati huo Sadam Hussein kuwaachia mateka...
Vifo vinavyotokana na ugonjwa wa homa ya ini vimeripotiwa Kuongezeka kwa kasi barani Afrika.
Pia, baadhi ya nyaraka zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha kuwa idadi ya visa vya...
Matumizi ya tumbaku ni moja ya maafa ya afya ya umma yanayojulikana sana. Licha ya ripoti nyingi kuhusu afya ya umma, matumizi ya tumbaku yanazidi kuongezeka katika nchi zinazoendelea na...
Leo nimesoma mtandaoni kuwa Vidonda vya tumbo(Ulcers) huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Naomba kujua kama ni kweli maana siku zote mie najua vidonda vya tumbo huvipata...
Nimesikia kuwa msainii wa reggae wa Afrika kusini, Senzo Mthethwa, yupo hai na kwamba hakuuawa na Lucky Dube kama ambavyo nilisikia hapo awali.
Senzo nilikuwa namkubali sana kwa kazi zake kama...
Nimekuwa nikisikia kuhusu madhara ya mafuta yatokanayo na wanyama (fat) kuwa huganda kwenye mishipa na kusababisha shinikizo la damu.
Kilichonishitua zaidi ni kuwa ngozi ya kuku kuwa ni hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.