Sisi wengine hatujisumbui kwa ajili ya kesho,leo tukishiba na kucheka na familia kwa furaha,inatosha
Kesho ni ya Mungu,maana mshahara wangu ni 400,000/=
usingizi ukiisha tu,unaanza kuposti chochote unachoona mitandaoni,nani kakudanganya kuwa israel haijapata hasara?
Kambi ya Negev, na inasemekana ndo inahifadhi ndege za f-35, zilizoshambulia ubalozi wa iran Syria, ilipigwa na missile 7 za hypersonic,zilizokwepa air defence za Israel.
Wamepata...
Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna mwingine ana tatizo kama hili.
Je dawa yake ni nini wakuu, milango ya corolla runx imeoza sana...
hayo ni maneno ya kushindwa,dhidi ya ukweli,hata ukiangalia idadi ya wasomi,maprofesa,madaktari,kwa hapa tz tu unapata jibu,ila wenzetu wanalilia wao ndio wengi kwa idadi ya watu.🤣🤣🤣🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.