Recent content by Tumsifu Samwel

  1. Tumsifu Samwel

    Machi 2023 mwisho wa kutumia akaunti ya mtu mwingine Netflix

    asante kwa kushare hii kitu... iko vyema sana
  2. Tumsifu Samwel

    Supakasi ni internet isiyo na kikomo na iliyosambaa zaidi, Vifurushi 115K wengi hatuviwezi. Nashauri kuwe na vifurushi vya elfu 60 ikipendeza elfu 50

    Nimetoka Ofisi za voda nimeiona hii... wanaita Vodacom Supakasi Unlimited ambayo inaanzia 50k kwa gb24.6 na 85k nimesahau gb ngapi wanatoa... Hii wameweka bonus na ili upate huduma hii ni hadi line yako iombewe uwezo wa kujiunga na vifurushi hivi ... ukimaliza hizo gb speed inashuka unaendelea...
  3. Tumsifu Samwel

    1001 Movies You Must See Before You Die

    Shughuli zangu zinahusiana vipi na uzi huu mkuu.... Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
  4. Tumsifu Samwel

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu umekuwa ukinitenga sana.. Nimekuomba link ya gcam y samsung j7 neo android 9
  5. Tumsifu Samwel

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu nilikuomba port ya Samsung J7
  6. Tumsifu Samwel

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naweza kupata hiyo link ulipo download mkuu
  7. Tumsifu Samwel

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Nimejaribu kudowload kwenye Samsung J7 Neo inagoma kuinstall, naweza kupata link ya itakayonifaa tafadhali
  8. Tumsifu Samwel

    Vodacom Hawajitambui.

    Hicho cha tigo unakipata kwa menu ipi ndugu
  9. Tumsifu Samwel

    Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

    Usiseme hivyo mkuu, jana tu nimetoka kuchezea Ban ya masaa 20 hadi nimerudi Gbwhatsapp baada ya update yao mpya ya jana
  10. Tumsifu Samwel

    Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Kauli ya Mbowe kwa tafsiri nyingine ni Kwamba Dr.W.Slaa amesusa, labda uko mbeleni akijisikia kuungana nao atafanya hivyo.... Kwa mtizamo wangu ni kwamba Dk.slaa ameweka slaa chini kwenye uwanja wavita na vita yenyewe ikiwa ukingoni kabisa.. Ni watakie kila la kheri CHADEMA tuko nyuma yenu.
  11. Tumsifu Samwel

    Kulingana na meta info. Picha ya myika kuwepo kwenye mkutano ni uongo.

    kwa nyie wageni wa technolojia ni shida sana, inawezekana camera haijasetiwa time n date so inasave kwa mwaka wakutengenezwa hiyo camera mkuu. Na wabongo wengi kuset mda na tarehe kwenye camera hawana huo mda
  12. Tumsifu Samwel

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Niliposikia tetesi za Dr.W.Slaa kususa nilidhani niuzushi tu, la kwa uzi huu nashawishika kuamini Dk.Slaa ameamua kujitenda na chama rasmi.. Ni jambo gumu na la kuumiza sana kuona haya yanatokea wakati huu, hama kweli siasa ni zaidi ya tunavyoielewa wengi wetu.
  13. Tumsifu Samwel

    Msaada, blackberry yangu inanisumbua

    Pole ndugu, BlackBerry tour ni kwamba inatumika kwa teknolojia mbili , cdma na gsm , huko ilikotoka ilikuwa inatumika kwenye CDMA kama Verizon wireless n'k so ina configuration za cdma , kuziona piga ##000000 utaona pop-up window . Sahau kuhusu mpesa menu ,salio au kuweka salio kwa ussd kama...
Back
Top Bottom