INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Movies Store

JF-Expert Member
Mar 17, 2022
288
935
Asalaaaaam Ndugu zanguni, leo nimeamua kuja kuwatangazia vijana wote wanaotaka kufungua Biashara ya Movie Store yani kwa movie za kiswahili na Movie za Kizungu Karibu sana nipo Nauza Mzigo kwa bei ya Jumla kwa wafanyabiashara wanao anza au wanaotaka kuongeza stock za Ofisi zao.

mimi ni mfanyabiashara wa kuingiza movie na nyimbo kwa wateja nina stock yakutosha kabisa kwakijana yeyote ataehitaji mzigo ambayo akienda kukaa ofisini kwake Hatokosa 30,000 kwa siku huyu ni mgeni kabisa.

Hamna movie inayojulikana midomoni mwa watu Sina, japo sina Movie zote duniani au Series zote duniani lakini ni mtu ambae mteja akija na List ya 10 movies Zitapatkana 8 ztakosekana 2, Akija na list ya 5 series Zitapatikana 4 itakosekana 1, nadhani mtakua mmepata picha ya movie nilizokua nazo.

Bei elekezi ni kama zifuatazo

Kwa Mtu anaetaka kuja kuchukua Mzigo wangu wote yani tunacopy and Paste Kila kitu changu

Bei ni 4M yani milioni 4

Mahitaji yako : Unatakiwa uje na Hard Disk 60TB (Sixty Telabytes) hapo utaweza kubeba kila nilichokua nacho hutoniacha hata na trailer 1 yani utakua umebakisha kunichukua Mimi TU.

kwahiyo huko ulipo tafuta HARD DISK zako kisha njoo Nione,hiyo bei ni ya SOFT MOVIES haijumuishi gharama za Hard Disk, HDD tafuta unapojua wewe za bei utayoafikiana huko na wauzaji.

Huyo ni muuzaji Mkubwa wa Movie,Kwa wale wauzaji wanao anza anza (kama nilivyoanzaga mimi)

Kujaza 4TB Naijaza kwa 300,000 kwahiyo kila 4tb kujaza ni 300,000 hapo kazi itakua ni kwako kwenda kufanya kazi,Movie ni nyingi sana,kila movie ya kingereza ipo na kiswahili yake.

kadhalika na kwa series kila series ya kizungu ipo na ya kiswahili yake, Korean Drama,Animation na kila takataka inayohusiana na BURUDANI basi utaipata kwangu.

Karibuni vijana wenzangu mjikwamue, sio lazima wote twende shamba kulima kwa wale wenye mitaji na wana uelewa wa computer Biashara hii ni nzuri na isiyo na chembe ya mashaka.

Makadirio ya Faida kwa Mtu kama mimi sio chini ya 100k per day na kwa week ends sio chini ya 200k,Kwa mtu anaeanza kwa kujikongoja kongoja kwa siku hatokosa 10k kutegemeana na stock atayokua nayo.

Lakini kwa mtu anaejua location nzuri na ambae anauwezo wa kulenga eneo zuri Hata ukiwa na 4TB kupata 30k ni jambo la kawaida uzuri wateja wa movie sio wachaguaji, Mtu akitaka movie lets say OLD GUARD na stock yako hauna hiyo movie, Una uwezo wa kumwambia na kumuonyesha list ya movie zenye story kama ya OLD GUARD ukamsimulia na akaichukua, kwahiyo mteja wa movie akiingia ofisini kwako kuacha hela labda wewe mwenyewe ushindwe kumshawishi.

Natumaini vijana mnaopenda maendeleo na pesa basi nipo hapa kwa ajili yenu,Lakini pia yawezekana wewe unafanya hii kazi ila huna movie nyingi unataka kuongeza, Karibu sana nipo wazi ofisini anzia saa 5 asubuhi mpk 6 usiku.

Kwa wale wa movie za kina DJ MURPHY,DJ MACK (mzee wa Achecheeeeee) zote zipo miendelezo ya kila Jumatatu huwa nauza File lenye miendelezo yote ya wiki nzima kwa sh. 10,000 Njooo na 10k yako nikupe file lenye miendelezo yote ya wiki husika.

