Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

Kwa ambao hawajawahi kupita hii njia wanaweza kuona utani...il ukweli hii njia kuanzia Mbagala rang 3 pale kokoto mpaka Mtwara hakuna kitu pia kutoka mnazi mmoja mpaka masasi takataka kabisa. Kunazia masasi kuelekea Songea ndo wamejitahidi.

Zamani kidogo Muhoro-Somanga ndo palikua na mkeka angalau nao ndo sababu ya upya ila baada ya muda viraka vikaanza.

Njia ya Kusini ngumu kukaa na kusoma uzi ukiwa ndani ya gari maana haijatulia hata kidogo,,wenza wa Iringa atleast wana mkeka safi kuanzia pale Ruaha mpaka makambako.
Hii barabara ijengwe kwa upya!
 
Ilikua ni balaa, ujue hii serikal tuitukane tuwezavyo lakin kiukwel, tulipo hapa sipo tulipokua , japo kama tungekua serious zaid tungekua mbali zaid ya hapa.
Mambo mengine we have to appreciate.

Hiv mwananch wa kawaida kabisa aliyepitia ile adha utamueleza nini kuwa serikali haifanyi kazi.

Haya ona sasa, leo hii mtwara na Lindi kuna hata alternative route, mtu anapitia iringa anaingia njombe songea huyu hapa mtwara, haya mambo yalikua hayawezekan na hayakuepo .
Hiyo njia ya kuzunguka Tunduru,Songea,Njombe hadi Makambako hata wakati ndio ilikuwa suluhisho wakati wa masika,ila ilikuwa inachukua hadi siku tano kufika Dar,sababu Masasi Songea kulikuwa hamna lami,halafu magari yenyewe enzi zile ilikuwa Layland CD hazikuwa na mwendo mzuri kwenye milima.
 
Njia ya Songea - Njombe dah nayo ndugu hakuna shuguli pale aisee ni hovyo kabisa.
 
chezea asilimia kumi wewe, kusomesha mtoto shule za m40 kwa mwaka si mchezo ndiyo mana muda wote wanasifia tu!
 
Nina uhakika , huko Uswisi hujafika!
Achia mbali kutumia barabara za huko!
Katika Lushoto kaona Yale mabango ya 'Lushoto Ni uswisi ndogo' akadhani ndio mwenyewe.
Wachina wanalipua kazi , wasomamizi hawaendi site kisa rushwa halafu MTU analeta za Uswisi.
 
chezea asilimia kumi wewe, kusomesha mtoto shule za m40 kwa mwaka si mchezo ndiyo mana muda wote wanasifia tu!
Sasa uje umuone huyo anayelipiwa milioni arobaini. Yuko fomfoo mtoto wa kiume anafuliwa boxer na mama yake.hata Kama Ni kwenye mashine.
He has no obligations whatsoever. Yeye anachojua ana rights.
 
Hiyo njia ya kuzunguka Tunduru,Songea,Njombe hadi Makambako hata wakati ndio ilikuwa suluhisho wakati wa masika,ila ilikuwa inachukua hadi siku tano kufika Dar,sababu Masasi Songea kulikuwa hamna lami,halafu magari yenyewe enzi zile ilikuwa Layland CD hazikuwa na mwendo mzuri kwenye milima.
Yah ila kwasasa ni same same day
 
Kumfukuzisha kazi RM Lindi ni kukosa BUSARA kwa Bashungwa, hajui au hataki kujua historia ya ujenzi wa hii barabara, hii barabara inafanana kabisa na Ile ya Dodoma -iringa na Bagamoyo-Msata! Naamini wakubwa watanielewa
Bora hata Ile ya bagamoyo msata kuliko Dodoma iringa au hiyo ya kusini.
 
Barabara sio kwamba iko chini ya kiwango ile barabara ilijengwa bila kuzingatia hali halisi ya ardhi ilivyo ,ardhi ile ukiangalia sehemu kubwa kuanzia Rufiji mpaka karibu na Kilwa sehemu kubwa iko kwenye mikondo ya mito,kwahiyo kiwango cha unyevunyevu ni kikubwa sana ,ndio maana ile barabara mara kwa mara ina mashimo kila wakati kwa ajili ya kutitia...
Huko kutozingatiwa kwa hali halisi ya ardhi ndio chini ya kiwango kwenyewe.
 
Ni ngumu kuishinda nguvu ya maji...

Ndio maana hata nchi kubwa zinapata shida kama zetu
nchi kubwa ndio zikoje mkuu zina mabawa au?
ivi kweli hata wewe huwezi kufikiria au akili zako kama za niki wa pili aliesema baada ya Mungu ni mzungu halafu yeye niki wa pili, lowest bidder kutokea milima ya uchina anawezaje kujenga barabara ya kuweza kupambana na nguvu ya maji.
 
huyo pm mwenyewe KWAO Kuna gari moja tu hadi leo na njia mbovu vile vile
Hivi huyo PM si mzaliwa na ni mwenyeji wa Kusini.. Kwanini hataki kuchonga na Bashungwa ili hii barabara ya Kusini ijengwe upya..
Maana nimechunguza hii barabara kutoka Kusini mwa Jiji la Dar yaan Mbagala Rangi3-kokoto-Vikindu-kisemvule-Mkuranga hadi kufika Masasi(Wilaya iliyochangamka zaidi katika Mikoa ya Kusini) barabara inatia huruma sana dadeq
 
Back
Top Bottom