Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

Usitafute sababu za kuwabebesha watu lawama...

Kama una akili timamu utagundua hiyo siyo barabara ya kwanza kuvunjika kutokana na mvua...

Barabara inayounganisha mikoa ya kaskazini na Dar hukatika mala kwa mala na imejengwa kwa viwango vizuri sana...

Ukielewa nguvu ya maji huwezi kuandika ulichoandika...

Barabara zinakatika USA kutokana na Mvua, unashangaa ya Lindi?

Uko lijinga.
AKILI KISODA
watanzania tunataka barabara zinazohimili mafuriko wewe unaleta habari za marekani kwani marekani hakuna wezi na mafisadi kwenye ujenzi marekani hela zao si wanatumia kwenye vita acha ushamba.
unaburuzwa kama toroli kuona marekani wanafanya kila kitu kwa ufanisi mkubwa.
 
Point tupu kiujumla umeongea kitaalamu kabisa mimi nakazia kuhusu poor hydrological studies nahisi ndio matokeo yake pia hawakusoma nature ya udongo wa hapo
 
Uko sawa kuna siku nitaleta picha inayoonesha namna Barabara Kibiti-Lindi ilivyokuwa mwaka 2012 kulikuwa hakuna lami, kipindi cha mvua magari yote yote yanaegesha kando hadi jua liangaze na ardhi ikauke. udongo una asili ya mfinyanzi
Ilikua ni balaa, ujue hii serikal tuitukane tuwezavyo lakin kiukwel, tulipo hapa sipo tulipokua , japo kama tungekua serious zaid tungekua mbali zaid ya hapa.
Mambo mengine we have to appreciate.

Hiv mwananch wa kawaida kabisa aliyepitia ile adha utamueleza nini kuwa serikali haifanyi kazi.

Haya ona sasa, leo hii mtwara na Lindi kuna hata alternative route, mtu anapitia iringa anaingia njombe songea huyu hapa mtwara, haya mambo yalikua hayawezekan na hayakuepo .
 
AKILI KISODA
watanzania tunataka barabara zinazohimili mafuriko wewe unaleta habari za marekani kwani marekani hakuna wezi na mafisadi kwenye ujenzi marekani hela zao si wanatumia kwenye vita acha ushamba.
unaburuzwa kama toroli kuona marekani wanafanya kila kitu kwa ufanisi mkubwa.
Duh utakua mwehu bila shaka...

Ila ok, hoja yangu ni nguvu ya maji...
 
Kwa ambao hawajawahi kupita hii njia wanaweza kuona utani...il ukweli hii njia kuanzia Mbagala rang 3 pale kokoto mpaka Mtwara hakuna kitu pia kutoka mnazi mmoja mpaka masasi takataka kabisa. Kuanzia masasi kuelekea Songea ndo wamejitahidi.

Zamani kidogo Muhoro-Somanga ndo palikua na mkeka angalau na ni kwasababu ulikua mpya ila baada ya muda viraka vikaanza.

Njia ya Kusini ngumu kukaa na kusoma uzi ukiwa ndani ya gari maana haijatulia hata kidogo,,wenzao wa Iringa atleast wana mkeka safi kuanzia pale Ruaha mpaka makambako.
 
Kwa ambao hawajawahi kupita hii njia wanaweza kuona utani...il ukweli hii njia kuanzia Mbagala rang 3 pale kokoto mpaka Mtwara hakuna kitu pia kutoka mnazi mmoja mpaka masasi takataka kabisa. Kunazia masasi kuelekea Songea ndo wamejitahidi.

Zamani kidogo Muhoro-Somanga ndo palikua na mkeka angalau nao ndo sababu ya upya ila baada ya muda viraka vikaanza.

Njia ya Kusini ngumu kukaa na kusoma uzi ukiwa ndani ya gari maana haijatulia hata kidogo,,wenza wa Iringa atleast wana mkeka safi kuanzia pale Ruaha mpaka makambako.
Hii barabara ijengwe kwa upya!
 
Ilikua ni balaa, ujue hii serikal tuitukane tuwezavyo lakin kiukwel, tulipo hapa sipo tulipokua , japo kama tungekua serious zaid tungekua mbali zaid ya hapa.
Mambo mengine we have to appreciate.

Hiv mwananch wa kawaida kabisa aliyepitia ile adha utamueleza nini kuwa serikali haifanyi kazi.

Haya ona sasa, leo hii mtwara na Lindi kuna hata alternative route, mtu anapitia iringa anaingia njombe songea huyu hapa mtwara, haya mambo yalikua hayawezekan na hayakuepo .
Hiyo njia ya kuzunguka Tunduru,Songea,Njombe hadi Makambako hata wakati ndio ilikuwa suluhisho wakati wa masika,ila ilikuwa inachukua hadi siku tano kufika Dar,sababu Masasi Songea kulikuwa hamna lami,halafu magari yenyewe enzi zile ilikuwa Layland CD hazikuwa na mwendo mzuri kwenye milima.
 
Njia ya Songea - Njombe dah nayo ndugu hakuna shuguli pale aisee ni hovyo kabisa.
 
chezea asilimia kumi wewe, kusomesha mtoto shule za m40 kwa mwaka si mchezo ndiyo mana muda wote wanasifia tu!
 
Nina uhakika , huko Uswisi hujafika!
Achia mbali kutumia barabara za huko!
Katika Lushoto kaona Yale mabango ya 'Lushoto Ni uswisi ndogo' akadhani ndio mwenyewe.
Wachina wanalipua kazi , wasomamizi hawaendi site kisa rushwa halafu MTU analeta za Uswisi.
 
chezea asilimia kumi wewe, kusomesha mtoto shule za m40 kwa mwaka si mchezo ndiyo mana muda wote wanasifia tu!
Sasa uje umuone huyo anayelipiwa milioni arobaini. Yuko fomfoo mtoto wa kiume anafuliwa boxer na mama yake.hata Kama Ni kwenye mashine.
He has no obligations whatsoever. Yeye anachojua ana rights.
 
Back
Top Bottom