Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

Naamini anajutia sana.Halafu bahati Mbaya Comrade Paul anasahau kuwa hao anaowanga kuwa ni wanafiki na wanajipendekeza kwa Mama walio wengi ni mabosi zake(WaNEC) maana ndio waliomthibitisha awe Katibu wa Uenezi hata kama ni kwa shingo upande.Kuna siku watambadilikia ndani ya vikao vyao na kumfukukuza kazi.Apunguze chuki dhidi yao!!
Samia atavuna alichopanda kwa kuteua Mamluki mwenye kashfa , unachagua mtu mchafu ili uwawin Wasukuma , ni msukuma yupi wa kushawishika na Makonda ?

kazi mnayo
 
Naamini anajutia sana.Halafu bahati Mbaya Comrade Paul anasahau kuwa hao anaowanga kuwa ni wanafiki na wanajipendekeza kwa Mama walio wengi ni mabosi zake(WaNEC) maana ndio waliomthibitisha awe Katibu wa Uenezi hata kama ni kwa shingo upande.Kuna siku watambadilikia ndani ya vikao vyao na kumfukukuza kazi.Apunguze chuki dhidi yao!!
Mtu akishaitwa mpumbavu ni shida, atakata tawi alilokalia!
 
Kwani kawalipa jasho lako au lao? Rushwa gani hapo kwani watapigiwa simu na kukaguliwa upande waliopigiwa kura?

Mwendazake hakuwa na pesa akatafuta weak areas na kufukuza Wafanyakazi,wanafunzi na blaa blaa zingine.

Mbona Vyombo vya usalama na Wana siasa hakuwagukuza Kwa visingizio vya vyeti fake?
Ongelea yaliyopo na waliopo hai.
Kama una ugomvi na Marehemu tafadhali chapa mwendo mpaka chato lilipo kaburi lake na umfukuwe mmalizane.
Mimi sichangii upumbavu!
Ebho!
 
Mnaochokonoa mambo si ni nyie? Mnalazimisha wafu watajwe 😆😆
 
Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia.

Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa.

Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao.
Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na umeme, vituo vya afya nchi nzima, Daraja la Busisi na mengine lakini Mafuguli alikuwa dikteta.

Mbowe aliwekwa ndani sijui mara ngapi, watu walibambikwa kesi, wafanya biashara walinyang'anywa amana zao na kufilisiwa.

Watu waliwekwa ndani na kubambikwa kesi.

Wengine walipotea na kutoonekana, kama Azory Gwanda, Ben Saa Nane na Lwajabe.

Lissu alipigwa Risasi.

Sasa anapotokea Makonda na kumfananisha Maguguli na Mama Samia kuwa wako sawa, basi nasema Makonda huo ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu.

Mama Samia kwa sasa ameipaisha nchi kiuchumi, na anasahihisha madudu ya Magufuli.
Aliyemfungulia kesi ya ugaidi Mbowe ni JPM (Dikteta-Mwamuzi) au SSH (Demokrasia-Kuendeshwa)?

Dikteta anafanya maamuzi lakini mmdemokrasia anaendeshwa watakavyo mabwanyenye
 
Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia.

Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa.

Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao.
Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na umeme, vituo vya afya nchi nzima, Daraja la Busisi na mengine lakini Mafuguli alikuwa dikteta.

Mbowe aliwekwa ndani sijui mara ngapi, watu walibambikwa kesi, wafanya biashara walinyang'anywa amana zao na kufilisiwa.

Watu waliwekwa ndani na kubambikwa kesi.

Wengine walipotea na kutoonekana, kama Azory Gwanda, Ben Saa Nane na Lwajabe.

Lissu alipigwa Risasi.

Sasa anapotokea Makonda na kumfananisha Maguguli na Mama Samia kuwa wako sawa, basi nasema Makonda huo ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu.

Mama Samia kwa sasa ameipaisha nchi kiuchumi, na anasahihisha madudu ya Magufuli.
Mbona kitu kiko Wazi?
 
@

Paul Makonda mwite Kwa jina lake halisi ALBERT DAUDI BASHITE, huyu ndiye aliyemfanya Magufili kuwa mtu wa madudu ya kutisha, iweje Leo mama amuanini kwamba anaweza kuyasafisha madudu aliyoyatengeneza mwenyewe?
 
Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia.

Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa.

Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao.
Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na umeme, vituo vya afya nchi nzima, Daraja la Busisi na mengine lakini Mafuguli alikuwa dikteta.

Mbowe aliwekwa ndani sijui mara ngapi, watu walibambikwa kesi, wafanya biashara walinyang'anywa amana zao na kufilisiwa.

Watu waliwekwa ndani na kubambikwa kesi.

Wengine walipotea na kutoonekana, kama Azory Gwanda, Ben Saa Nane na Lwajabe.

Lissu alipigwa Risasi.

Sasa anapotokea Makonda na kumfananisha Maguguli na Mama Samia kuwa wako sawa, basi nasema Makonda huo ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu.

Mama Samia kwa sasa ameipaisha nchi kiuchumi, na anasahihisha madudu ya Magufuli.
Wewe huna akili, tulia
 
Kweli pesa imepotea, matumaini yangu kipato kitaongezeka, ajira zimeonhezekap, wawekezaji wanarudi, hali ya hofu haipo tena.
Matumaini ya kipato kuongezeka wakati pesa imepotea? We jamaa mpuuzi sana. Nyie chawa muwe mnashughulisha akili zenu angalau kidogo.
 
Tatizo kubwa ni kujifikiria kwa zile pesa zilizoko mfukoni kwako, kiuchumi si lazima iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom