Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

Gb wasap wamenilima ban nikawa mbishi naunstall na kuinstall upya...nikachoka nikainstall official whatsapp lakin namba yangu inagoma yaan inaonyesha imefungiwa wasap
mkuu mbona wanasema mpaka udownload java,sasa hii java nitaipata wapi
suala la muda tuu aisee.... nahofia kuloose data zangu chats n.k wakianza kukaza narudi official kwanza upepo upite..
Tafuteni yo WhatsApp version mpya
 
Hiyo GB Whatsapp wanayosema ni Anti ban wala haina lolote. Wanai ban tu. Mi nimekula ban kwenye version ya 9.0 badae nikaiondoa nikaweka hiyo 9.5 yenye Anti ban. Ila haikufua dafu nimeendelea kula ban kama kawaida
Nenda Yo WhatsApp
 
dah mimi nna samsung mzee jana nimekua banned dk 20 leo naona dk 40 so bora nirudi tu whatsapp yangu ya kawaida
Tumia Yo WhatsApp version mpya ndio mwisho wa ban, binafsi ndo naitumia baada ya kuchoshwa na ban za gb
 
Ni swala la muda tu na wao watakula ban, mimi nimepigwa ban Fm WhatsApp, Gb WhatsApp, WhatsApp plus sasa nimerudi official WhatsApp imepooza hadi natamani kuachana nayo tu
 
Njoo Yowa hutojuta,,, jamaa wana improve kila leo,,, hata kama baadae nitafungiwa ila kwa sasa siwezi iacha
 
Inaweza kumchukulia mke wake bila YENYE kujua...hahahaaa
Hizi hapa ni moja ya tofauti na hiyo official version zipo kotekote zina manufaa yake na hasara pia inategemeana na mtazamo wa mtu, mahusiano yake na kwa watu wake wa karibu... Na hizi tofauti ndio moja ya sababu official version wanatupiga ban

1. Unaweza weka status video yenye zaidi ya mb 10

2. Kila baada ya muda mfupi huwa updated na kuja na feature kali zaidi

3. Ant status delete, ukishaweka tu hata ufute mi nitaiona na nitajua uliifuta hahahah

4. Ant message delete yaan ukishanitumia sms hata ufute lazima niione na naona uliifuta

5. Unaweza badili mwonekano wake kwa 100℅ kuanzia kwenye font hadi icon

6. Unaweza share video yenye ukubwa sana tofauti na hiyo nyingine

7. Naweza ku control blue tick na second tick,,, ww kama unanidai utatuma sms na kamwe hutoona kama mezisoma

8. Naweza kuficha last seen kwa mtu mmoja mmoja na kwa group pia we utaona Mara yangu ya mwisho kuingia WhatsApp ni mwaka jana kumbe nipo online

9. Naweza download status yako...

Wadau ebhu ongezeeni
 
Katika mabadiliko ya kushtua kwetu wapenzi wa modded WhatsApp Apk ni hili, Official Whatsapp version kupiga marufuku watumiaji wanaotumia programu za Whatsapp kama vile GBWhatsapp, FmWhatsApp, WhatsApp Plus n.k

Official WhatsApp version inakuja na feature nyingi nzuri, lakini daima kuna baadhi ya watumiaji ambao tunataka zaidi kutoka kwenye programu. Kwa watumiaji wa hizo Apk kama GBWhatsapp, OGWhatsapp au Whatsapp Plus inakuja na features nzuri zaidi ambazo hutoa sifa nyingi zaidi hasa linapokuja suala la uboreshaji na privacy, hapa watumiaji wa hizi app mtanielewa vzr uhondo wake siwezi usimulia ila wewe unaetumia WhatsApp ya kawaida naamini kuna vingi unavikosa huku na laiti ungevijua usingependa uvikose...

View attachment 1106888

App hizi tumezifurahia kwa muda sasa lakini sasa inaonekana kama mambo yanafika mwisho kwa uchungu, sababu official Whatsapp imeanza kuchukua hatua dhidi ya watumiaji wa hizi app zilizochakachuliwa kdgo watu wanapigwa ban za kuendelea kuzitumia na wanakutoa option moja ya kurudia WhatsApp ya kawaida ama vinginevyo utakuwa permanent banned kutumia WhatsApp.

Kutoka siku chache zilizopita, watumiaji wa GBWhatsapp wameripoti kwamba wanapata marufuku kwa muda kutumia Whatsapp. Na leo ilikuwa zamu yangu mdau wa Gb Whatsapp siku nzima napata ban kila baada ya muda mfupi napigwa ban za masaa yakutosha...

Nilipofatilia sababu ya kupigwa ban kwa muda Whatsapp wanasema ni ukiukaji wa masharti yake ya huduma. Wapo wengine waliopigwa ban kwa masaa 9 wakati wengine walipigwa marufuku kwa lisaa.

Kilichonifurahisha ni GbWhatsApp kutoa taarifa kuwa hivi karibuni watatoa latest version ya GB WhatsApp itakayoweza kufanya kazi kama kawaida bila shida yoyote, hivyo sasa option iliyopo ni kurudia WhatsApp ya zamani hadi latest Gb WhatsApp itakapotolewa
Mkuu vidmate imeshatoka
IMG-20190623-WA0000.jpeg
 
Naongezea moja unaweza kudownload status za MTU bila kuomba akutumie inbox
 
Hiyo tuliopigwa ban tukiichukua ban linaendelea kama kawaida

Ushauri wangu naona ni kama wameanza na Gb wengine hawajaguswa hivyo mtumiaji wa GB kama bado hujala ban ni bora ukahamia Yo WhatsApp huko hutoguswa kirahisi
Mi npo OGWhatsApp sijawahi kula BAN ila kuna siku walitaka kunipa BAN wakachemka
 
Ni swala la muda tu hata kwako watafika, jipange kisaikolojia ila hawa jamaa walisema watatoa zenye uwezo wa kutoguswa na ban
mkuu gbwhatsup wameniletea feature nyingine toleo la saba tatizo lugha ya kiarabu kuupdate,je nifute hii ya zamani niinstall mpya
 
Tumia google chrome ina kipengele cha kutafsiri lugha kwenda English, huna haja ya ku uninstall we update kupitia link unayoipata kwenye GB WhatsApp yako
mkuu gbwhatsup wameniletea feature nyingine toleo la saba tatizo lugha ya kiarabu kuupdate,je nifute hii ya zamani niinstall mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom