Search results

  1. profesawaaganojipya

    Mfumo wa ESS kwa Watumishi unasumbua

    Ni kweli unasumbua,hata ukibonyeza adcanced
  2. profesawaaganojipya

    Kwa nini watu wenye asili ya kigoma wana akili sana/nyingi?

    linganisha listi yako,na hii hapa kidogo tu,alafu useme nani ana run nchi 1.prof mwandosya 2.prof mwakyusa 3.dk mwakyembe 4.dk tulia 5.mboma 6.mwamunyange ,,,waimbaji,,, 1.bahati bukuku 2.bon mwaitege 3.martha mwaipaja 4.mwasongwe 5.dk ipyana 6.boaz danken 7.mhangila ,,,wachungaji.. 1.mwakasege...
  3. profesawaaganojipya

    Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    kweli binadamu hana shukrani,hata ukimbeba mgongoni na kumlisha atakutukana tu..
  4. profesawaaganojipya

    Ushauri kwa watu wote walioajiriwa

    Sisi wengine hatujisumbui kwa ajili ya kesho,leo tukishiba na kucheka na familia kwa furaha,inatosha Kesho ni ya Mungu,maana mshahara wangu ni 400,000/=
  5. profesawaaganojipya

    Ipi kampuni bora ya bima ya magari kati ya hizi?

    hii ni kwa ajili ya visiwani au hata bara inatumika?
  6. profesawaaganojipya

    Ipi kampuni bora ya bima ya magari kati ya hizi?

    Wakuu, kati ya kampuni hizi hapa ipi ni bora kwa ajili ya bima ya gari?
  7. profesawaaganojipya

    Iran ndani hakukaliki, hofu kote, serikali inatumia nguvu nyingi kuaminisha hali shwari

    usingizi ukiisha tu,unaanza kuposti chochote unachoona mitandaoni,nani kakudanganya kuwa israel haijapata hasara? Kambi ya Negev, na inasemekana ndo inahifadhi ndege za f-35, zilizoshambulia ubalozi wa iran Syria, ilipigwa na missile 7 za hypersonic,zilizokwepa air defence za Israel. Wamepata...
  8. profesawaaganojipya

    Aibu nyingine kubwa kwa Israel

    nyoosha maelezo mkuu,imejilinda au imelindwa?
  9. profesawaaganojipya

    Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

    Mikoa mingine NI ngumu Sana kutafuta maisha kihalali..
  10. profesawaaganojipya

    Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    Du Du HII hatari,ananyoa ana AK 47,ukimdhulumu mnamalizana hapohapo.
  11. profesawaaganojipya

    Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    South America ndio mwisho wa matatizo,kwa hatari ya kutisha...
  12. profesawaaganojipya

    Dotto Biteko: Tumezima mtambo wa bwawa la Mwl Nyerere

    Du members wa Jamii forums,NI wataalam wa kila kutu,Wana ponda na kulaumu hata vitu cya kitaalamu,shida Sana.
  13. profesawaaganojipya

    Dawa ya kuzuia magari madogo kuoza, kwa Dar

    Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna mwingine ana tatizo kama hili. Je dawa yake ni nini wakuu, milango ya corolla runx imeoza sana...
  14. profesawaaganojipya

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    hayo ni maneno ya kushindwa,dhidi ya ukweli,hata ukiangalia idadi ya wasomi,maprofesa,madaktari,kwa hapa tz tu unapata jibu,ila wenzetu wanalilia wao ndio wengi kwa idadi ya watu.🤣🤣🤣🤣🤣
  15. profesawaaganojipya

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Mafundisho ya ukristo,ni kwamba kadri unavyotoa kwa wengine,ndivyo na wewe Mungu anakufungulia milango yako,kwa ufupi sana ukiangalia sehemu ya eneo moja wanapoishi waislam na wakristo,sehemu za wakristo zina maendeleo,,,mfano.. 1.katika tanzania,mikoa ya...
  16. profesawaaganojipya

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    wakristo wana moyo wa utoaji na kusaidia wengine,ndo maana nchi za ulaya zinatoa sana misaada duniani,tofauti na za uarabuni.
  17. profesawaaganojipya

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    lakini moyo wa kutoa ni zero,ina maana sio baraka za mungu,ni juhudi zao binafsi.
  18. profesawaaganojipya

    Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    yes,wanalala siting room,au wenye chumba kimoja hawaruhusiwi kuwa na watoto mkuu?unaishi dar ya wapi boss?
  19. profesawaaganojipya

    Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

    mkuu labda hujaelewa,hakuna timu isiyofungwa,au golikipa asiyefungika,lakini kuna mwenye uafadhali kuwazidi wengine,kumbuka hayo yote yametengenezwa na wanadamu,madhaifu ni lazima yawepo.hakuna jambo lililo 100%.
Back
Top Bottom