Msaada, blackberry yangu inanisumbua

Black berry yangu ni tour 9630 ina os 5.0.0645

Pole ndugu, BlackBerry tour ni kwamba inatumika kwa teknolojia mbili , cdma na gsm , huko ilikotoka ilikuwa inatumika kwenye CDMA kama Verizon wireless n'k so ina configuration za cdma , kuziona piga ##000000 utaona pop-up window .

Sahau kuhusu mpesa menu ,salio au kuweka salio kwa ussd kama *104*·········#

Njia mbadala, fanya kupiga namba kama 1011 wakati inatoa maelekezo we piga *102# na bonyeza kitufe cha kupigia utapata menu yoyote ya ussd kama ya mpesa au tigo pesa, au kuweka salio ufanye hivyo hivyo ila uwe na speed kuandika namba za vocha kabla simu ya mwanzo uliyopiga haijawa disconnected.

Uza tu hiyo simu kama unaweza, kama ungekuwa karibu ningekusaidia ku_activated bb browser manual.
 
Back
Top Bottom