Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,559
- 7,348
Hamna kitu hawo wahuni tu
Hamna kitu hawo wahuni tu
Haiwagusi voda kwa speed ya internet hawa jamaa ni balaa ila katatizo kao gharamaIpo smile..Na ipo vizuri
Samahani haujakidhi vigezo vya kupata ofa hii . Ili kufurahia ofa kipekee, piga*149*01#Try this *149*42#
Ndio kwanza tunaisikia kwakoSasatel bado ipo....?
Hawa mbwa kila mtu wanampa kifurushi chake.... Hapo kwenye buku tano mie wananipa gb 3 na siwataki ng'oMimi gb1 wanataka buku 5.nimeshawakimbia wiki sasaView attachment 1139274
Hahahahhahahahaha mie natumia kwa ajili Ya nmb.. Na kupokea simu zinazoingia huko full stop...... Wamekuwa wezi sikuhizi hakuna mfanoMimi Voda natumia kupokelea tu mtu akinipigia
Ni mtandao wa simu...Ndio kwanza tunaisikia kwako
AiseeeNi mtandao wa simu...
Hii unabonyeza ngap ngap mkuuNaenda zangu Halotel yaan 1000 napata GB1 Sms 500 na dakika 50 siku 7
Hawa jamaa dawa yao ni kuwa na laini nyingi wakipinguza vifurushi we nae unahama hiyo laini na kuhamia kwenye nyingine ambayo hujaitumia mda. Na wakiona umeiterekeza laini yao kwa mda wanarudisha vifurushi ili wakushawishi kuitumia ndo tunavoenda nao hawa nyau sio voda tu hata tigo na nk.hawa samaki ni wapuuzi.
yaani jinsi unavyozidi kuwa mteja mtiifu kwa kuwachangia mia mia zako,ndio nao wanakufanya ng'ombe wa maziwa.
mimi ya kwako tu kwa siku ilikuwa gb 1 na dakika sms kibao nikawa naridhika safi tu,he ghafla naamka siku moja mwezi uliopita nakuta wameporomosha mpaka 500mb,nikawadharau kabisa.
kabla sijawapa taraka nikawakopa kabisa,huku nasonya.
Hicho cha tigo unakipata kwa menu ipi nduguVoda ni kwa mpesa tu na kukopa kifurushi wakati wa dharura me yangu tigo sh. 2500 napata 2.5 GB kwa wiki dk 215 tgo tigo na dk 20 mitandao mingine nikihata ni TTCL sh.1000 napata 500mb mchana na 3.5 GB USIKU. Siku moja nikapoteza line ya voda nikaenda vodashop kupata line yangu nkkafuata taratibu zote za polisi kufika vodashop sasa wananiambia niandike number tano nilizokuwa nawasiliana nazo tena nilizowapigia sio walionipigia tulizozana hapo nawaambia me huwa natumia kwa mpesa hawatak hadi nilipomuona Branch manager akanisaidia kurenew lakin kamwe siwezi tumia voda kununua vifurushi vya internet