uchumi imara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Evil Genius

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%. Baada ya matokeo hayo...
  2. R

    Benki za Uingereza zatangaza kupunguza wafanyakazi wiki kadhaa kabla ya Krismasi

    Benki ya Metro inayopitia changamoto kwa sasa ilisema Alhamisi tarehe 30/11/2023 kuwa inatarajia kupunguza idadi ya wafanyakazi kwa 20% kama juhudi sehemu ya juhudi za kokoa Pauni milioni 50 (Tsh. Bilioni 1.2~) kwa mwaka. Tangazo hilo ambalo linaathiri takriban ajira 800, siku hiyo hiyo pia...
  3. Newbies

    Nchi zenye uchumi imara Africa 2023

    Top 10 largest economies on the continent 2023 1)- Nigeria 🇳🇬 - $477 Billion 2)- Egypt 🇪🇬 - $477 Billion 3)- South Africa 🇿🇦- $406 Billion 4)- Algeria 🇩🇿 - $192 Billion 5)- Morocco 🇲🇦 - $134 Billion 6)- Ethiopia 🇪🇹 - $127 Billion 7)- Kenya 🇰🇪 - $113 Billion 8)- Angola 🇦🇴 - $107...
  4. R

    Naiona Tanzania Mpya yenye Maendeleo na Uchumi imara siku wanasiasa hawa watatu wakistaafu/wakiacha kujishughulisha na maamuzi ya kisiasa nchini

    1. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete 2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 3. Mzee Yusuph Makamba Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
  5. Ngasere45

    Fanya haya ili kuwa na uchumi imara

    Unataka kuwa na uchumi imara...? [emoji123][emoji116] Kuna mambo mengi ambayo unaweza kufanya ili kuboresha uchumi wako. Hapa kuna baadhi ya mambo ambayo unaweza kujaribu: 1. Kupunguza matumizi ya kila siku: hakikisha unafanya matumizi ya busara na kufuatilia matumizi yako ya kila siku. Andika...
  6. Pfizer

    Balozi Nangasu, afafanua kwa Mapana kuhusu Mfumko wa bei Tanzania na Uchumi Imara

    Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii. Balozi wa Utalii Nangasu Warema Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo...
  7. Hamduni

    Uchumi imara hujengwa na wananchi wenye afya imara

    UCHUMI IMARA HUJENGWA NA WANANCHI WENYE AFYA IMARA. Na Konakuze Bodi 0759754034 mswaada wa bima ya Afya kwa wote ni sera ambayo inalenga kuijenga, kuisuka, kuimarisha sekta ya Afya na kuwakomboa watanzania kuiuchumi kutokana na uondoaji wa msululu na Utitili wa gharama kubwa kwa...
  8. M

    SoC02 Jenga uchumi imara kwa maisha bora

    Uchumi ni mali iliyopatikana kutokana na mali za nchi au watu. Vitu viwili vikubwa vinavyoweza kumsaidia mtu kufikia malengo yake kiuchumi na kimaisha ni Nidhamu binafsi na Nidhamu ya maisha; lakini huwezi kutengeneza nidhamu ya maisha bila ya kuwa na nidhamu binafsi. Nidhamu binafsi ni uwezo...
  9. Daniel Levert

    SoC02 Uwajibikaji wa sekta ya kilimo katika mfumuko wa bei na uchumi

    UTANGULIZI Kilimo ni dhana pana inayojumuisha uzalishaji wa mazao, ufugaji na uvuvi. Katika andiko hili nitaangazia kilimo kwa upande wa uzalishaji mazao. Sekta ya kilimo ni sekta mama ya uchumi wa Tanzania. Huchochea maendeleo ya sekta zingine kama usafiri, viwanda na masoko. Mfumuko wa bei...
  10. Alley67

    SoC02 Tabia zetu hutufanya tuwe tulivyo kiuchumi

    Saikolojia inasema ukifanya kitu kila siku kwa siku 21 kitu hicho hugeuka na kuwa tabia, hivi Ulishawahi kujiuliza kwanin nafanya kitu au biashara kama anavyofanya mwingine lakini sifanikiwi, au mbona mimi lakini sio fulani kiufupi binadamu tumeumbwa kujifananisha na kujilinganisha na wengine...
  11. 1

    SoC02 Mabadiliko makubwa katika Sayansi na Teknologia yanayofanyika katika nchi zenye uchumi imara yana maana gani kwetu? Ni ipi dira yetu?

    Nchi zenye uchumi mkubwa duniani kama Marekani na China zinapiga hatua kubwa katika Nyanja mbalimbali za teknologia wakati sisi Tanzania(Africa kwa ujumla ) tukiwa bado tuko nyuma. Mifano mizuri tumekuwa tukiona mapinduzi yanayozidi kufanywa katika utengenezaji wa magari, kampuni moja ya hukou...
  12. Otaigo1

    SoC01 Sintofahamu ya hatima ya Mfumo wa Elimu wa Taifa na Utashi Wa serikali

    Serikali Imewekeza sana kwenye miundombinu ya sekta ya elimu kwa miaka sasa, uwekezaji huo unaanzia Elimu ya msingi, sekondari za kata, vyuo vya ufundi na vyuo vikuu na kumekuwa na ongekezo kubwa la idadi ya wanafunzi unaojiunga mashuleni na vyuoni. Lakini elimu wanayoipata haiakisi uhalisia wa...
  13. Shujaa Mwendazake

    Katiba bora, Utawala wa Sheria, Utawala bora, Uchumi imara

    Huwezi kujenga uchumi bila utawala bora na huwezi kuwa na utawala bora bila utawala wa sheria, na huwezi kuwa na utawala wa sheria kama hauheshimu haki za binadamu na uhuru wa mahakama! Na huwezi kupata hivyo bila katiba bora. Hii ya sasa sio bora tunataka mpya!
Back
Top Bottom