Movie zangu ni HD sinunui movie za kwenye Ma cd kisha nika copy kwenye mashine yangu,Movie zangu za dj murphy nazifata direct ofisini kwa Murphy ananiwekea kwenye external yangu, Movie za achecheee nazifata kwa Mack ananiwekea soft copy.

Sipendi nunua movie za kwenye Ma cd kwasababu mostly zinakua zimeconvertiwa zimepoteza ubora wa Picha, Season zote hadi za kihindi za kina VASCO DJ, MSATI, KONDE BOY, na wengine wote picha zao nilizonazo ni zile HD tunaita 720p to 1080p

Kwa series za kizungu na movie za kizungu Resolution ya movie zangu 80% ni 1080p kwa wateja wenye Flat 65inch 4k movie zao pia ninazo kwahyo ni uchaguzi tu,Mteja wa reja reja ukitaka movie resolution yyte kulingana na TV yako unapata.

Watu wengi nawasikia wakilalamika kuwa movie za kutafsiriwa zina quality mbovu, hii si kwa movie zangu Week end hii hapa inakuja Delivery Pia nafanya.

BEI YA REJA REJA

Single movie 1000 (iwe ya kiswahili,iwe ya kizungu)
Series English 2000
Series swahili (1000 vipande 25) complete isiyozidi episode 60 sh 2000
Korean Drama 2000 (drama isiyozidi episode 20)
Korean Drama zinazozidi episode 20 hata ikiwa episode 23 bei ni 3000,
Korean Drama zinazozidi episode 50 bei ni 5000 (mostly hizi ni zile historical)
Korean Drama za kutafsiriwa Bei ni 2000 (isipozidi episode 60)
Korean Drama za kutafsiriwa zilizozidi episode 60 (bei ni 30 episode 1k)

Karibuni sana Ofisi ipo Kwa Msuguli, kama ukitokea ubungo unashuka kituo KWA MSUGULI kama ukitokea stand ya Magufuli unashuka kituo Kwa msuguli.

Kwa biashara zaidi na mahitaji na maulizo binafsi karibuni PM.

Delivery wateja wa DAR naleta movie hadi mlangoni ila tu movie uchukue sio ya chini ya 30,000, hata kama hauna external/Flash utanitumia list mimi nitaweka list yako kwenye external yangu kisha nitakuja ku copy kwako.

Asanteni sana Movie ni Biashara Movie ni Burudani Changamkieni Fursa wapenda Burudani lakini wapenda Biashara Nipo kwa ajili yenu Pia.

Nafundisha Wanafunzi wanaotaka kujua hii kazi, mpaka waelewe na kukabidhiwa ofisi wafanye kazi.

Mzazi kama una mwanao hujui kitu cha kumfungulia hii ni biashara nzuri ya kumfungulia kama unao mtaji,mlete nikufundishie aweze pambana na maisha hata kama ukiondoka leo Mtoto wako uwe umemuandalia mazigira ya kuishi bila kutamani cha mtu.

Kwa vijana mnaotamani hii na hamjui computer nafundisha pia Computer Basic kutumia mpk kuijua na baada ya hapo tutaanza fundishana Kazi na namna ya kuifanya hii kazi.

ADA si pesa mingi sana kwa anaejua computer Ada ni 100,000 (kwa mwezi), Kwa mwanafuzi asiejua computer kabisa kabisa hajui chochote kuhusu Computer ADA ni 150,000 (kwa mwezi).

Karibuni Computer za Kufundishiana zipo na zipo katka mazingira mazuri ya kufundishiana, Library ina 10 complete computer zilizo tayari kupokea watumiaji.

Karibuni wote Movies Store
 
Umemiss nchi moja tu ambayo wanakuja juu upande wa move na ameteka soko la tz ni uturuki series zao nikali sanaa. Ova

img_1_1647467426638.jpg
 
Umemiss nchi moja tu ambayo wanakuja juu upande wa move na ameteka soko la tz ni uturuki series zao nikali sanaa. Ova

View attachment 2155449
Turkish series zipo za kutosha mKUUU tukianza na Dingi lao la historical Ertugul

ukiachana na ertugul kuna list kadhaa ya Hot Turkish Love stories kwa Historical series zote zipo boss...

