Apartments for Sale
Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa.
Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool.
Inauzwa USD 220,000 (Dola laki...
Nyumba ya kisasa inauzwa ipo MAPINGA SHULE nyumba ya kisasa YENYE idadi ya vyumba vitatu master ipo moja lakini pia kuna NYUMBA za wapangaji kwa Nyuma YANI boy kotta zenye chumba sebule x 2 pia...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo Sqm 135.73
Ina leseni ya makazi.
Bei Milioni 85
Karibu sana mteja...
Zimejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1405 Kiwanja kimepimwa na kina Hati Miliki. Nyumba zinafikika. Kiwanja kimezungushiwa uzio kwa matofali. Huduma ya umeme na maji zipo...
Apartments for Sale
Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa.
Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool.
Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili...
NYUMBA INAUZWAAA BEI CHEEEE
NYUMBA IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU...
Master 2
Living room 2
Kitchen 1
Public toilet 1
Dinning 1
Seating 1
Ukubwa eneo 400sqm(20*20)
Bei milion 29
MAWASILIANO...
APPARTMENTS ZINAUZWA-KARIBU NA KITUO CHA DALADALA
_____
SABABU YA KUUZA-BOSS KAKWAMA KIFEDHA
______
MAHALI-NKUHUNGU
______
UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI-80M
______
-ZIKO APPARTMENTS 06 KWENYE...
Ina vyumba vitatu (3) vya kulala kimoja kinachojitoshereza ( Master bedroom) vyoo viwili, ukumbi na mahala pa kula, nyumba ya kisasa ina mvoto wa ndani na nje. Jengo lina lift, genereta, gym na...
Tuna furaha kutangaza uuzaji wa nyumba ya kupangisha ambayo bado haijakamilika. Nyumba hii ipo katika eneo la mbezi mwisho msakuzi.
Nyumba ni mjumuisho wa apartment mbili ambazo kila moja ina...
Nyumba inauzwa milioni 45 ina vyumba vitatu kimoja master, choo cha public, jiko, store, dinning na sitting rooms,
Angalia video kuiona vizuri
Piga: 0683406665
NYUMBA ionekanayo pichani inaizwa TSH 15,000,000 (milioni kumi na tano) mazungumo Yapo
-vyumba 2 vya kulala kimoja máster
-Sebule
-jiko
-publick toilet
NYUMBA ipo Mbagala Dar es Salaam maji...
NYUMBA pichani inauzwa ipo mMbagala (SAKU) wilaya ya Ilala bei Ml 28 millioni ishirini na nane
-Vyumba vitatu vya kulala kimoja máster bedroom
-Sebule
-Dinning
-Jiko
-Publick toilet
Kwa maelezo...
KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA
Specifications;
9 rooms self contained zote
Fence eneo lote + gate
840m² eneo
Kisima (120m) maji muda wote
Dawasco pia maji yapo
Kutoka barabara kuu ni 600M
LOC...
For sale Full Furnished
[emoji625]Location : Kigamboni. Vijibweni Soweto near Nyerere bridge .
[emoji411] : Full legal Documents
, Electric Fense , parking . Outdoor resting area . Full House...
nyumba inauzwa ipo mwembe mtengu tuongomb-kigamboni
ina vyumba 3
Vyumba viwili (bedroom)na publi toilet
main room[master room 1]na choo chake
Dining room
jiko
sebule
pia banda lake la nje
lina...
NYUMBA INAUZWA
IPO - DAR-ES-SALAAM-Tz
WILAYA - KINONDONI
MAHALI - MBWENI UBUNGO
___
BEI - MIL 220 maongezi yapo
UKUBWA KIWANJA - SQM 850
UMILIKI - INA HATI SAFI
YENYE
____
Vyumba vitatu vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.