INAUZWA Mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa

KingPower

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
1,099
1,748
Habari za weekend, Wakuu.

Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake,

Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K,

Ipo katika hali nzuri inatumia umeme, na toka nimeinunua nimeitumia kwa mwezi mmoja Tu,

Karibu Sana.

IMG_20240505_093128.jpg
IMG_20240505_093207.jpg
 
Back
Top Bottom