Soloist International Mbaraka Mwinshehe Mwaruka.
1970 aliporudi kutoka Expo akakuta maneno Dar es Salaam kuwa Morogoro Jazz imependelewa kuchaguliwa kwenda Osaka. Mbaraka akawaambia wenzake kuwa...
ZANZIBAR NA LAMU ZINAVYOFANANA
Picha hiyo ya punda kabeba mizigo ni kwa hisani ya Abuu Shani.
Picha hii nimeipenda na imenikumbusha mara hyangu ya kwanza kufika Lamu mwaka wa 2007.
Nilikwenda...
Utangulizi
Aziz Ali alifariki mwaka wa 1950 miezi michache baada ya kutoka kuhiji Makka. Hata kwa mbali katika maisha yake haikumpitikia kuwa mali aliyoacha nyuma itakuja kutumika katika...
Leo katika historia April 7: Undani wa hayati abeid amani karume kuzaliwa mpaka kifo
Bwana Abeid Amani Karume muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa katika kitongoji cha Pongwe, Mudiria ya...
Adam Sapi Mkwawa alishika Uspika mara mbili, kwa anayejua kwa nini atusaidie.
Erasto Andrew Mbwana Mang'enya alishika miaka 2 tu baadae Adam akaja kushika tena.
Mwishoni mwa miaka ya 1800 hadi miaka ya 1900, Wamarekani Weupe na Wazungu walitumia Waafrika kuunda "Zoo za Wanadamu" katika miji kama Paris, Hamburg, Antwerp, Barcelona, London, Milan, Warsaw...
Tulipoishia ni pale mzee soni kuona moto ukipamba sana katika nyumba ya justin
(Raia)..saidia jman mwanga maji,”lete maji”mungu jamn maindra
Justin alishangwaza sana na moto hule umetokea...
Napenda kujua ni kwa namna gani wajerumani walitumia kuyapa majina haya maeneo ya Tanganyika enzi za ukoloni majina ya kijerumani?
German placenames
Most place names in German East Africa...
MISRI ni nchi inayozunguka kona ya kaskazini mashariki ya bara la afrika hadi kwenye Rasi ya Sinai kusini magharibi mwa bara la Asia
Nchi ya Misri imepakana na nchi kama Israel, Palestine...
Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika, kusoma na walikuwa wameelimika katika hesabu.
Mmishionari Ludwig Krapf alipofika kwa Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848...
Ukimtoa Malkia Elizabeth II basi hakuna kiongozi mwengine wa kifalme aliyeiongoza uingereza kwa miaka mingi zaidi kumzidi Malkia Victoria kwa miaka 64 ....Ndio malkia Victoria ndio jina Lake...
Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
Babaji ni Himalayan yogi ambaye ameishi kwa muda mrefu sana.
Kila mtu anapaswa kumfahamu Babaji ni nani. Inasemekana Babaji amezaliwa Madras, India, AD 200.
Mpaka leo yuko hai.
Nilitamani...
Makala hii nimeiandika miaka michache nyuma kwa ajili ya gazeti moja Ulaya na ndiyo sababu iko kwa Kiingereza.
RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS
Observation of the holy month of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.