Kwasisi tulikuwa ndani ya siasa za 2015 ni kwamba Makonda, Gambo, Nape n.k walikuwa kundi la Marehemu Mzee Membe chini ya mwamvuli wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mh. JK. Hata Mama Samia hakuwa mtu Magufuli.
Kama ilivyo ada ya CCM ukichaguliwa kuwa Rais unakuja na list yako ya viongozi na Chama kinakupa list ya watu waliokisaidia hadi ukashinda urais ili uone namna ya kuwaingiza serikalini. Mara nyingi list hii ya Chama huwa ni masalia ya Rais anayeondoka ambaye kwa wakati huo huwa ndio Mwenyekiti wa Chama.
Baada ya Magufuli kushinda list yake ilijaa watu wa Tanroads na waliokuwa nje ya serikali ya JK mfano akina Mpango, Ndalichako, Kabudi n.k. Hawa akina Makonda, Gambo, Nape, Samia n.k walitoka kwenye list ya Chama(JK). Na kwasababu walijua Magufuli hawaungi mkono walijitahidi kuvuma sana ili kumjengea imani kwamba wako nae. Nae aliwavumilia akiwatafutia timing na alihakikisha kabla ya uchaguzi mwingine anawaacha njiani.
Waliposhtukia hilo wakaamua kukimbilia kwenye ubunge. Gambo akatoboa Makonda akafeli. Isingekuwa rahisi kwa Makonda yule kushindwa kura za maoni za ubunge tena ndani ya mkoa wa DSM bila mkono wa Rais! Tena kama angekuwa kipenzi cha Rais angeteuliwa yeye badala ya mshindi halali kama alivyofanyiwa Gwajima.
Makonda alitekeleza kila jambo kwa nguvu kupita kiasi ili kufifisha taswira ya Rais wakati ule. Mpaka ilifika mahali wizara zilimkana. Na mama Samia dakika za mwisho akajitenga nae. Binafsi naamini kinga ya Makonda kwenye Utawala wa Magufuli ilikuwa ni Mama Samia Makamu wa Rais na wala hakuwa Magufuli mwenyewe.
Sasa tusimwangalie Makonda kama mtu wa Magufuli tutakosea sana. Taarifa ikufikie PM