Bir Umut Yeter (Action Kali sana)

Sampiyon (action iliyo emotional sana) Hapo utakutana na single father aliemlea mwanae aliezaliwa na mama mtu kufariki,Baba mtu hana kazi yani Kama machozi yapo karibu hii sio movie ya kutazama.

ICERDE (mashine ya Action)

Kurulus Osman (Historical)

Sanger (Historical)

Ask mantik itikam (Love story)

Teskilat (Hatari na Nusu)

Soz (Millitary Action Mchaka mchaka mwanzo mwisho kutana na bwana Agaaaaaaah na kina Yavuuuz)

ADA MASALI (ukitaka enjoy Week end Anza na hii)

Kis Gunes (hatari sana)

Marasli

Ariza

AND many many many more Turkish zote zilizopo nikimuwekea mteja hawezi ishia njiani, Turkish series ni nzuri wanajua sana.

Wale wa kutafsiriwa DJ murphy ana Turkish series za Hatari sana

Seen
Sanger
Alparslan
Soz
Icerde
Marasli
Teskilat
Kis Gunes
Sampiyon
Ferhat

Hiyo ni list ya DJ MURPHY moja ya ma DJ BORA kwa wakati huuu anae ingiza maneno kwa ufasaha akitafsiri movie safi kabisa No matusi, no lugha za kihuni DJ mstarabu na SMart..

Wapenzi wa Turkish karibuni

Wapenzi wa Philipines karibuni

Mataifa haya mawili Philipines na Turkish ni special case wana movie kali sanaaa ila wateja wengi hawajajua kuwa kuna vitu wana miss kwa kutoangalia movie toka sehemu hizi mbili, nadhani kama ni drama n love story philipines ni habari ingine.
 
Punguza ukali kidogo Mzee.

Movies hizi hizi ambazo Vijana wenzako wanadownload telegram?

Tb 60 za nini?

Movies hizi hizi ambazo Ukienda na teni Tb5 kijana hana hiyana anakukopia almostly everything kea computer yake?
Kweli mkuu? Basi vizuri sana Tumetofautiana

Mimi movie 1 nakuuzia kwa 1000 na ile 4k nakuuzia kwa 2000 movie ya kuangalia kwa 1hour.

Uamuzi ni wako mkuu kuchagua wapi pakwenda kununua movie zako Boss,si unajua kila ndege hulala mti aupendao.
 
ila milion 4 palefu san, mfano mtu akaweka bando la laki tano hawezi pakua movie za kutosha kutoka link mbalimbali?
Achilia mbali Laki 5 hata uunge bando la 1M huwezi pata movie zote mtandaoni kwanza hilo unatakiwa ulifahamu mkuu?

Kuna movie ya MB 500 tu ipo mtandaoni ila kuishusha hata ukae wiki nzima haimalizi kushuka, server iko slow bin konokono..

Ukiwa na movie store sio kila movie utaipata mtandaoni utapitwa na wakati sana, mtandaoni utapata hizi za sasa hivi common ambazo kila mtu anazo.

ili mteja anase kwako anatakiwa akija umpe collection ya CHUCK NORIS umpe collection ya Bruce leee kuna zile old movie ambazo kuzipata si rahisi.

Indian movie mteja akwambie umpe DISCO DANCER umpe JANWAR au series za INDIA yani hata uweke bando la 1m ukitaka kupata movie zote labda udownload kila movie, jambo ambalo halitakiwi kwenye movie store.

Movie store its all about Selecting whats trending kwa wakati huo, sasa wewe unadownload peke ako utadownload movie ambazo hutokuja ziuza, utadownload hata 100TB lakini Useless Movies hamna ataekuja ziulizia wala kuzitaka.

Ukiona unauziwa Movie za kufanyia biashara ujue umesaidiwa kupewa CREAM yani zile movie ambazo mteja akiingia tu ofisini kwako ataiulizia, je ukipewa bando la TB 10000 Utazijua movie wateja wanazopenda kwakujifungia ndani kudownload kwa link?
 
Million nne sio mav kwamba kila mtu anayo we mwenyewe kipato chako million nne kwa mwaka hufikishi..Nilikuwa interested na jambo lako labda Kama ungesema laki nne ningeoa furesh
Eti unasema!? Acha nikubaliane na wewe lakini ukipata mtu ataekujazia zaidi ya 4TB kwa laki 4 uje hapa utoe mrejesho kwa kuweka namba yake ya simu usaidie na wengine.

