Upo uwezekano wa Arusha kutoka kuitwa Geneva of Africa na kuitwa Wadudu City, tunavurugana

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
921
4,299
Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa.

Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi kwa sababu hali ya DSM ni joto na hivyo uvutia watu wachache kuishi ikilinganishwa na Nairobi ambayo hali yake ya hewa ni joto la wastani.

Moja ya changamoto kubwa Nairobi ni uhalifu.....vijana na makundi ya kihalifu hapo awali yalipewa headlines na promotion bila kufahamu madhara yake huko mbeleni.

Miaka ya 1980 kwenda 1990 ukitoka Tanzania ukapita Nairobi unaambiwa kuwa makini na ukiibiwa ulihesabika kama mshamba na mtu wa kijijini. Leo kizazi kile kilichosifika kwa uhalifu kikaitwa wajanja kimeifanya Nairobi kila kona unapopita upewe taadhari.

Nimeona agenda ya kukabidhi wadudu ulinzi; najiuliza ni chombo gani cha ulinzi na usalama kilichofanya security analysis ya wanaoitwa wadudu na kubaini kwamba ni watu wanaotakiwa kuingizwa kwenye mifumo ya usalama?

Je, aliyesajili vikundi vya wadudu na kuwapa jukumu la ulinzi anaelewa madhara ya kizazi hiki miaka ijayo? Anafahamu kwamba leo hii kila anayeibiwa Arusha anadaiwa kaibiwa na wadudu?

Kama jamii na mitandao ikiendelea kuunganisha wadudu na uhalifu unadhani watalii watakubali kulala Arusha au watakuja kufanya utalii na kwenda kulala Nairobi?

Kwanini tusione fursa yakuendelea kuipromote Arusha kama Geneva of Afrika? Kwanini tusiendelee kuimarisha miundombinu ya ulinzi na Arusha iwe Sehemu ambayo ukitembea hakuna taadhari ya kiusalama? Kwanini tusipige marufuku bodaboda wanaotumia vibaya barabara kwa kauli mbiu ya bangi na ududu?

Maono ya viongozi yanafaa kudhibitiwa ; wadudu by nature wanatangaza umuhimu wa bangi....je jiji la Arusha linapaswa kunasibishwa na bangi?

Arusha ikiwa jiji salama naamini watalii wengi wataacha kuishi kwa mashaka Nairobi
 
Ondoa shaka arusha itabaki forever kuwa Geneva of Africa hawa wadudu ni kikundi cha wasanii kama misomisondo hata wewe mwenyewe ukienda arusha hutawaona
 
Na ki ukweli wenzetu huko watalii wanapotoka, wanapenda au nchi zao ziliisha aanzisha mfumo wa kupiga simu sehemu moja ili upatiwe usafiri(pre-book) , ambao sasa hivi kuna in drive, bolt, Uber nk ambayo ina saidia kutoa ulinzi Kwa wadudu na wateja wao. Maana kuna kuwa na rekodi ya Nani , muda Gani alisafiri na Nani.
 
Back
Top Bottom