Mbaraka Mwinshehe Mwaruka

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,928
30,279

Soloist International Mbaraka Mwinshehe Mwaruka.

1970 aliporudi kutoka Expo akakuta maneno Dar es Salaam kuwa Morogoro Jazz imependelewa kuchaguliwa kwenda Osaka. Mbaraka akawaambia wenzake kuwa lazima warekodi nyimbo moja kama majibu kisha waende nyumbani Moro.

Wakarekodi katika studio za TBC ''Maonyesho Japani.''

Mle ndani Mbaraka was at his best guitar alilotia mle na ''melody'' yake si vitu vya kawaida.

Bahati mbaya sana ni kuwa recording ya TBC ilikuwa nzuri lakini ya Polydor ambayo ndiyo santuri yenyewe haikutoka vyema.

Kuna kitu katika muziki kinaitwa, ''chromatics,'' hii ni kama kupiga danadana katika soka. Ukijua danadana utakuwa na ''ball control,'' nzuri.

Sasa sikiliza hiyo ''chromatics,'' pale Mbaraka anaposema. ''Leo nalala Japan...'' nk.

Si wapigaji wengi wanaweza kusema huku vidole vikitembea kwenye, ''fret.'' Nilikuwa na hamu ya kuandika maisha ya Mbaraka na nilianza, ''interview,'' na marehemu Kurwa Salum, saxophonist wake na mtunzi wa nyimbo nyingi za Mbaraka ingawa jina lililotokea lilikuwa la Mbaraka.

Kurwa Salum alikuwa kila akija Dar es Salaam kutoka Morogoro alikuwa akija kunitembelea ofisini.

Wakati ule Kurwa Salum alikuwa kaacha muziki na akiuza mitumba Morogoro Sokoni.

Roho ilikuwa ikiniuma sana nilipokuwa nikimuona katika hali ile lya unyonge lakini alikuwa sala haimpiti.

Nilikuwa nikimstaajabisha sana Kurwa Salum nilipokuwa nikimwimbia ''chromatics,'' za saxophone lake kwenye nyimbo kama ile waliyoisifia timu ya Morogoro iliyochukua Taifa Cup.

Basi akicheka sana... Sikumaliza hii kazi nikaanza kitabu cha Abdul Sykes...In Shaa Allah atatokea mtafiti ataandika historia za hawa mabingwa wetu wa mindule.

Hadi leo Morogoro hawajawapa Mtaa Salum Abdallah wala Kurwa Salum. Katika band boys wa Morogoro Jazz kulikuwa na rafiki yangu wa utotoni Maneno Gisha.

Kurwa Salum ni Mmanyema.
 
Ubaya ulianza zamani....wakati bado Mdogo....

Solo iliopigwa kwenye wimbo huu ni balaaa.
 
Asante bwana Mohamed kwa wazo zuri sanaaa mimi pia nolikuwa na hamu kama yako yaani kuandika kitabu juu ya nguli huyu niliposoma wazo lako nikapata nguvu zaidi. Japo sikuwa karibu na Mbaraka kwani nilikuwa bado mtoto nasoma lakini nilikuwa naishi Morogoro nakuhudhuria mazoezi ya Moro jazz na hata Cuban marimba. Nilizipenda sana bendi hizo na hata kuhudhuria dansi haswa la mchana wakati huo nikiwa sekondari. Hivyo nilikuwa nazijua vyema brndi hizi
Mawazo yako yamenifanya nikamilishe vitabu viwili Mbaraka Mwinshehe Soloist National na muziki wa rumba na Juma Kilaza nguli wa muziki toka mji kasoro bahari vinapatikana katika mtandao. Vipo katika lugha ya KiswHili na kiingereza. Hata hivyo bila ya msaada wa wanamuziki wa zamani wa Duper Volcano Moro jazz na Cuban Marimba nisingeweza kukamilisha vyema vitabu hivi. Shukrani kwa Robert simba aliyekuwa mwimbaji wa Cuban marimba na baadae Super Volcano Saidi Makelele mpiga tarumbeta Super Volcano Kibwana Magati drums na David Senyagwa gitaa la rithimu Cuban marimba na Super Volcano. Pia kwa kushirikiana na Muhtaji Mbaraka mtoto wa Mbaraka pia Maneno Kilaza tumerekodi upya kazi za magwiji hao za kilaza tayari zipo mtandaono hivi karibuni hata za Muhtaji pia zitapatikana. AHSANTENI SANA WAPENZI WA NGULI HAO
 
