INAUZWA Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526

Aug 29, 2022
65
122
Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526 ipo kwenye malipo
Ilikuwa inafanya kazi ya vipindi vya michezo
Bei ni 600,000
Simu 0753-215812.

Screenshot 2024-04-17 192355.png

Screenshot 2024-04-17 192412.png
 
Uendeshaji wa Youtube Chaneli jambo la kwanza inatakiwa ufahamu kwamba unataka uwe unazalisha maudhui ya aina gani katika chaneli yako,mfano ya Michezo inakupasa uwe na content nyingi kwa siku walau 5 kwa siku ambayo kimakadiri kwa mwezi video zikiwa zimepanda hata 80-90 na ukafanikiwa kupata views kuanzia 70000 hadi 150000 unaweza kuvuna mapato yasiopungua Dola 150 hadi 350 kwahiyo kifupi ukiwa unapata views wakutosha kwa mwezi ndiyo mapato yako yatakuwa makubwa zaidi
hii ni kwa uzoefu wangu mimi katika uendeshaji wa Youtube Chaneli
 
Ina maana ukipata views wanahesabiwa mwezi mpaka mwezi au general viewers mkuu...?
 
Hili Swali kuvunwa Views ni lazima wavunwe au kuna mbinu gani ya kuwavuna zaidi na/au tofauti na kupost humo YouTube? Mwisho Kama mtu akiinunua YouTube yako, hao waliovunwa wanakwenda wapi au nao pia wanavunwa na mmiliki mpya? Fedha zinaingia namna gani baada ya kuvunwa na kodi yake ikoje, TRA wanakukadiria au YouTube ndio wanaobeba mzigo wa kuwakusanyia TRA Kodi? Hizi fedha unazolipwa je zinaingizwa kwenye account yako au ya Mmiliki mpya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom