Recent content by Resilience

  1. R

    Wizara ya Fedha na BoT tuambie kwanini dola zimeruhusiwa kuuzwa kwenye black market?

    Biashara yakuuza dola imekuwa na mkanganyiko mkubwa. Mabenki na taasisi za kubadilisha fedha wametangaza hawana dola. Ila yapo maeneo sasa hivi unanunua dola kwa bei karibia na elfu tatu na fedha hizi zinaletwa kwenye mifuko. Waagizaji mizigo wengi tunachofanya sasa hivi ni kununua dola kwenye...
  2. R

    Tundu Lissu ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa wafuasi Tanzania kwa sasa; ni msema kweli na anafanya mindset reform ya wananchi

    Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni. Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali...
  3. R

    Tahadhari: Kwa hali ilivyo tusishangae kushuhudia kifo au vifo kwa wanagombania kupanda Mwendokasi

    Last week ndugu yangu aliumia mgongo kwa kusukumwa akipanda Mwendokasi Kariakoo. Nilitoka Mwanza kwenda kumsalimia kisha nikaenda kujionea mazingira yaliyopelekea yeye kuumia. Naomba niseme tu kwamba kwa hali ilivyo kituo cha Msimbazi na Gerezani sitashangaa kukatokea kifo. Kwa namna watoto...
  4. R

    Kwa akili kubwa aliyonayo John Pambalu upo uwezekano akasajiliwa kama wakina Nassary

    Nashukuru kwa kuweka historia inayoakisi potential iliyopo ndani yake Ukisikia anavyorespond Star TV unaona kabisa kwamba anawazidi akina Jokate, Hapi na wengine mbali sana.... Hana tabia yakusoma majibu kwenye karatasi kama walivyo vijana wengine wa familia bora
  5. R

    Kwa akili kubwa aliyonayo John Pambalu upo uwezekano akasajiliwa kama wakina Nassary

    Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto wanaofundishwa siasa na maisha wakati wakina Pambalu uzaliwa na akili ya kipaji. Vipaji vingi vya...
  6. R

    Mwananchi communications imekumbwa na dhoruba gani? Inapotea sokoni as day go on

    Gazeti la mwananchi na vyombo vya habari vya Mwananchi communications ni kama vile vimekuwa compromised. Naona kama vyombo hivi vimepoteza focus na sasa vinakwenda kufanya kazi ya Daily news au Uhuru. Je, wamebadili menejimenti au wameuza kampuni? Kama mwananchi ikiendelea kujifia Tanzania...
  7. R

    Kwanini wanachama wa CCM wamewaacha viongozi wao akiwemo Kinana kushambuliwa mitandaoni bila kuwatetea?

    Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa uhuru siku chache na wanahubiri chuki. Katika haya yote hakuna linaloonekana kuungwa mkono X na...
  8. R

    Godbless Lema; Tundu Lisu alishaahidi kutokuchukua fomu ya kugombea Uwenyekiti Chadema; CCM acheni kujitekenya

    Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini amewataka CCM kuachana na kicheko cha kujitekenya badala yake wajikite kwenye hoja. Amesema propaganda za CCM kuhusu Ugomvi wa Lisu na Mbowe zipuuzwe na kuwataka kufahamu kwamba hii siyo Duniani ya kufundisha wakubwa kugombana. Lema amesema suala la...
  9. R

    Chadema wameamsha mijadala kila ya nchi; CCM haina majibu imekaa kimya upepo upite

    Mijadala mikuu nchini kwa sasa ni umuhimu wa katiba mpya itakayolinda rasilimali za Tanganyika na Muungano kwa ujumla. Mjadala mwingine ni kuhusu rushwa katika uchaguzi na namna ambavyo CCM inatuhumiwa kutumia fedha hata kwenye chaguzi za vyama vya upinzani Mjadala wa tatu ni kuhusu ACT...
  10. R

    Bw. Felex G. Kashindye anayetuhumiwa kugawa pesa kwenye uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Kusini ni nani?

    Ukiwa Tunduma unapata taarifa kwamba tuhuma zilizotolewa na Lisu kuhusu vita ya rushwa kwenye uchaguzi zimetokana na kusambaa kwa taarifa za mfanyabiashara anayejiita Felex Kashindye anayedaiwa kuzunguka kuwatafuta wajumbe na kuwaahidi mgawo. Lengo kubwa na mtu huyu na chanzo cha fedha...
  11. R

    Watakatishaji fedha wanaotoa mikopo mitandaoni wanalindwa na nani? Wanapata wapi pesa za kukopesha watu wasiowafahamu?

    Tanzania kuna mtandao mkubwa umeibuka wa utakatishaji fedha unaoongozwa na wanasiasa na viongozi wa umma wanaokwapua fedha za walipa kodi zisizo haki yao. Kutokana na watu hawa kupata fedha wasizo na uchungu nazo wametengeneza application zakutoa fedha online kama mikopo. Masharti yao...
  12. R

    Nawapongeza CHADEMA kwa kupiga vita rushwa ya CCM kama walivyopigana vita ya kilichoitwa kuunga juhudi mkono

    Chadema ni chama kinachosimamia maslahi ya umma bila kujali kupoteza viongozi. Kwa namna chadema inavyojipambanua ndivyo CCM inavyozidi kuonekana kama hawana nguvu ya kukemea rushwa. Tundu Lisu na Mbowe kwa pamoja wameweka agenda mezani; wakapanga safari na kuanza kazi. Baada ya kuanza kazi na...
  13. R

    Upo uwezekano wa Arusha kutoka kuitwa Geneva of Africa na kuitwa Wadudu City, tunavurugana

    Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa. Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi kwa sababu hali ya DSM ni joto na hivyo uvutia watu wachache kuishi ikilinganishwa na Nairobi ambayo...
Back
Top Bottom