JF ni mahali pakusaidiana na kupeana machimbo, ukipata mahali wanaweka movie kwa bei hiyo zaidi ya 4tb lete namba ya huyo mtu hapa JF wengine nao waneeemeke.
 
Punguza ukali kidogo Mzee.

Movies hizi hizi ambazo Vijana wenzako wanadownload telegram?

Tb 60 za nini?

Movies hizi hizi ambazo Ukienda na teni Tb5 kijana hana hiyana anakukopia almostly everything kea computer yake?
Mkuu hujazidisha chumvi kweli? yani uende na teni uwekewe TB 5 hivi bei ya TB 5 yenyewe unaijua ni sh ngapi kweli?

Unahisi kwakuwa movie zinapatikana Telegram basi unahisi ni rahisi kuzipata sana mkuu? kama una angalia for fun telegram n mahali sahihi kwako

Ila kibiashara Hapana kuna Mengi huyafahamu kuhusu Movie, sio kila movie ni ya biashara, sio kila movie ya telegram utaulizwa, mteja hakuulizi movie anayojua ataipata wapi, Movie store maana yake unaijua mkuu?

Unaweza kwenda Kariakoo kununua unga nusu, unga ambao hata kwa mangi unaupata? Kwann unaendaga kununua vitu K.koo? Ukishapata jibu utajua kwann mteja anajua telegram movie zipo ila atakuja Movie Store.
 
Asalaaaaam Ndugu zanguni, leo nimeamua kuja kuwatangazia vijana wote wanaotaka kufungua Biashara ya Movie Store yani kwa movie za kiswahili na Movie za Kizungu Karibu sana nipo Nauza Mzigo kwa bei ya Jumla kwa wafanyabiashara wanao anza au wanaotaka kuongeza stock za Ofisi zao.

mimi ni mfanyabiashara wa kuingiza movie na nyimbo kwa wateja nina stock yakutosha kabisa kwakijana yeyote ataehitaji mzigo ambayo akienda kukaa ofisini kwake Hatokosa 30,000 kwa siku huyu ni mgeni kabisa.

Hamna movie inayojulikana midomoni mwa watu Sina, japo sina Movie zote duniani au Series zote duniani lakini ni mtu ambae mteja akija na List ya 10 movies Zitapatkana 8 ztakosekana 2, Akija na list ya 5 series Zitapatikana 4 itakosekana 1, nadhani mtakua mmepata picha ya movie nilizokua nazo.

Bei elekezi ni kama zifuatazo

Kwa Mtu anaetaka kuja kuchukua Mzigo wangu wote yani tunacopy and Paste Kila kitu changu

Bei ni 4M yani milioni 4

Mahitaji yako : Unatakiwa uje na Hard Disk 60TB (Sixty Telabytes) hapo utaweza kubeba kila nilichokua nacho hutoniacha hata na trailer 1 yani utakua umebakisha kunichukua Mimi TU.

kwahiyo huko ulipo tafuta HARD DISK zako kisha njoo Nione,hiyo bei ni ya SOFT MOVIES haijumuishi gharama za Hard Disk, HDD tafuta unapojua wewe za bei utayoafikiana huko na wauzaji.

Huyo ni muuzaji Mkubwa wa Movie,Kwa wale wauzaji wanao anza anza (kama nilivyoanzaga mimi)

Kujaza 4TB Naijaza kwa 300,000 kwahiyo kila 4tb kujaza ni 300,000 hapo kazi itakua ni kwako kwenda kufanya kazi,Movie ni nyingi sana,kila movie ya kingereza ipo na kiswahili yake.

kadhalika na kwa series kila series ya kizungu ipo na ya kiswahili yake, Korean Drama,Animation na kila takataka inayohusiana na BURUDANI basi utaipata kwangu.

Karibuni vijana wenzangu mjikwamue, sio lazima wote twende shamba kulima kwa wale wenye mitaji na wana uelewa wa computer Biashara hii ni nzuri na isiyo na chembe ya mashaka.