Anthony...
Tafadhali sana tuwekee link ya vitabu na nyimbo.
 
Soloist International Mbaraka Mwinshehe Mwaruka.

1970 aliporudi kutoka Expo akakuta maneno Dar es Salaam kuwa Morogoro Jazz imependelewa kuchaguliwa kwenda Osaka. Mbaraka akawaambia wenzake kuwa lazima warekodi nyimbo moja kama majibu kisha waende nyumbani Moro.

Wakarekodi katika studio za TBC ''Maonyesho Japani.''

Mle ndani Mbaraka was at his best guitar alilotia mle na ''melody'' yake si vitu vya kawaida.

Bahati mbaya sana ni kuwa recording ya TBC ilikuwa nzuri lakini ya Polydor ambayo ndiyo santuri yenyewe haikutoka vyema.

Kuna kitu katika muziki kinaitwa, ''chromatics,'' hii ni kama kupiga danadana katika soka. Ukijua danadana utakuwa na ''ball control,'' nzuri.

Sasa sikiliza hiyo ''chromatics,'' pale Mbaraka anaposema. ''Leo nalala Japan...'' nk.

Si wapigaji wengi wanaweza kusema huku vidole vikitembea kwenye, ''fret.'' Nilikuwa na hamu ya kuandika maisha ya Mbaraka na nilianza, ''interview,'' na marehemu Kurwa Salum, saxophonist wake na mtunzi wa nyimbo nyingi za Mbaraka ingawa jina lililotokea lilikuwa la Mbaraka.

Kurwa Salum alikuwa kila akija Dar es Salaam kutoka Morogoro alikuwa akija kunitembelea ofisini.

Wakati ule Kurwa Salum alikuwa kaacha muziki na akiuza mitumba Morogoro Sokoni.

Roho ilikuwa ikiniuma sana nilipokuwa nikimuona katika hali ile lya unyonge lakini alikuwa sala haimpiti.

Nilikuwa nikimstaajabisha sana Kurwa Salum nilipokuwa nikimwimbia ''chromatics,'' za saxophone lake kwenye nyimbo kama ile waliyoisifia timu ya Morogoro iliyochukua Taifa Cup.

Basi akicheka sana... Sikumaliza hii kazi nikaanza kitabu cha Abdul Sykes...In Shaa Allah atatokea mtafiti ataandika historia za hawa mabingwa wetu wa mindule.

Hadi leo Morogoro hawajawapa Mtaa Salum Abdallah wala Kurwa Salum. Katika band boys wa Morogoro Jazz kulikuwa na rafiki yangu wa utotoni Maneno Gisha.

Kurwa Salum ni Mmanyema.

Mmoja ya wanamuziki ninaowakubali sana. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani. Yeye na Jabali la Muziki, waliupiga mwingi sana enzi zao
 
ahsante nakuwekea nyimbo hizo zaJuma Kilaza zilizorudiwa wapenzi wote wa muziki wa Juma Kilaza nao wazisikilize
 
Attachments

  • ZENA - KC MEDIA & MANENO KILAZA- TK LUMPOPO.mp3
    11.8 MB
  • ASHA- KC MEDIA & MANENO KILAZA -TK LUMPOPO.mp3
    17.9 MB
  • SEMENI- KC MEDIA & MANENO KILAZA-TK LUMPOPO.mp3
    10.8 MB
  • MANENO-KILAZA--TK-LUMPOPO-JAZZ-BAND-MOROGORO.mp3
    5 MB
Nimefanya kosa la kutowataja walioshiriki nami kukamilisha marudio ya nyimbo za Juma Ramadhan Magola Kilaza ama Magola wa Chumbi na Mbaraka Mwinshehe Mwaruka Soloist National ambao wote ni wakongwe wa muziki nao ni Saidi Makelele katika ala ya tarumbeta aliyewahi kuwa mwanamuziki wa Super Volcano na kupiga muziki na Mbaraka pia amewahi kupiga na Les Wanyika wengine ni Shaban Lendi bingwa mbobezi katika Saxophone, Fadhili Msofe katika gitaa Baba Isaya katika gitaa Elly Chinyama katika solo gitaa, Makopa, Maneno Kilaza katika kuimba , ' Muhtaji Mbaraka gitaa la besi na kuimba na Omari Seseme katika gitaa la solo hapa nimewataja wote baadhi wameshiriki katika nyimbo za Kilaza na Mbaraka na baadhi katika nyimbo za mwamuziki mmojawapo tu. Studioni KC RECORDS chini ya producer mahiri JEYDRAMA
 
Soloist International Mbaraka Mwinshehe Mwaruka.

1970 aliporudi kutoka Expo akakuta maneno Dar es Salaam kuwa Morogoro Jazz imependelewa kuchaguliwa kwenda Osaka. Mbaraka akawaambia wenzake kuwa lazima warekodi nyimbo moja kama majibu kisha waende nyumbani Moro.

Wakarekodi katika studio za TBC ''Maonyesho Japani.''

Mle ndani Mbaraka was at his best guitar alilotia mle na ''melody'' yake si vitu vya kawaida.

Bahati mbaya sana ni kuwa recording ya TBC ilikuwa nzuri lakini ya Polydor ambayo ndiyo santuri yenyewe haikutoka vyema.

Kuna kitu katika muziki kinaitwa, ''chromatics,'' hii ni kama kupiga danadana katika soka. Ukijua danadana utakuwa na ''ball control,'' nzuri.

Sasa sikiliza hiyo ''chromatics,'' pale Mbaraka anaposema. ''Leo nalala Japan...'' nk.

Si wapigaji wengi wanaweza kusema huku vidole vikitembea kwenye, ''fret.'' Nilikuwa na hamu ya kuandika maisha ya Mbaraka na nilianza, ''interview,'' na marehemu Kurwa Salum, saxophonist wake na mtunzi wa nyimbo nyingi za Mbaraka ingawa jina lililotokea lilikuwa la Mbaraka.

Kurwa Salum alikuwa kila akija Dar es Salaam kutoka Morogoro alikuwa akija kunitembelea ofisini.

Wakati ule Kurwa Salum alikuwa kaacha muziki na akiuza mitumba Morogoro Sokoni.

Roho ilikuwa ikiniuma sana nilipokuwa nikimuona katika hali ile lya unyonge lakini alikuwa sala haimpiti.

Nilikuwa nikimstaajabisha sana Kurwa Salum nilipokuwa nikimwimbia ''chromatics,'' za saxophone lake kwenye nyimbo kama ile waliyoisifia timu ya Morogoro iliyochukua Taifa Cup.

Basi akicheka sana... Sikumaliza hii kazi nikaanza kitabu cha Abdul Sykes...In Shaa Allah atatokea mtafiti ataandika historia za hawa mabingwa wetu wa mindule.

Hadi leo Morogoro hawajawapa Mtaa Salum Abdallah wala Kurwa Salum. Katika band boys wa Morogoro Jazz kulikuwa na rafiki yangu wa utotoni Maneno Gisha.

Kurwa Salum ni Mmanyema.

