Recent content by Lole Gwakisa

  1. Lole Gwakisa

    Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

    Hii barabara ijengwe kwa upya!
  2. Lole Gwakisa

    Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

    Hilo halihalalishi kujenga chini ya viwango!
  3. Lole Gwakisa

    Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

    Mkuu usilete uzoefu wako kwa watu waliostaarabika!
  4. Lole Gwakisa

    Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

    Mkuu nakubaliana kwa kiasi na maoni yako. Ikumbukwe kuwa kabila la wasfwa na wahehe wamefanya kazi kubwa sana kutokea enzi za machifu kama Merere kuondoa au kukinga utumwa kuingia Mbeya. Wasafwa walikuwa na jeshi kubwa sana lililowazuia waarabu kupita nyanda(plains) za kuanzia Mbarali, Kapunga...
  5. Lole Gwakisa

    Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

    Wewe mjinga sana, sasa hako kapicha ndio mwisho wako wa kufikiri. Ati kwa vile Marekani barabara zina haribika , basi hapa kwetu ruksa kuharibika! Wengine mnasoma lakini mna akili za kuku, kula karibu na kinyesi chake.
  6. Lole Gwakisa

    Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

    Kiujumla Mbeya ni kwetu, lakini Mbeya hawana mwamko kabisa wa kujenga nyumba nzuri na mipango miji inayoleweka.
  7. Lole Gwakisa

    Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

    Tutaendesha teksi toka Mtwara hadi Mwanza!!!
  8. Lole Gwakisa

    Lema ampa makavu Ally Hapi. Amwambia kuwa hii nchi siyo ya mama yake

    Huyu mwizi wa magari, ubongo umeshapata moto!
  9. Lole Gwakisa

    Bwawa la Julius Nyerere mto Rufiji: The Silver Lining!

    Kweli kabisa, katika matatizo, hasa yanayotokana na naendeleo, fursa zinazojitokeza ni nyingi sana.
  10. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Inawezekana kweli sina akili, lakini ungesema hivyo wakati wa Mwendazake ungetafutwa na kukutwa kichaka cha Mkuranga!
  11. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Tatizo kubwa ni kujifikiria kwa zile pesa zilizoko mfukoni kwako, kiuchumi si lazima iwe hivyo.
  12. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Mkuu au hukuwepo nchini? Nchi ilikuwa inaelekea shimoni kwa kasi ya SGR!
  13. Lole Gwakisa

    Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Mtu akishaitwa mpumbavu ni shida, atakata tawi alilokalia!
Back
Top Bottom