Makadirio ya Faida kwa Mtu kama mimi sio chini ya 100k per day na kwa week ends sio chini ya 200k,Kwa mtu anaeanza kwa kujikongoja kongoja kwa siku hatokosa 10k kutegemeana na stock atayokua nayo.

Lakini kwa mtu anaejua location nzuri na ambae anauwezo wa kulenga eneo zuri Hata ukiwa na 4TB kupata 30k ni jambo la kawaida uzuri wateja wa movie sio wachaguaji, Mtu akitaka movie lets say OLD GUARD na stock yako hauna hiyo movie, Una uwezo wa kumwambia na kumuonyesha list ya movie zenye story kama ya OLD GUARD ukamsimulia na akaichukua, kwahiyo mteja wa movie akiingia ofisini kwako kuacha hela labda wewe mwenyewe ushindwe kumshawishi.

Natumaini vijana mnaopenda maendeleo na pesa basi nipo hapa kwa ajili yenu,Lakini pia yawezekana wewe unafanya hii kazi ila huna movie nyingi unataka kuongeza, Karibu sana nipo wazi ofisini anzia saa 5 asubuhi mpk 6 usiku.

Kwa wale wa movie za kina DJ MURPHY,DJ MACK (mzee wa Achecheeeeee) zote zipo miendelezo ya kila Jumatatu huwa nauza File lenye miendelezo yote ya wiki nzima kwa sh. 10,000 Njooo na 10k yako nikupe file lenye miendelezo yote ya wiki husika.

Movie zangu ni HD sinunui movie za kwenye Ma cd kisha nika copy kwenye mashine yangu,Movie zangu za dj murphy nazifata direct ofisini kwa Murphy ananiwekea kwenye external yangu, Movie za achecheee nazifata kwa Mack ananiwekea soft copy.

Sipendi nunua movie za kwenye Ma cd kwasababu mostly zinakua zimeconvertiwa zimepoteza ubora wa Picha, Season zote hadi za kihindi za kina VASCO DJ, MSATI, KONDE BOY, na wengine wote picha zao nilizonazo ni zile HD tunaita 720p to 1080p

Kwa series za kizungu na movie za kizungu Resolution ya movie zangu 80% ni 1080p kwa wateja wenye Flat 65inch 4k movie zao pia ninazo kwahyo ni uchaguzi tu,Mteja wa reja reja ukitaka movie resolution yyte kulingana na TV yako unapata.

Watu wengi nawasikia wakilalamika kuwa movie za kutafsiriwa zina quality mbovu, hii si kwa movie zangu Week end hii hapa inakuja Delivery Pia nafanya.

BEI YA REJA REJA

Single movie 1000 (iwe ya kiswahili,iwe ya kizungu)
Series English 2000
Series swahili (1000 vipande 25) complete isiyozidi episode 60 sh 2000
Korean Drama 2000 (drama isiyozidi episode 20)
Korean Drama zinazozidi episode 20 hata ikiwa episode 23 bei ni 3000,
Korean Drama zinazozidi episode 50 bei ni 5000 (mostly hizi ni zile historical)
Korean Drama za kutafsiriwa Bei ni 2000 (isipozidi episode 60)
Korean Drama za kutafsiriwa zilizozidi episode 60 (bei ni 30 episode 1k)

Karibuni sana Ofisi ipo Kwa Msuguli, kama ukitokea ubungo unashuka kituo KWA MSUGULI kama ukitokea stand ya Magufuli unashuka kituo Kwa msuguli.

Kwa biashara zaidi na mahitaji na maulizo binafsi karibuni PM.

Delivery wateja wa DAR naleta movie hadi mlangoni ila tu movie uchukue sio ya chini ya 30,000, hata kama hauna external/Flash utanitumia list mimi nitaweka list yako kwenye external yangu kisha nitakuja ku copy kwako.

Asanteni sana Movie ni Biashara Movie ni Burudani Changamkieni Fursa wapenda Burudani lakini wapenda Biashara Nipo kwa ajili yenu Pia.
Chukua laki4 unanikopia vyote 60TB,
Mimi sifanyi biashara napeleka mzigo home ntaangalia zile za English na mke yai halipandi Kama diva ataangalia hizo za kina Lufufu.
 
Back
Top Bottom