Pia tukipata historia ya Marijani Rajabu sisi ambao tumekuwa zama hizi tumezisikia tu nyimbo zao lakini historia yao kubwa hakuna wala visa na mikasa iliyowakuta wakiwa katika harakati za kufanikiwa kimziki
 
Nimefanya kosa la kutowataja walioshiriki nami kukamilisha marudio ya nyimbo za Juma Ramadhan Magola Kilaza ama Magola wa Chumbi na Mbaraka Mwinshehe Mwaruka Soloist National ambao wote ni wakongwe wa muziki nao ni Saidi Makelele katika ala ya tarumbeta aliyewahi kuwa mwanamuziki wa Super Volcano na kupiga muziki na Mbaraka pia amewahi kupiga na Les Wanyika wengine ni Shaban Lendi bingwa mbobezi katika Saxophone, Fadhili Msofe katika gitaa Baba Isaya katika gitaa Elly Chinyama katika solo gitaa, Makopa, Maneno Kilaza katika kuimba , ' Muhtaji Mbaraka gitaa la besi na kuimba na Omari Seseme katika gitaa la solo hapa nimewataja wote baadhi wameshiriki katika nyimbo za Kilaza na Mbaraka na baadhi katika nyimbo za mwamuziki mmojawapo tu. Studioni KC RECORDS chini ya producer mahiri JEYDRAMA
Ahsante sana.
 
Soloist International Mbaraka Mwinshehe Mwaruka.

1970 aliporudi kutoka Expo akakuta maneno Dar es Salaam kuwa Morogoro Jazz imependelewa kuchaguliwa kwenda Osaka. Mbaraka akawaambia wenzake kuwa lazima warekodi nyimbo moja kama majibu kisha waende nyumbani Moro.

Wakarekodi katika studio za TBC ''Maonyesho Japani.''

Mle ndani Mbaraka was at his best guitar alilotia mle na ''melody'' yake si vitu vya kawaida.

Bahati mbaya sana ni kuwa recording ya TBC ilikuwa nzuri lakini ya Polydor ambayo ndiyo santuri yenyewe haikutoka vyema.

Kuna kitu katika muziki kinaitwa, ''chromatics,'' hii ni kama kupiga danadana katika soka. Ukijua danadana utakuwa na ''ball control,'' nzuri.

Sasa sikiliza hiyo ''chromatics,'' pale Mbaraka anaposema. ''Leo nalala Japan...'' nk.

Si wapigaji wengi wanaweza kusema huku vidole vikitembea kwenye, ''fret.'' Nilikuwa na hamu ya kuandika maisha ya Mbaraka na nilianza, ''interview,'' na marehemu Kurwa Salum, saxophonist wake na mtunzi wa nyimbo nyingi za Mbaraka ingawa jina lililotokea lilikuwa la Mbaraka.

Kurwa Salum alikuwa kila akija Dar es Salaam kutoka Morogoro alikuwa akija kunitembelea ofisini.

Wakati ule Kurwa Salum alikuwa kaacha muziki na akiuza mitumba Morogoro Sokoni.

Roho ilikuwa ikiniuma sana nilipokuwa nikimuona katika hali ile lya unyonge lakini alikuwa sala haimpiti.

Nilikuwa nikimstaajabisha sana Kurwa Salum nilipokuwa nikimwimbia ''chromatics,'' za saxophone lake kwenye nyimbo kama ile waliyoisifia timu ya Morogoro iliyochukua Taifa Cup.

Basi akicheka sana... Sikumaliza hii kazi nikaanza kitabu cha Abdul Sykes...In Shaa Allah atatokea mtafiti ataandika historia za hawa mabingwa wetu wa mindule.

Hadi leo Morogoro hawajawapa Mtaa Salum Abdallah wala Kurwa Salum. Katika band boys wa Morogoro Jazz kulikuwa na rafiki yangu wa utotoni Maneno Gisha.

Kurwa Salum ni Mmanyema.

Hivi ni kwanini Sheikh Anoud Maalim kasahaulika. Tunahitaji hadithi, simulizi yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom