Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8 = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
960 Replies
24K Views
Pikipiki honda ace 125, Individual inauzwa 2,100,000 shilingi za kitanzania. Pikipiki inasoma kilometa 600 mpaka sasa,ina kadi yake.
1 Reactions
3 Replies
122 Views
Habari za weekend, Wakuu. Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake, Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K, Ipo katika hali nzuri...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Habarini za jioni! Kama kichwa kinavyojieleza. Miezi sita ilopita nilitamani kufungua kijiwe cha games za Ps na kwa bahati nilifanikiwa kununua baadhi ya vitu lakini baada ya kupata kibarua mbali...
1 Reactions
3 Replies
218 Views
Jipatie Drone upae angani kwa bei nafuu Drone ina Sifa zifuatazo Drone ni ya kuchaji Inaenda umbali wa meter 200 Drone ina Camera Unaweza kuunganisha camera ya Drone na wifi ya simu yako...
8 Reactions
106 Replies
6K Views
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE Supa kasi Internet Unlimited bundle Free Router+Antenna. (Wireless Router) 20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi Supa kasi Internet Unlimited bundle Free...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Pata ramani nzuri na za kisasa zaidi Kwa wachoraji waliobobea katika maswala ya uchoraji ramani na ujenzi pia tutakupa ushauri kuhusu maswala ya ramani na ujenzi kwa ujumla Mawasiliano...
12 Reactions
448 Replies
58K Views
Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.....! Habar Ndugu.... Hata Kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/ Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la...
1 Reactions
3 Replies
111 Views
Habarini wakuu! Natumaini mu wazima, poleni sana kwa wale ambao hali zenu haziko sawasawa na vile mpendavyo. Niende moja kwa moja kwenye mada! Nimeandika vitabu viwili ambavyo nilipanga...
3 Reactions
15 Replies
455 Views
Feni la chini mtungi mdgo wa gas empty(orxy)na dish la azam vyote kwa pamoja nahitaji 120,000
1 Reactions
10 Replies
549 Views
Vyumba vinne, Master bedroom, sitting room, dining room, jiko na stoo Bei 80,000/= Offer ya siku chache karibuni Mawasiliano: 0766043459 Karibuni
2 Reactions
136 Replies
12K Views
  • Redirect
Natoa ofa ya wikiendi, hii ramani ya vyumba vitatu kwa 20k. Karibuni
1 Reactions
Replies
Views
Electrical popcorn machine inauzwa, Ipo katika hali nzuri sana ilitumika kidogo ikawa imekaa tu ndani Bei 200,000/= (haipungui) Location: kunduchi mtongani Call 0762 854563
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda. Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu...
31 Reactions
1K Replies
132K Views
Asalaaaaam Ndugu zanguni, leo nimeamua kuja kuwatangazia vijana wote wanaotaka kufungua Biashara ya Movie Store yani kwa movie za kiswahili na Movie za Kizungu Karibu sana nipo Nauza Mzigo kwa...
40 Reactions
456 Replies
35K Views
IPhone Original Chargers 25W Adapter USB C lighting cable 35,000/= Rejareja 16,000/= Jumla Free delivery ndani ya Dar es Salaam Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911
0 Reactions
2 Replies
149 Views
Kwa matumizi bora ya maofisin na shuleni piah chuoni, hii ni nafasi kwa walimu wa sekondari,pia watu binasfi hasa walioakribu na vyuo pia wanachuo hii ni fursa kwenu Dunia sasa imebadilika sana...
0 Reactions
3 Replies
138 Views
Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526 ipo kwenye malipo Ilikuwa inafanya kazi ya vipindi vya michezo Bei ni 600,000 Simu 0753-215812.
0 Reactions
19 Replies
469 Views
kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea...
4 Reactions
32 Replies
928 Views
Back
Top Bottom