INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Muvi unaeka bei juu cannnaa,, wakat muv mtaan wanaeka kwa jeloo,, ww unaeka buku halaf ndo unauza kwa jumla
Mtaani kwenu wanaweka kwa "jeloo" sawa mkuuu mimi kwangu Movie nauza kwa resolution na si tu bora nimekuwekea movie.

Res ya 720/1080 (FHD) Price ni 1000
Res ya 2160 (4k) Price ni 2000
Res ya 4320 (8k) Price ni 3000

Boss hizo ni bei za Single movie.

Bei ya Series una double hapo juu x 2 kwa kila resolution,that Means uki taka La casa De papel Season 5 (8k) price ni 6000 per volume, means kwa Volume zote mbili utaacha ofisini 12,000.

Hiyo ndio bei ya ofisini Boss na wala wateja hawapigi kelele washaelewa na tunaenda nao Sawa.
 
Duuuh boss naomba kujua changamoto zke
Changamoto kubwa Pekeee ambayo ukiingia lazima uifahamu ni kwamba,Unaweza kununua HARD DISK ya TB 10 kwa 800k halafu ukaijaza Mzigo ikajaa Full ukawa unapga kazi.

Siku isiyo na jina wala tarehe HARD DISK ukashangaaa Haisomi, hangaika uhangaikavyo HARD DISK haisomi mwisho unagundua HARD DISK imekufa.

Si tu imekufa,lakini imekufa na DATA zake zote ulizojaza NDANI kwahyo unaweza ukapata picha utakua umepoteza vitu vingapi kwa mara 1,HARD DISK kuipata ni simple, Movie 10tb kuzipata zote inabidi uache kazi ufanye kazi otherwise utaenda ongeza DUPLICATE movies.
 
Mkushi w jani

Baada ya kuhangaika kurudisha zile TB 10 movie umeanza kazi tena inakufia HARD DISK ingine ya 12TB wiki hiyo hiyo au Mwezi Huo Huo.

Ki ufupi unaweza hisi umelogwa au una mikosi kama hauna channel nyingine ya kukuingizia Kipato MOVIE STORE za storage kubwa kama hizi zinaweza kukufilisi usipojipanga kikamilifu.
mimi na ona hz inabidi uchague zenye ubora kama vile transender mi ndo naikubali. Na pia sishauri mtu awe na 10TB kwa wakati mmoja bora awe na vipande kama vya 4TB.
 
Back
Top Bottom