Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,367
Tatizo ni bei zao tu.hata reliability mkuu, mimi miaka kadhaa iliopita nilikuwa nacheza games sana online, zuku wana ping ndogo in theory wanatakiwa wakupe speed nzuri ila inakata kata kila dakika kadhaa kunakuwa na stutter, voda ping kubwa kidogo server za marekani inaenda 150ms hadi 200ms ila ipo stable, sometime unasahau kabisa kama upo online. nafkiri hii inachangiwa na kwamba hiii ni kampuni kubwa ipo south, Uingereza na nchi kibao so routing yao ni nzuri zaidi.
Ila hakuna kama Vodacom kwenye suala la mawasiliano TZ.
Na sahivi imesambaa vibaya mno, kuna vijiji unakatiza unakuta 4G mpaka unajiuliza hawa jamaa wamemletea nani huku?
Siku wakishusha fibre yao, hawa wengine watakimbia kabisa.