Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako


Download kwanza hyo apo kutest kama camera api iko disabled au la ,kisha share screenshot hapa
Screenshot_20190729-220120_Manual Camera Compatibility Test.jpg
Screenshot_20190729-220106_Manual Camera Compatibility Test.jpg
 
True... Ila wanasema camera zipo sawa zinatofautiana vitu vingine tu, ni kweli?
Zinatofautiana tu size za vioo pamoja na battery. But vilivyobaki vyote ni the same.

Hizi simu zina camera moja matata sana. Nadhani ndio google pixel yenye camera kali.

Pita youtube uone comparison zake na simu kama samsung s10+ na huawei p30 pro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom