Mbinu gani ya kudai pesa bila kuonekana msumbufu kwa boss?

Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
 
Mimi kipindi nimeajiriwa kwenye kudai hapo nilikuwa sicheki na kima,nilikuwa naomba exactly date aseme ni lini? Na siku ikifika mapema kabisa naulizia changu nikifate saa ngapi!
Kuna wajinga wakaanza ooh utaonekana upo after money,yes nilikuwa after money & nothing more!
 
Kuna ma boss hawajali shida za wafanyakazi zao hawajui kuwa ata morali ya kazi hushuka
 
Boss anamwambia tu usiwaze kesho
Mtihani.....tulishamfuata boss nyumbani kwake usiku....baada ya kupitia ubanda nilikuwa na Shekivuli na Mzee wa Mwira...tukamkuta yuko na mkewe wanakula na sisi tukamwambia mkewe njaa zinatuuma hatujalipwa mshahara tunaomba chakula,,,tulikaribishwa freesh...tukashukuru tukamwambia na kesho tutakuja.
Asubuhi yake tulilipwa.
Hawa jamaa zangu nimepotezana nao miaka mingi sana.
 
Mimi kipindi nimeajiriwa kwenye kudai hapo nilikuwa sicheki na kima,nilikuwa naomba exactly date aseme ni lini? Na siku ikifika mapema kabisa naulizia changu nikifate saa ngapi!
Kuna wajinga wakaanza ooh utaonekana upo after money,yes nilikuwa after money & nothing more!
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom